2000 Rav 4 J VVT- i Engine Inauzwa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

2000 Rav 4 J VVT- i Engine Inauzwa

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by erique, Sep 3, 2011.

 1. erique

  erique JF-Expert Member

  #1
  Sep 3, 2011
  Joined: Apr 23, 2010
  Messages: 428
  Likes Received: 262
  Trophy Points: 80

  Wadau nimeona niwape habari kwa yeyote mwenye mpango wa kunua gari, nadhani ni gari nzuri na bei nzuri pia

  It’s for immediate sale

  2000 Toyota Rav 4 J

  It’s a VVT- I engine, KM 1000330

  Engine Capacity: CC 1800
  Two Wheel Drive
  Color: Metallic Gold
  It is in a very good condition
  Final offer is TZS 18,000,000.

  Wasiliana na Robert 0715 661616
   
 2. ndegeulaya

  ndegeulaya Member

  #2
  Sep 3, 2011
  Joined: Apr 26, 2011
  Messages: 75
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
   
 3. P

  Parachichi JF-Expert Member

  #3
  Sep 3, 2011
  Joined: Jul 22, 2008
  Messages: 517
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  hizo km kaka ni sawa au umekosea?ingekua vyema ungeweka na picha wadau wajitose!
   
 4. NGUZO

  NGUZO JF-Expert Member

  #4
  Sep 3, 2011
  Joined: Jan 8, 2011
  Messages: 253
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 35
  itakuwa imechoka sana, KM 1000,000 !
   
 5. Biohazard

  Biohazard JF-Expert Member

  #5
  Sep 3, 2011
  Joined: Aug 21, 2011
  Messages: 2,002
  Likes Received: 286
  Trophy Points: 180
  Kaka ilikua inasafari za Sauzi nn manake km ni nyingi sana, fanya upunguze mshiko huo watu tukufikirie
   
 6. D

  Davies_007 Member

  #6
  Sep 3, 2011
  Joined: Apr 22, 2010
  Messages: 59
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Million Kumi kaka Unasemaje?
   
 7. m

  mswazi Member

  #7
  Sep 4, 2011
  Joined: Nov 18, 2007
  Messages: 25
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  Kaka kama hiyo odo meter ipo sahihi, basi hata 350,000 tzs hupati mana ikiwa Scania inakuja na km 700,000 inakuwaje small car ije na Mileage ilofoka million km?Imetumikaje huko hadi iwe na very good condition kama unavyosema?
   
 8. U

  Uswe JF-Expert Member

  #8
  Sep 4, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 2,201
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  hapo kwenye red nimeweka koma tu ili watu waone vizuri, 18m kwa km hizo mkuu will be challenging kupata mteja, esp humu JF, unajua mtu akishakua JF ujue ni mjanja sana, yaani keshapita sana kwenye matrade car vie, kwenye ma sbt japan, kwenye ma pick n buy kwenye ma facebook na ndio kajikuta humu, i mean kama umenote huku wako wazoefu wa kujua wapi habari zinapatikana na wengi wanajua kufanya maamuzi
   
 9. ldd

  ldd JF-Expert Member

  #9
  Sep 4, 2011
  Joined: Jun 26, 2011
  Messages: 792
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 45
  ungekatakata uuze scrapper,, km 1ml ata laki 1 sitoi!!! vibanda chinja chinja cku izi ni vingi mno ndgu!!
   
 10. erique

  erique JF-Expert Member

  #10
  Sep 5, 2011
  Joined: Apr 23, 2010
  Messages: 428
  Likes Received: 262
  Trophy Points: 80
  Wadau Hapo kwenye KM ilikua imekosewa ilipasa isomeke KM 100330
   
 11. erique

  erique JF-Expert Member

  #11
  Sep 5, 2011
  Joined: Apr 23, 2010
  Messages: 428
  Likes Received: 262
  Trophy Points: 80
  Wadau nimeona niwape habari kwa yeyote mwenye mpango wa kunua gari, nadhani ni gari nzuri na bei nzuri pia

  It’s for immediate sale
  2000 Toyota Rav 4 J

  It’s a VVT- I engine,
  KM 100,330
  Engine Capacity: CC 1800
  Two Wheel Drive
  Color: Metallic Gold
  It is in a very good condition
  Final offer is TZS 18,000,000.

  Wasiliana na Robert 0715 661616
   
 12. m

  mswazi Member

  #12
  Sep 6, 2011
  Joined: Nov 18, 2007
  Messages: 25
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  Haya kama kweli ulikosea kuandika odo meter na kama unavyosema ni 100330 na sio 1000330, ni vema ukatupatia registration number yake ya hapa bongo, hiyo itamuwezesha mnunuzi kufanya makisio ni kwa muda gani imetumika hapa bongo. Fanya hivyo kaka,hiyo ni info muhimu sana ume hide.
   
 13. L

  LAT JF-Expert Member

  #13
  Sep 6, 2011
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 4,523
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 0
  ninavyoeelewa mimi odometer reading in km zinaishia 999,999 ..... period
   
Loading...