2013 Babu ODM kubadilika.....Niungeni Mkono.

2013 Babu ODM kubadilika.....Niungeni Mkono.

Mkwe nani alikudanganya ng'ombeanazeeka maini? Au uliona wapi nyama inabadili ladha ikihamishiwa bucha jingine? Wewe bana, khaaa!
hiyo ni misemo tu mkwe..... ukweli ni kwamba hata maini yanazeeka, lol!
 
Hakyamungu bahati hizi wengine twazililia

Mpenzi na dadangu Preta hebu kuja pande hii. Kuna binadamu umemtendesha zambi ya kuapa bure kwa Jina la Mungu..... Wewe bana wewe..... kweli afazali sikuja Tanga manake tungebanjua lile agano letu..... Shiiiiiiiii!
 
Last edited by a moderator:
hiyo ni misemo tu mkwe..... ukweli ni kwamba hata maini yanazeeka, lol!

Mkwe unajishushia hadhi mbele ya watoto bana. Hebu ongea kama mwanamke aliyeshavunja sinia bana. LOL Maini yanazeekaje sasa?
 
Last edited by a moderator:
Naona hujipendi Asprin
Naomba huo mpango wako kwa Kipipi uufute kichwani na kwenye documents zako.

Mdogomdogo kijana. Babu hana madhara afanyapo ukaguzi. Usisahau babu ni joka la kibisa, halina meno. Haling'ati, kuwa na amani Kipipi atakuwa kwenye mikono salama.
 
Last edited by a moderator:
Mkwe unajishushia hadhi mbele ya watoto bana. Hebu ongea kama mwanamke aliyeshavunja sinia bana. LOL Maini yanazeekaje sasa?
ha haaaaaa, hao watoto hawajui nini wanamiss, na kamwe hawatakuja kuonja.... so wacha tuwaaminishe hivyo mkwe
 
Si nlikwambiaga huyu dogo ni bazazi mwana izaya tena mwana mtoka pabaya ukawa unanibishia? Ona sasa, ukizaa naye mwanao atakuitaje?

babu acha kubana.. mbona wewe unakagua? ushastaafu kaa pembeni
 
ha haaaaaa, hao watoto hawajui nini wanamiss, na kamwe hawatakuja kuonja.... so wacha tuwaaminishe hivyo mkwe

Ewaaaaa..... Now you are talking mkwe.... now you are talking.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom