inamankusweke
JF-Expert Member
- Apr 24, 2014
- 18,300
- 18,753
Wenye nyumba kariakoo,temeke,magomeni,kinondoni,mabibo,ilala ni nk ni akina nani!?..hivi dar Kuna kabila linawazidi wazaram kwa wingi!?City is complex, more than place of single ethnic land.
Wazaramo muda huu tunaongea wako bagamoyo na mkuranga. Na yenyewe yakianza kuwa majiji wanayauza wanakimbilia uswekele
Hii inachagizwa sana na mfumo wa maisha Toka enzi za ukoloni, mzarAmo hakuweza kuendana na vipaumbele vyao, akakosa elimu. Akabaki na mawzo yake ya mababu.
Kumekuwa na tendency ya kusema wazaramo wanauza miji sabab wanpenda nyama pori. Wanahamia porini. Kiukweli mzarAmo Yuko chini ya kitako cha mfumo huu, ana hali mbaya. Na kama unavyojua, miji ikija inapandisha maisha kuwa juu, maji ya kununua, mayembele hayalimwi Tena barazani. Kila kitu pesa.
mzarAmo atayaweza wapi?