1tb wd extenal harddisk unllocated msaada plz

1tb wd extenal harddisk unllocated msaada plz

Sangoma

JF-Expert Member
Joined
Apr 7, 2012
Posts
344
Reaction score
165
Wakubwa habari za majukumu? nimepatwa na tatizo kwenye extenal harddisk yangu ni wd 1tb imegoma kuonekana kama kawaida inaandika unllocated plz mwenye msaada juu ya hilo naomba anisaidie japo kwa mawazo nifanye nini ili kuweza kuirudisha katika hali yake ya zamani iko kama hivi
first.jpg na hii ya pili second.jpg
 
download mini tool partition wizard change iwe logical, au kama unaweza kuichange hapo hapo iwe logical basi huna haja ya kudownload kitu
 
Back
Top Bottom