johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 84,035
- 142,131
Nadhani uwekwe utaratibu wa kutoruhu Jamii fulani kuuza Ardhi yao Yote Ili kulinda Historia na Utamaduni
Kwa mfano Kimara huwezi amini lilikuwa kijiji cha Wazaramo lakini leo ni kama Wilaya ya mkoa wa Kilimanjaro
Palestine walijisahau sasa wamekumbuka shuka kumeshakucha!
Ni hilo tu 😀