Asprin
Platinum Member
- Mar 8, 2008
- 68,487
- 96,981
Wajukuu na wapendwa wangu,
Napenda kuwafahamisheni rasmi kuwa mie babu yenu ODM nimeamua kubadilika mwaka ujao (Umri ushaenda huu mambo ya ujana niwaachie vijana.)
Hivyo basi ile biashara ya kuwakagua wajukuu ntaipunguza saaaaana. (kuiacha itakuwa dhambi). Kuanzia mwakani, yaani kesho, inshallah Mungu akijalia uhai, ntakagua mabinti wachache sana wale wenye viwango vilivyothibitishwa na TBS ya mbinguni.
Tena nikizingatia itifaki na vigezo na masharti
Ukaguzi wa ndugu zake Madame B, snowhite na Blaki Womani ntawaachia kina watu8, Erickb52 na Ruttashobolwa
Babu yenu mie ntajikita kwenye udumishaji wa mila zaidi
Na kwakuwa mnajua babu yenu mie ni babu wa mjini, nitamsaidia bibi yenu kwenye shughuli zake za kila siku...(kisasa zaidi)
Na utekelezaji wa majukumu yangu ntaufanya kisasa zaidi.
Kwa mantiki hiyo basi, ule ujeuri nliokuwa nao tangu utotoni ntauacha rasmi.....
Nawasihini vijana wangu mjiunge nami kubadilika ili tuijenge dunia yenye amani, furaha na upendo.... Iepukeni zinaa na visababishi vya zinaa...
...
Heh! Hivi leo jumangapi?
Nlikuwa nawatakieni heri ya mwaka mpya jamani.
Karibuni Fyatanga wooote kwa mpigo!!

Last edited by a moderator: