Ndugu ukijua kweli ya neno la Mungu itakuweka huru Daima, Andiko usifunge nira na asiye amini linamaanisha usijaribu kuolewa na mtu ambaye hajaokoka kwa nini shetani atamtumia kama daraja la kukurudisha nyuma, kumbuka shetani anajua maandiko kuliko binadamu yeyote. ukijaribu kuoa umefunga nira na asiyeamini naye shetani anatumia huo mlango kuhamiaa kwenye maisha yako kwa sababu umevunja amri ya Mungu. Na kama umeokoka wakati umeshafunga ndoa alafu mwenzio yeye hajaokoka Biblia inasema hivi 1Cor 7:12[FONT=Arial Narrow,Arial Narrow][FONT=Arial Narrow,Arial Narrow]Lakini kwa wengine nasema, (si Bwana ila ni mimi): Kama ndugu ana mke asiyeamini, naye huyo mke anakubali kuishi pamoja naye, basi asimwache. [/FONT][/FONT]13[FONT=Arial Narrow,Arial Narrow][FONT=Arial Narrow,Arial Narrow]Naye mwanamke aaminiye kama ameolewa na mwanaume asiyeamini na huyo mume anakubali kuishi naye, basi huyo mwanamke asimwache. [/FONT][/FONT]14[FONT=Arial Narrow,Arial Narrow][FONT=Arial Narrow,Arial Narrow]Kwa maana huyo mume asiyeamini anatakaswa kupitia mkewe, naye mke asiyeamini anatakaswa kupitia mumewe. Kama isingalikuwa hivyo watoto wenu wangalikuwa si safi, lakini ilivyo sasa wao ni watakafifu.
[/FONT][/FONT]