Karucee
JF-Expert Member
- Mar 11, 2012
- 18,196
- 34,502
True.nimeipenda mdada,
tukumbushe wazazi kama ni kulea then ni jukumu letu kufanya hivyo mpaka dakika ya mwisho....
True.nimeipenda mdada,
tukumbushe wazazi kama ni kulea then ni jukumu letu kufanya hivyo mpaka dakika ya mwisho....
ntapinga hadi kiama hili 18 hakuna ajuacho cha maana hata uwezo wa kufikiri uko chini sanaUmri kuanzia 18 we ni mtu mzima na una uwezo mzuri wa kureason, but kama bado unategemea kila kitu hajui namna ya kujiongeza my dear subiri duniani ije ikucoach vizuri maana unapata taabu sana!!
Dah at 23 tayari nilishaanza kusota kivyangu miaka kibao na sasa najiona mtu mzima kumbe bado kabisa!! Kuondokewa wazazi mapema inauma sana na ni vingi sana nimevikosa...ntapinga hadi kiama hili 18 hakuna ajuacho cha maana hata uwezo wa kufikiri uko chini sana
Kidg kuanzia 25 napo badooo siungi mkono 100%
Ndivyo jamii inavyoandaa AVERAGE PEOPLEBinafsi I would prefer watoto wangu wajiandae kuhama nyumbani wakishatoa posa kwa wachumba wao na tarehe ya harusi imeshapangwa.
Baada ya harusi wakishatoka honeymoon ndo wahamie kwao waanze maisha mapya.
Mtoto hakui kwa mzazi wake. I would love to have my cubs with me and I will hold on to them as long as I can InshaAllah.
Meaning whatNdivyo jamii inavyoandaa AVERAGE PEOPLE
Kila kitu kinahitaji total commitment, huwezi kuanza kujitegemea pasipo kuwa tayari kulala njaa siku mojamoja au kuwa tayari kufuta mawazo ya kutegemea kila kitu kutoka kwa ndg au wazazi, so kutaka kuendelea kulelewa ukiwa na umri wa kuanzia miaka 20 to 28 aisee unajitengenezea mazingira magumu sana hasa pale utakapoanza kujitegemea mwenyewe, life is all about experience so ili uweze kujitegemea anza kutengeneza mazingira hayo ya kujitegemea, we unawaza kujitegemea ili hali hadi ela ya vocha unawaomba wazazi halafu hapo una umri huo wa 20 to 28???!!!
Wazazi part yao katika umri huo ni kukushauri juu ya baadhi tu maamuzi unayoyafanya wewe kwa manufaa ya kesho yako ila siyo vema kusupport kulea mtu wa 20 to 28, huo ndo muda wake wa kujifunza mengi coz maamuzi yake ndiyo yatakayo mtengenezea mazingira ya kesho, umeishi na wazazi wako mpaka umri huo hujapaelewa tu chochote kuhusu maisha?? your mum and your dad katika mahusiano hakuna uliyoyashuhudia kwa upande wa mahusiano?? Ok na vp kuhusu maisha uliyoishi kwenu tokea udogoni mpaka umri huo hakuna uliojifunza kweli??
Siri ya maisha ni simple tu KUJITAMBUA na KUJITAMBUA hakuangalii umri ukishaandaa akili kwa kutambua kipi sahihi na kipi siyo sahihi piga ua garagaza!! Nakuhakikishia utatoboa tu, ila usipojitambua utabaki kulalamika na kulalamikia wazazi mpaka siku unaoa au kuolewa.
Kuwa tayari kwa lolote (flexibility) kubali matokeo then fanya maamuzi kwa nia dhabiti am sure!! utalala njaa leo ila kesho utakula na kusaza kwa kuexperince tu hiyo situation.
Kuna watoto wanaolea familia zao na hata umri huo hawajafika wewe umemaliza chuo unataka uendelee kulelewa Kweeeelii??? Elimu yako imekusaidia nn sasa??
Maamuzi na KUJITAMBUA ndo dili UMRI NAMBA UKUBWA HEKIMA!!
Nawasilisha!!
Mi dingilii ananiuliza kuhusu matumizi ya kondom nikiwa form 2, ananihusia mwanangu tumia kondom siku zote ukipiga gem20-28 years
wengi kipindi hiki wanakua wamemaliza chuo,
wana Freedom kubwa,
hivyo kutaka kuexperiment vitu vingi kutokana na hiyo new freedom....
Mfano Sex,Pombe etc
Wazazi wanadhani kijana akifikisha huu umri basi yuko tayari kuishi mwenyewe…
labda tumelelewa hivyo,
lakini ukweli ni kwamba vijana wa huu umri{personally I think} wanahitaji bado kuwa coached....
they are too vulnerable ,the world is harsh,one mistake one goal!.....one sex HIV hiyoo...
Mzazi endelea kumlea mwanao katika umri huu….kwa mfano ukimtembelea mnunulie box la condoms..LOL...atajiongeza kuwa unamtaka a play safe.....
Mwisho,embu fungukeni...jinsi ulivyokuja kujitegemea,was it easy for you ama uli wish uwe na manual?🙂
Nimempenda mshua wakoHahaha Daah Dingi ananiletea Kondomu[emoji85][emoji85]
Pole sana mkuuDah at 23 tayari nilishaanza kusota kivyangu miaka kibao na sasa najiona mtu mzima kumbe bado kabisa!! Kuondokewa wazazi mapema inauma sana na ni vingi sana nimevikosa...
Kiveeepe?umri wa stress
mambo dear.nmekumissKiveeepe?
Me too...tumepotezana mymambo dear.nmekumiss