2010; World Cup ya kiwango cha chini katika historia ya miaka ya karibuni...



Kuna watu timu zao zikiboronga tu basi wanasema mashindano hayana kiwango....Uingereza nje, tuacheni wanaume wa Argentina ya Maradona na Messi tukamue....Huu ni mwaka wa Amerika ya Kusini kutwaa ubingwa.

Historia inaonyesha kwamba timu za Ulaya na Amerika Kusini huwa zinapokezana ubingwa...

1986 - Argentina
1990 - West Germany
1994 - Brazil
1998 - France
2002 - Brazil
2006 - Italy

If you know what I mean!
 
Uhondo mtupu.. Hii ndo raha ya WOZA maoni, ubishi ndoto za mchana na usiku yaani almuradi ni raha tu.
 

nilivyojua hamna watu kama pato,gaucho,bent,totti na mafundi wengine wa kabumbu hili nililitegemea...hapohapo kuna marobot kama heskey na baptista.unategemea nini!hapohapo TBC ndo warusha matangazo.....
 
Tatizo la watu wamezoea kuona italia, england, france, brazil, argentina.sasa zinapotolewa watu wanaona hamna viwango.
 

Kaka hapo kwenye Blue umepigilia msumari ni ukweli kabisa na mimi nakupa tano 100%. Siyo wale mataa tunaowacheki kwenye Runinga wakati wa Champion Ligi - Terry, Johnson, Upson, Ashley cole mnapitwa na kufugwa magoli ya aibu kama yale? Holding midfilder Garry Barry vipi mzee kulikoni? Gerald, Lampard mnashindwa kweli kuchezesha kiungo watoto wadogo wanawadharirisha? siyo ninyi mnaolipwa zaidi duniani mbona mnawaangusha washabiki wenu hadi wananuna? Rooney vipi miguu mizito baada ya kutua Bondeni? si ni wewe unaitwa mzee wa kufumania nyavu na wapenzi wa Man U?

Wakuu kikosi cha Uingeleza kimesheheni wachezaji wanaolipwa zaidi duniani tena mastaa, tatizo ukiwakusanya pamoja unapata hayo mzee bob giza anaita Pumba za msimu. Inabidi wawaombe radhi waingeleza wenzao na sisi washabiki wa soka duniani kwa kutegemea watakula pilau kumbe tunapata mihogo tena isiyo na chumvi.
 
The wc is steel sweet......Dont u enjoy it????? I do...I really do......
 
makocha wengi wenye asili ya italy wanapenda sana chelsea,na england capello alichagu wachezaji ambao kwa kiasi kikubwa wametoka chelsea :biggrin1:,no arsenal player,france ilikuwa arsenal wengi wao japo kaachwa nasri kiasi wapenzi ambao mimi nawafahamu ni arsenal walichukizwa sana na hata diaby ktk mechi za majaribio kutocheza walikuwa wanalaumu sana,spain ni barca ni wazuri nawakubali,germany ni bayern munich.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…