20-28 years....

20-28 years....

Kwa mtoto wa kiume, ukikaa home hutakiwi kuomba pesa kwa baba au mama, sana sana unatakiwa uchangie kidogo hapa na pale, mtoto wa kike haijalishi maana km uko home ni jukumu la baba na mama yake, ila mwanaume unatakiwa uhustle mambo ya kuombaomba kwa mama ni dharau
Ni dharau kabisa, haitatokea siku ukaheshimika.

Nashauri kama ni guidance itolewe kwa mtoto wa kike kwa umri mpaka atakapofikia kuolewa.

Ila kwa mtoto wa kiume kukaa nyumbani kukomba mboga, na kuomba bundle kuingia insta kuchambana sio poa.

Tena wengine unakuta wapo na kusoma hawasomi walishamaliza shule kitambo.

Mwanaume ni kutoka kwenda kutafuta, mafundishi mengine utayakuta mbele ya safarivkama unajitambua, sidhani kama kuna mtu anayejitambua halafu hajui mambo kama ya wizi uhuni ni mabaya.

Kijana atoke nyumbani sio kugandamiza makochi.
 
Utakuwa upo ulaya eeh! fasjet mimi mtu wa Tabora baba yangu anaishi Mtwara twaijulia wapi yakhe.

Mimi hadi kesho sijahama nyumbani japo nipo kwangu. Wazazi ndiyo washauri wa kwanza kisha wengine wanafuata.

Kuna meli kutoka Tabora Mpaka Mtwara mkuu hahaaaa,

Wengine wanaona kuwa guided ni sign kuwa uko weak au kwa lugha nyepesi ni umama,kuna individual differences...sio wote wanaweza kujifunza through experience..you don't get much chances in life,so kama mzazi unaona mwanao anahitaji guidance please do the needful...
 
Dada umeongea la maana sana,tena sana,

Nakumbuka kipindi tupo chuo na rafiki yangu,

Mamake alikuwa ni daktari,sasa kila akija chuo alikuwa anamletea mwanaye box la condom

Kila tukitaka kwenda kupiga gemu tunamwambia jamaa atugawie

Sasa ikawa kama mazoea,jamaa alikuwa anampigia mamamke simu tu pale ndomu zinapoishi

Tena alikuwa anamwambia mama zile silaa zote nimemaliza,niletee tena,ikawa ni hivyo tu,

Tukawa tunajiuliza sana,kumbe yule mama alikuwa anampenda sana mwanaye tena alikuwa mtoto mmoja tu kwa mamaye
20-28 years

wengi kipindi hiki wanakua wamemaliza chuo,

wana Freedom kubwa,

hivyo kutaka kuexperiment vitu vingi kutokana na hiyo new freedom....

Mfano Sex,Pombe etc

Wazazi wanadhani kijana akifikisha huu umri basi yuko tayari kuishi mwenyewe…

labda tumelelewa hivyo,

lakini ukweli ni kwamba vijana wa huu umri{personally I think} wanahitaji bado kuwa coached....

they are too vulnerable ,the world is harsh,one mistake one goal!.....one sex HIV hiyoo...

Mzazi endelea kumlea mwanao katika umri huu….kwa mfano ukimtembelea mnunulie box la condoms..LOL...atajiongeza kuwa unamtaka a play safe.....

Mwisho,embu fungukeni...jinsi ulivyokuja kujitegemea,was it easy for you ama uli wish uwe na manual?🙂
 
Mi binafsi akili ilikuja kunikaa sawa kitambo kidogo kwenye 32 hivi...halafu nilikuwa nikikumbuka matukio niliokuwa nafanya before nikawa najiona lofa sana..hahaa...ila pombe na bata zinalostisha watu wengi sana...unakuta mtu una kazi nzuri ila bado unalalamika tu...mishahara haikutani...
 
Inategemea na mazingira uliyokulia mkuu...kuna watu wanachelewa sana kumature...hasa wale wanaotokea urban areas na katika familia zisizokuwa na shida kiviiile...mpaka life ikupige knock out kidogo ndio akili inakukaa sawa
Umri kuanzia 18 we ni mtu mzima na una uwezo mzuri wa kureason, but kama bado unategemea kila kitu hajui namna ya kujiongeza my dear subiri duniani ije ikucoach vizuri maana unapata taabu sana!!
 
Kwetu "mtu kwao.".

Utume uzima kwenu ni balahe na au kuvunja ungo. Mwaka wowote ule anapojaaliwa,

Mtu nzima kwenu hakumtoi kwao, hata awe miaka 70 kama wazazi na wakubwa same wapo basi lazima awe kwao.

Jenga, fanya miradi lakini ujuwe upo kwenu.

Oa, utakuja kuishi na mkeo kwenu. Olewa utakuja kuishi na mumeo kwenu.

Exceptions na variance ndogo ndogo zipo kutokana na situation. exceptions na variances lazima zipate baraka na ruksa ya wazazi au wakubwa (kiumri) kwenu.
 
Kwenye uzi wote hii ndo pointi pekeeee
Mwanzo ilikuwa changamoto as you know ndio unaanza maisha mapya nje ya wazazi wako yaani wewe binafsi ndio dereva wa maisha yako hivyo yakupasa kuwa makini tu na vitu vidogovido kama kuwa;

1. Kuwa mwangalifu na mienendo yako
2. Kuzoea watu wa aina tofouti tofouti katika mazingira mapya utaayo ishi
3. Ishu ya kubana matumizi (bajeti kamili hapa ni muhimu)

Kwa upande wangu sikuona changamoto sana as kufikia umri ule nilikuwa najua mema na mabaya na kama upuuzi niliufanya sana nilivyokuwa chuo so huku mtaani hata kama nakuwa na tamaa ndogondogo najua ni kwa jinsi gani na handle ili kuweka mambo sawa
 
Back
Top Bottom