KOLOKOLONI
JF-Expert Member
- Mar 7, 2014
- 2,476
- 2,374
Yupo hapa kijijini amekuwa kibarua wa mashambani anaingiza Tsh 3000/ kwa siku baada ya kazi ya Masaa 12.Ila ajabu kweli huku hata hagomi!!Huyo huyo Ndunguru akafika revolution square pale, akaanza kutema hoja baada ya muda watu wakajaa, jamaa yuko peku peku anaongea balaa. Kilichokua kinasisimua zaidi ni hoja zilivyokua zinatolewa. Baada ya Ndunguru na wengine kukamatwa sasa ndio chuma Alshabab kilipoamka sasa,, akaanza peke yake ku mobilize watu na kuhubiri. The guy will make a very good politician sijui yuko wapi siku hizi.
Haaaaa haaaaaIla na nyinyi mtu wenu aliekamatwa na chabo darasani tukawatoseni tukasema kumbe jamaa ni vilaza wacha wapambane na hali zao hahahaah...
Sasa hivi chama tawala kimepandikiza Daruso nzima mpaka wenyeviti wa Block hostelsYa sasa hv udsm hakuna kitu sisi tuliopo pale hakuna lolote
Siasa za kipuuzi
Du kazi ipo.Sasa hivi chama tawala kimepandikiza Daruso nzima mpaka wenyeviti wa Block hostels
Mpemba ubwbwa wake na pilau balaa alitukamate sanaHaha chakula cha wapemba watu walikuwa wanadai kina walakini, walikuwa wanapima kingi sana watu walikuwa wanajaa hatari
Msingi ulikuwepo ila kisheria yalikuwa batili.Unamaanisha yale maandamano yalikuwa hayana msingi?
Yupo hapa kijijini amekuwa kibarua wa mashambani anaingiza Tsh 3000/ kwa siku baada ya kazi ya Masaa 12.Ila ajabu kweli huku hata hagomi!!
Darasa la saba wana wivu sana.Graduate wa jalalani
Kweli kabisa boss.Humu kuna vijamaa vinajikuta viko vikamilifu hakuna. Kwa mwenye ufahamu hawezi sema "chuo kilikuwa enzi zetu". Kila muda huwa na mambo yake, wewe umeyaish yako na wengine watayaishi ya kwao.
Tuseme ukweli UDSM imekwisha.Kweli kabisa boss.
Humu ndani kila mtu anaona enzi zake ndo zilikuwa bora.
Sijajua imekwisha kwa maana ipi.Tuseme ukweli UDSM imekwisha.
Darasa la saba wana wivu sana.
Unamkosoa mwenzio wakati wewe hujui kuwa baada ya (.) neno linalofata huanza kwa herufi kubwa.msomi wa chuo kikuu hata neno "lecture" tu linakushinda kuliandika kwa ufasaha badala yake unaandika "lekicha". sasa si bora tu ungeandika "mhadhara wa kitaaluma"
kumbe bora hata mimi niliyeishia darasa la nne B.
Sio udsm ni UDSM.Ndio utaelewa kwamba udsm watu wanakwenda kujitambua....sisi tulimaliza long time ago with a real struggle...
Watu tumesoma kwa shida huyu jamaa hajuiBoss, maharage tuliyokuwa tunakula unayajua lakini?
Dr Ambrossy Kessy alikuwa anamsaidia kufundisha nini mukandala wakati huo local government o orgazationa theory/public administration n bureaucracies?Daah udsm ilikuwa raha enzi zile, nakumbuka tukiwa lekicha na msaidizi wa mkandala Dr kessi,siku hiyo Prof hakuja pale Theatre one wakamvamia Kessi,daah akaanza kuomba kwa kuwaambia mimi siyo Mkandala.Ndo Lekicha ikaishia hapo
Maboko,mgaya na mkandala walikua viumbe hatari sana
Emeka na gwanda zake za chadema sijui yuko wapi siku hizi
Watu kama nyinyi huwa hamkosekaniMsingi ulikuwepo ila kisheria yalikuwa batili.
Kufika chuo kikuu haswa UDSM kusoma, ni bahati na mtu anatakiwa kusoma kwa bidii.
Zitto anajua sana huu mchezo maana alikuwa anachochea, halafu vurugu ikianza anaingia mitini.
Mimi unyumbu siwezi