20/08/19. Heri Ya Siku Ya kuzaliwa Happy birthday

20/08/19. Heri Ya Siku Ya kuzaliwa Happy birthday

Kahama- shy

JF-Expert Member
Joined
Oct 18, 2024
Posts
1,951
Reaction score
2,694
Screenshot_20250820-133105.jpg
Screenshot_20250820-133025.jpg
Wana Jf mambo vipi ndugu mko poa nyie mi Niko poa kabisa labda nyie vipi kwenu Ebwana Leo ni siku yangu ya kuzaliwa nimepata ujumbe toka kwenye mitandao yangu aisee wananijali sana wamenikumbuka😭 Sasa Wana JF nimeamua kuja mnitakie pamoja na nyie pamoja na ndugu zangu tuliozaliwa Leo🎉🎊 Happy birthday Bakalalwa umenitimiza miaka kadhaa na wote pia,

NB: Mwenye chochote kitu Aniwezeshe nishelekee siku yangu hii vizuri maana nipo Nyumbani kwa watu nimejilaza🙂 0674615883🥳
 
View attachment 3447071View attachment 3447072Wana Jf mambo vipi ndugu mko poa nyie mi Niko poa kabisa labda nyie vipi kwenu Ebwana Leo ni siku yangu ya kuzaliwa nimepata ujumbe toka kwenye mitandao yangu aisee wananijali sana wamenikumbuka😭 Sasa Wana JF nimeamua kuja mnitakie pamoja na nyie pamoja na ndugu zangu tuliozaliwa Leo🎉🎊 Happy birthday Bakalalwa umenitimiza miaka kadhaa na wote pia,

NB: Mwenye chochote kitu Aniwezeshe nishelekee siku yangu hii vizuri maana nipo Nyumbani kwa watu nimejilaza🙂 0674615883🥳
Muda si mrefu waja watakuja kukuambia wana mashaka na wewe. Wanasema mwanaume kukumbuka birthday au kusherehekea birthday eti sijui nini vile. Ila kama ni jinsia KE hawana shida na wewe
 
Back
Top Bottom