Wakuu naomba ufafanuzi nilimsikia mkuu wa takukuru akidai kuwachukulia hatua watakao gawa kanga, fulana na aina yoyote ya msaada wakati huu kuelekea uchaguzi maana ni moja ya rushwa na sheria iliyosainiwa kwa mbwembwe inakataza haya, sasa hizi fulana hazipo kwenye mkondo huo?
Mkuu,Wakuu naomba ufafanuzi nilimsikia mkuu wa takukuru akidai kuwachukulia hatua watakao gawa kanga, fulana na aina yoyote ya msaada wakati huu kuelekea uchaguzi maana ni moja ya rushwa na sheria iliyosainiwa kwa mbwembwe inakataza haya, sasa hizi fulana hazipo kwenye mkondo huo?
Swali Muhimu. Je JK ameshateuliwa na Chama Chake Mgombea? Je asipoteuliwa?
Na kifupi zaidi gharama ya T-shirt moja ni kubwa zaidi ya heshima ya mkuu wa Takukuru Hosea Ndaki, ni heri kuchana T-shirt ya Hosea kuliko kuchana fulana ya kampeni ya Kikwete.Pole mkuu. Inabidi ujue TAKUKURU ni nani na hizo fulana ni za nani.
Kwa kifupi TAKUKURU ipo chini ya ofisi ya huyo anayetoa fulana. Nani wa kumkamata nani?
Wangefanya haya CHADEMA au CUF wangeshashitakiwa kwa kuanza kampeni kabla ya wakati. Inji hii bwana...!!!
Swali Muhimu. Je JK ameshateuliwa na Chama Chake Mgombea? Je asipoteuliwa?
Mkuu,
Mimi nimetafakari kwa mapana nakosa majibu mengi:
Sintoona tatizo kama sheria zinaruhusu (hasa hii ya majuzi).
...- Sheria ya Uchaguzi inasemaje? Ikitokea T-shirts hizi wakaanza kugawa kwa wananchi (ambao hata mavazi ni shida) si 'takrima' hii?
...
Wakizileta nitafanya kama wadau wa Tarime walivyofanya. Mnakumbuka?Zivaeni huko huko. Msizilete kwenye maeneo yangu ya kujidai.
umbumbumbu tu wa akili 'juvi', na kujifanya ni royal familyKwa kweli sijaona familia limbukeni kama hii, haya hatukuyaona wakati wa Nyerere na Mwinyi hata wakati wa Mkapa, nasikia mtoto wa Nyerere pale UD alikuwa hataki kuitwa sirname(Nyerere) alikuwa hataki kujulikana kuwa ni mtoto wa rais leo hawa wenzetu utadhani ni urithi wao wa Taifa.
Sisi M ziii. Kigumu chama cha mapinduzi Dr ......Watu mnaichukia sana 'Green' eh? Jipangeni vizuri tu na vyama vyenu mpambane na siyo kulalamikia mambo yasiyo na msingi! CCM hoyee!!!!!
Sisi M ziii. Kigumu chama cha mapinduzi Dr ......
Mkuu,
Mimi nimetafakari kwa mapana nakosa majibu mengi:
Sintoona tatizo kama sheria zinaruhusu (hasa hii ya majuzi).
- Kampeni zimeshaanza?
- Sheria ya Uchaguzi inasemaje? Ikitokea T-shirts hizi wakaanza kugawa kwa wananchi (ambao hata mavazi ni shida) si 'takrima' hii?
- Vyama vingine vinasemaje? Kwanini viwe kimya? Vinafanya hayahaya?
- Sheria zinachagua nani asifanye kitu flani na nani akifanye?
- JK amekuwa CONFIRMED kama mgombea pekee wa CCM?
- TAKUKURU wanaichukuliaje hali hii?