20-28 years....

20-28 years....

Rebeca 83

JF-Expert Member
Joined
Jun 4, 2016
Posts
15,669
Reaction score
33,691
20-28 years

wengi kipindi hiki wanakua wamemaliza chuo,

wana Freedom kubwa,

hivyo kutaka kuexperiment vitu vingi kutokana na hiyo new freedom....

Mfano Sex,Pombe etc

Wazazi wanadhani kijana akifikisha huu umri basi yuko tayari kuishi mwenyewe…

labda tumelelewa hivyo,

lakini ukweli ni kwamba vijana wa huu umri{personally I think} wanahitaji bado kuwa coached....

they are too vulnerable ,the world is harsh,one mistake one goal!.....one sex HIV hiyoo...

Mzazi endelea kumlea mwanao katika umri huu….kwa mfano ukimtembelea mnunulie box la condoms..LOL...atajiongeza kuwa unamtaka a play safe.....

Mwisho,embu fungukeni...jinsi ulivyokuja kujitegemea,was it easy for you ama uli wish uwe na manual?🙂
 
Umri kuanzia 18 we ni mtu mzima na una uwezo mzuri wa kureason, but kama bado unategemea kila kitu hajui namna ya kujiongeza my dear subiri duniani ije ikucoach vizuri maana unapata taabu sana!!
 
Umri kuanzia 18 we ni mtu mzima na una uwezo mzuri wa kureason, but kama bado unategemea kila kitu hajui namna ya kujiongeza my dear subiri duniani ije ikucoach vizuri maana unapata taabu sana!!

wewe ulianza kujitegemea na miaka 18? embu share your experience,18's wenzio waelimike…..
 
Nimeweza kujitegemea na kujikontroo 18 mpaka miaka 25 baada ya hapo mpaka sasa najishangaa km ndio mimi wa miaka ile kwa nyie viumbe.
 
Mmmh kwa hiyo hata wanao pia umewabebea maboxes ya condom??

Btw 25+ huyo yuko mkubwa kiakili labda Kiazi tu kushindwa kung’amua mambo!

mkuu maboksi ya condom ni kukumbushana tu,usidhanie wote walioambukizwa ukimwi walikua hawajui kama maambukizi yapo…..
 
Binafsi I would prefer watoto wangu wajiandae kuhama nyumbani wakishatoa posa kwa wachumba wao na tarehe ya harusi imeshapangwa.

Baada ya harusi wakishatoka honeymoon ndo wahamie kwao waanze maisha mapya.

Mtoto hakui kwa mzazi wake. I would love to have my cubs with me and I will hold on to them as long as I can InshaAllah.
 
Mwanzo ilikuwa changamoto as you know ndio unaanza maisha mapya nje ya wazazi wako yaani wewe binafsi ndio dereva wa maisha yako hivyo yakupasa kuwa makini tu na vitu vidogovido kama kuwa;

1. Kuwa mwangalifu na mienendo yako
2. Kuzoea watu wa aina tofouti tofouti katika mazingira mapya utaayo ishi
3. Ishu ya kubana matumizi (bajeti kamili hapa ni muhimu)

Kwa upande wangu sikuona changamoto sana as kufikia umri ule nilikuwa najua mema na mabaya na kama upuuzi niliufanya sana nilivyokuwa chuo so huku mtaani hata kama nakuwa na tamaa ndogondogo najua ni kwa jinsi gani na handle ili kuweka mambo sawa
 
Binafsi I would prefer watoto wangu wajiandae kuhama nyumbani wakishatoa posa kwa wachumba wao na tarehe ya harusi imeshapangwa.

Baada ya harusi wakishatoka honeymoon ndo wahamie kwao waanze maisha mapya.

Mtoto hakui kwa mzazi wake. I would love to have my cubs with me and I will hold on to them as long as I can InshaAllah.
Kama wanaishi mbali na ulipo...

Mfano unakaa Dar.. mwanao kapata kazi Tabora...huko ataishi mwenyewe.

binafsi nilitoka nyumbani kwa namna hiyo... baada ya chuo sikurudi nyumbani nikirudi kusalimia tu.
 
nimeipenda mdada,

tukumbushe wazazi kama ni kulea then ni jukumu letu kufanya hivyo mpaka dakika ya mwisho....
 
Tunatofautiana sana, kila mtu na aonavyo ila nakumbuka nimemaliza chuo ikaenda kwa wazee kuwaaga na kuwashukuru kwa kila kitu, wakanisihi nikaondoka maana sikua naweza tena kukaa home, hata sasa hivi nikirudi siwezi maliza siku 4
 
Kama wanaishi mbali na ulipo...

Mfano unakaa Dar.. mwanao kapata kazi Tabora...huko ataishi mwenyewe.

binafsi nilitoka nyumbani kwa namna hiyo... baada ya chuo sikurudi nyumbani nikirudi kusalimia tu.

siku hizi kuna fasti jeti,umbali sio tatizo….anyway kila mtu analea kivyake hamna rules,for me nitamguide mwanangu mpaka nitakapokua na confidence nimemuacha vizuri,lol
 
Back
Top Bottom