2011: Mwaka wa Mafanikio kwa Rais OBAMA

2011: Mwaka wa Mafanikio kwa Rais OBAMA

Nyami2010

JF-Expert Member
Joined
Dec 2, 2009
Posts
227
Reaction score
50
Ndugu wanaJF

Hakika mwaka 2011, ni mwaka wa mafanikio sana kwa
Rais Barack OBAMA. Ni katika mwaka huu:-

1. Osama Bin Laden kauliwa na wamarekani
2. Gaddafi kauliwa kwa msaada wa Wamarekani na washirika wake wa NATO
3. Hosni Mubaraka (Eqypt) kapinduliwa.....
4. Zine El Abidine Ben Ali (Tunisia) kapinduliwa pia.....
5. Bashar al-Assad (Syria) hali yake ni tete.....
6. Ali Abdullah Saleh (Yemen) ana hali ngumu.....
7. Wamekani wamemaliza kazi Iraq........
8. Kim Jong Il (Kiboko yao) hatunaye tena
9. NASA wamegundua sayari zinazofana na dunia...

Please add to the list:A S 465:
 
Vifo vya watu wengine inakuwaje kuwa mafanikio kwa Obama? Hii thread ina akili hata kidogo kweli?
 
Ndugu wanaJF

Hakika mwaka 2011, ni mwaka wa mafanikio sana kwa
Rais Barack OBAMA. Ni katika mwaka huu:-

1. Osama Bin Laden kauliwa na wamarekani
2. Gaddafi kauliwa kwa msaada wa Wamarekani na washirika wake wa NATO
3. Hosni Mubaraka (Eqypt) kapinduliwa.....
4. Zine El Abidine Ben Ali (Tunisia) kapinduliwa pia.....
5. Bashar al-Assad (Syria) hali yake ni tete.....
6. Ali Abdullah Saleh (Yemen) ana hali ngumu.....
7. Wamekani wamemaliza kazi Iraq........
8. Kim Jong Il (Kiboko yao) hatunaye tena
9. NASA wamegundua sayari zinazofana na dunia...

Please add to the list:A S 465:

wameuza sana silaha na wameshajichukulia kigamboni yao!!...achilia mbali mafuta ya uganda na Tanzania
 
wameuza sana silaha na wameshajichukulia kigamboni yao!!...achilia mbali mafuta ya uganda na Tanzania

Mkuu hili si wakulu wetu wanasema ni jitihada tu za kujenga Kigs City!!!

Au ndo wale wale tuliwao?
 
yaani watu kuuawa wawe kwako ni mafanikio? ama kweli wewe ni taahira na mirembe panakuhusu.
 
yaani watu kuuawa wawe kwako ni mafanikio? ama kweli wewe ni taahira na mirembe panakuhusu.
Kumuua Osama na Ghadafi ni kupunguza mauaji kwa kumuua muuaji wa watu. Hesabu za mafumbo hujui unajua kujumlisha na kutoa tu.
 
Ungefanya uchunguzi vizuri. Nina muda sijafuatilia siasa za Mashariki ya Kati. Ila kifupi,kati ya Yemen na Syria,Marekani iko upande wa kiongozi aliyepo madarakani ambaye wananchi wake hawamtaki,na nchi nyingine kati ya hizo mbili,Marekani iko upande wa waandamanaji,na inawasaidia kumuondoa kiongozi aliyepo madarakani. Mi niko kijijini ambako umeme wa shida,nashindwa kuaccess internet mara kwa mara.
 
wameuza sana silaha na wameshajichukulia kigamboni yao!!...achilia mbali mafuta ya uganda na Tanzania
Kama wamechukua Kigamboni jilaumu wewe na taifa lako lisilojua kutetea maslahi yake. Hii ni dunia yenye few resources ukizubaa umeliwa. Unataka wakuonee huruma? Hata wewe huna hiyo huruma. Ni ujanja tu huna.
 
Back
Top Bottom