2010 hatudanganyiki | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

2010 hatudanganyiki

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by Pdidy, Aug 26, 2010.

 1. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #1
  Aug 26, 2010
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,613
  Likes Received: 5,782
  Trophy Points: 280
  Pengine wewe ni mwenzangu ktkt waajiriwa
  ni vyema kama muajiri ujue haki a ko ya msingi\
  usikubali muajiri akunyanyase ama kukuchezea kama mpira wa kona
  hali ukijua haki zako za msingi ambazo wengi wanashindwa kuzijua
  ukiwa umeajiriwa chukua muda kusoma na kuperuz hizi sheria zitakusaidia
  na wakati mwingine mwajiri anaongeza heshima zaidi akijua unajua nini unachofanya
   
 2. KIMICHIO

  KIMICHIO JF-Expert Member

  #2
  Aug 26, 2010
  Joined: Aug 12, 2010
  Messages: 1,184
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  Thank you very much mkuu nimeidownload naamini itanisaidia sana ntaisoma wakati nimerest.naomba kama unaweza kutuwekea na katiba tuipitie pia itakuwa poa zaidi.
   
 3. M

  Magulu Madoshi New Member

  #3
  Aug 28, 2010
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 1
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nimeipata mkuu.
   
 4. Elli

  Elli JF-Expert Member

  #4
  Aug 28, 2010
  Joined: Mar 17, 2008
  Messages: 26,830
  Likes Received: 10,142
  Trophy Points: 280
  umepatia...
   
 5. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #5
  Aug 30, 2010
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,613
  Likes Received: 5,782
  Trophy Points: 280
  ntakutumia mkuu sijaja na flash
   
Loading...