Bavaria
JF-Expert Member
- Jun 14, 2011
- 53,109
- 53,632
- Thread starter
- #21
Salama mkuu
Uzima upo aise tunapambana na maisha
Vipi pande zako huko Bulldog anatuwekea mambo kama haya wakati kwetu ni vyuma kuanzia kiti mpaka kitanda ukikaa au kulala inakuwa kama umekalia jiwe
Hahaha, nasikia mchina kasign deal la nguvu, atawaekea viti vya plastic kama vya kwenye sherehe. Wewe, utafiti Evelyn Salt CHAMInglady na Dinazarde mtafurahia sana
Last edited by a moderator: