2.3.1990 kidume ndo nimekuja duniani

Hongera kidume! Mungu akupe afya njema na maisha marefu!
 
We mtoto wewe umekuwa mapema wenzako wanakuwaga Fb we umekuja Jf anyway HB 2u
 
hongera mjukuu,
la kusema ungetuzaa ndio gumu hilo.
 

Subiri PM yangu ila usilalamikie ukameruni JF.
 
Dah,mi siku kama ya leo mwaka huo ulozaliwa ndpo nmeanza kupiga machine kwa mara ya kwanza,itabidi uni PM ili nijue ukongwe wamechi yangu ya kwanza!!
 
Dah,mi siku kama ya leo mwaka huo ulozaliwa ndpo nmeanza kupiga machine kwa mara ya kwanza,itabidi uni PM ili nijue ukongwe wamechi yangu ya kwanza!!
Mmmmmmmhhhhhhh,Mx
 
Mbwembwe zote ili 2 upewe congrats? Haya young mæn! Hap birthday then....mie ni every 3rd of january.....
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…