2 Corinthians 6:14 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

2 Corinthians 6:14

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Mentor, Feb 8, 2010.

 1. Mentor

  Mentor JF-Expert Member

  #1
  Feb 8, 2010
  Joined: Oct 14, 2008
  Messages: 19,299
  Likes Received: 9,770
  Trophy Points: 280
  Wadau naomba msome hiyo verse then mnipe mchango wenu!

  Na kwa kuipa kichwa (motion of discussion) swali ni:

  Is it right for a believer to date a non-believer?
  Nawasilisha...
  Inapatikana hapa:http://www.biblegateway.com/passage/?search=2%20Corinthians%206:14&version=NIV

  Quoted:"Do not be yoked together with unbelievers. For what do righteousness and wickedness have in common? Or what fellowship can light have with darkness?"
   
 2. drphone

  drphone JF-Expert Member

  #2
  Feb 8, 2010
  Joined: Sep 29, 2009
  Messages: 3,561
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 145
  mbona imejieleza vzuri au kipi ujakielewa
   
 3. Mentor

  Mentor JF-Expert Member

  #3
  Feb 8, 2010
  Joined: Oct 14, 2008
  Messages: 19,299
  Likes Received: 9,770
  Trophy Points: 280
  Ila kama sisi ndo tunatakiwa kuwa mifano je huoni ukimtenga utakuwa unaonyesha mfano mbovu?
  Halafu, kama binadamu umempenda mtu ila ndo hivyo tena hajampokea kuwa Bwana na Mwokozi wa maisha yake...are there no special cases to this law!??
  Check this verse:
  To the rest I say this (I, not the Lord): If any brother has a wife who is not a believer and she is willing to live with him, he must not divorce her. 13And if a woman has a husband who is not a believer and he is willing to live with her, she must not divorce him. 14For the unbelieving husband has been sanctified through his wife, and the unbelieving wife has been sanctified through her believing husband. Otherwise your children would be unclean, but as it is, they are holy.

  15But if the unbeliever leaves, let him do so. A believing man or woman is not bound in such circumstances; God has called us to live in peace. 16How do you know, wife, whether you will save your husband? Or, how do you know, husband, whether you will save your wife?

  url:http://www.biblegateway.com/passage/?search=1%20Corinthians%207:12-16&version=NIV
   
 4. drphone

  drphone JF-Expert Member

  #4
  Feb 8, 2010
  Joined: Sep 29, 2009
  Messages: 3,561
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 145
  tatizo lako ni nn haswa je huamini bible au? ebu kuwa mwazi kwani bible inasema tutawatambua kwa matendo yao
   
 5. Pearl

  Pearl JF-Expert Member

  #5
  Feb 8, 2010
  Joined: Nov 25, 2009
  Messages: 3,042
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 135
  Unaposoma Biblia omba uwepo wa roho mtakatifu maana kwa akili za kibinadam ni ngum kuchambua,kila mtu Mungu kamuandalia ubavu wake,kwahiyo kama Mungu kakupa ubavu ulio non beliver Mungu anajua kwann kafanya hivyo lkn ukumbuke kila jambo linamwisho hivyo u neva knw lini atabadilika tumewaona wengi wamebadilishwa na wenzi wao.
   
 6. Mentor

  Mentor JF-Expert Member

  #6
  Feb 8, 2010
  Joined: Oct 14, 2008
  Messages: 19,299
  Likes Received: 9,770
  Trophy Points: 280
  Drphone nadhani utaisoma hii ya Pearl. Ameelezea utata uliopo hasa! Mimi naamini Biblia kabisa ila shida pale tunavyoitafsiri.
  Mmoja anaweza kusema kama wewee.it is there in the Bible. IT IS WRITTEN.
  Mwingine akasema kama Pearl: Inategemea Mungu amekupa nani.
  Je lipi ni sahihi na unapoongea na mtu ambaye maybe tayari ama anafikiria kuingia kwenye mahusiano na non-believer, utachukua mtazamo upi!??
  Hilo ndo swali langu ndugu..
  Nawasilisha...
   
 7. drphone

  drphone JF-Expert Member

  #7
  Feb 8, 2010
  Joined: Sep 29, 2009
  Messages: 3,561
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 145

  bible pia inasema hivi yule mke asiyeokoka atabadilika na kuokoka kupitia ww hivyo hivyo mume asiyeokoka ataokoka kupitia mke wake bible naipenda sana ipo simple kwa watu wa rohoni na ngumu sana kwa watu wa mwilini bcoze sio gazeti lile au novel
   
 8. Pearl

  Pearl JF-Expert Member

  #8
  Feb 8, 2010
  Joined: Nov 25, 2009
  Messages: 3,042
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 135
  hapo uko sawa mume wangu,nimekujibu kule ulikouliza jana nilikuwa wapi kasome
   
 9. Buchanan

  Buchanan JF Diamond Member

  #9
  Feb 8, 2010
  Joined: May 19, 2009
  Messages: 13,210
  Likes Received: 381
  Trophy Points: 180
  Usichanganye mambo, hii mistari inazungumzia mambo ya husband na wife lakini ww unazungumzia mambo ya dating! Hapa ufafanuzi ni kwamba kama mlikuwa hamjaamini wakati mnaoana na ikitokea mmoja akaamini ndio Biblia imeshauri mkae pamoja ila kama mmoja anataka kuondoka aondoke! Lakini kumbuka: "Usifungiwe nira na wasioamini kwa jinsi isivyo sawa sawa!" Hapa Biblia haijauma maneno na inaeleweka vizuri sana! Usije ukaanza ku-justify tamaa eti kwa kudai "nikimtenga itakuwa vibaya!"
   
 10. Pape

  Pape JF-Expert Member

  #10
  Feb 8, 2010
  Joined: Dec 11, 2008
  Messages: 5,513
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  kamwe usifungiwe nira na wasioamini...
   
 11. drphone

  drphone JF-Expert Member

  #11
  Feb 8, 2010
  Joined: Sep 29, 2009
  Messages: 3,561
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 145
  tangu mungu ampe mke adamu na mwanamke akakosea na adamu akasema ni huyu mke ulonipa ndoametenda hivi. tangu siku hiyo mungu aliaacha biashara ya kumpa mme mke ikawa hivi kila apataye mke apatakitu chema so ili upate inabidi mwanaume utafute yy ametoa maelekezo na sifa za mke mwema
  mfano ulioa kabla ujaokoka after ukaokoka aliyetangulia kuokoka anatakiwa kumshawishi mwenzake aokoke.
   
 12. drphone

  drphone JF-Expert Member

  #12
  Feb 8, 2010
  Joined: Sep 29, 2009
  Messages: 3,561
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 145
  no comment mkuu
   
 13. Mentor

  Mentor JF-Expert Member

  #13
  Feb 8, 2010
  Joined: Oct 14, 2008
  Messages: 19,299
  Likes Received: 9,770
  Trophy Points: 280
  Eeh mwanichanganya kabisa. Labda mimi niwape msimamo wangu ili msijesema najaribu kujijustify!
  Personally, sioni kama ni sahihi a believer kudate a non-believer! (Nadhani mmeona sitaki kujijustify!)
  But shida ni je, is that really what the Bible tells us inaposema tusifungiwe nira?
  Na je: Nina msichana tuliyependana sana, tuseme miaka 5 hivi. Na wakati tunakutana, sote hatukuwa waamini. Ila miezi mitatu kabla ya ndoa, mimi nikaokoka. Je, ni sawa kumwacha??!
  Nadhani mnanielewa! hili suala limezua utata/ubishi hapa chuo ndo maana nikaona nililete kwa magreat thinkers! SO, please ni jambo serious na mnijibu kiurahisi nipate jinsi ya kumwelezea mtu ambaye:
  1. Ameokoka na anampenda msichana/kijana ambaye ni non-believer.
  2. mtu ambaye tayari yuko kwenye mahusiano na non-believer
  Tusaidiane tafadhali..
  nawasilisha...
   
 14. drphone

  drphone JF-Expert Member

  #14
  Feb 8, 2010
  Joined: Sep 29, 2009
  Messages: 3,561
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 145
  kwakweli maswali yako bado yanachanganya bado kama lakwanza lipo wazi utakiwi kuwa na uhusiano wa aina hiyo giza na nuru avikai pamoja
   
 15. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #15
  Feb 8, 2010
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 42,116
  Likes Received: 37,541
  Trophy Points: 280
  Msifungiwe nira pamoja na wasioamini, kwa jinsi isivyo sawasawa; kwa maana pana urafiki gani kati ya haki na uasi? Tena pana shirika gani kati ya nuru na giza?
   
 16. Sanda Matuta

  Sanda Matuta JF-Expert Member

  #16
  Feb 8, 2010
  Joined: May 9, 2007
  Messages: 950
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  wrong!
  giza na Nuru vinategemeana,hivi unajuaje kwa mfano,'huu ni mchana kama hamna usiku'?
  Ni kama vile hamana ukweli pasi na uongo,kwani existance ya kitu fulani lazima kuwe na its opposite.nisomo gumu kidogo ila hivyo ndivyo mambo Mungu alivyo umba.
  ili ujue uchamungu wako lazima ukae na walio si wachamungu uwaonyeshe njia,ili wafate njia iliyo bora lkn si kwa kushikana (i mean if it wont work out your ways then better to call it a quit)
   
 17. Mentor

  Mentor JF-Expert Member

  #17
  Feb 8, 2010
  Joined: Oct 14, 2008
  Messages: 19,299
  Likes Received: 9,770
  Trophy Points: 280
  Lakini Dr wajua kuna mifano mingi ya watu waliopendana (na mmoja ni non-believer). After sometime, akaja kuokoka...what do you have to say about that? mere coincidence? (Kilichonishinda kabisa ni watu wanatoa mifano ya wazazi wao kabisa)..so, as in swali kuu lililobaki kichwani kwangu ni je, tunatafsiri huu mstari sahihi ama tunaucomplicate sana? ndo maana nikauweka kama heading.
  Vipi swali la pili??!
  Nashukuru kwa mchango wako...
   
 18. Mentor

  Mentor JF-Expert Member

  #18
  Feb 8, 2010
  Joined: Oct 14, 2008
  Messages: 19,299
  Likes Received: 9,770
  Trophy Points: 280
  Hapo kwa green hatukubaliani!!! ndo maana huwezi kuwa na vyote at the same time...

  Hiyo ya purple: eenh kama nimekuelewa vyema, unamaanisha as long as I know sitaanguka kwa kuwa na mahusiano naye niendelee, ama nimekupata sivyo ndivyo??!
   
 19. Sanda Matuta

  Sanda Matuta JF-Expert Member

  #19
  Feb 8, 2010
  Joined: May 9, 2007
  Messages: 950
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  True,huwezi kuwa na vyote at the same time,unless you choose good or bad.
  Ninaamini wewe unataka kufanya lile lilo-bora kwako na at the same please God,right na katika kufanya hivyo unaona bora ni kufanya will of God according to Maandiko,si ndio?
   
 20. Buchanan

  Buchanan JF Diamond Member

  #20
  Feb 8, 2010
  Joined: May 19, 2009
  Messages: 13,210
  Likes Received: 381
  Trophy Points: 180
  Nimekuelimisha kwenye post #9 lakini hujacomment chochote kwenye post hiyo! Au unataka uelezwe "unayotaka kusikia?"
   
 1. This site uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
  By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.
  Dismiss Notice
 1. This site uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
  By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.
  Dismiss Notice
Loading...