Kana-Ka-Nsungu
JF-Expert Member
- Oct 4, 2007
- 2,257
- 362
Kwa wale wapenzi wa masumbwi tarehe 19.04 ndio hivyo inakaribia. Katika ukumbi wa Thomas & Mack Center huko Las Vegas kutakuwa na mpambano mkali ambao umekuwa ukisubiriwa kwa hamu kati ya mmarekani Benard "The Excutioner" Hopkins [48-4-1(32ko)] na muingereza(Welsh actually)Joe Calzaghe [44-0 (32ko)].
Itakuwa ni mara ya kwanza kwa Calzaghe kuzipiga Marekani na mara yake ya kwanza pia kupigana kwenye uzito wa Light heavyweight. Calzaghe pia kama ulivyoona kwenye record yake, hajawahi kupigwa katika pro record yake kwa miaka 18 sasa, he is 36 year old. Hopkins ana miaka 43 kwa sasa na ameendelea kushangaza watu kwa jinsi ambavyo ameweza kijiweka fit na kuwadunda vijana wadogo kama Winky Right na Antonio Tarver (yule star wa Roky Balboa).Kauli aliyoitoa wakati hili pambano linanukia- "I'll never let a white boy beat me" imewaudhi wazungu wengi sana na naamini wengi watakua upande wa Calzaghe hiyo jumamosi.
My prediction- Najua I got it wrong last december kati ya Hatton na Mayweather lakini hapa naamini Calzaghe atashinda kwa points,imembidi aongeze uzito ili kufikia limit so nategemea ngumi zake zitakua nzito zaidi japokuwa sitegemei kuiona ile hand speed yake ya siku zote tuliyoizoea.Hopkins is a king of dirty fighting lakini kwa kuwa refa ni Joe Cortez (yule wa Hatton v Mayweather) nategemea fight itakuwa clean.
Usikose pia hii fight jumamosi ya tarehe 12.04.08
IBF Championship figh- Clinton Woods Vs Antonio Tarver.
[media]http://uk.youtube.com/watch?v=stOFhQAZZ_o[/media]