16 Luxurious Train Trips That Will Make You Swear Off Cars Forever

16 Luxurious Train Trips That Will Make You Swear Off Cars Forever

Kwa kuziangalia tu hizi picha nime-enjoy utadhan mi ndo nasafiri
 
Kunyanyaswa kwa Watanzania ni mapungufu ya sheria za bongo na kuwaogopa tu.

Ila generally watu wa asia sio partners wa maendeleo.

Wao ni masikini tu kuliko hata sisi
Kwa kweli hakuna ubishi...
 
mkuu Bulldog hii nayo ni ya India!
overloaded_022.jpg

hahahaha... umenipa maujanja ya kupanda treni ya mwankyembe. sa'hivi ni mwendo wa juu tuu.
 
hahahaha... umenipa maujanja ya kupanda treni ya mwankyembe. sa'hivi ni mwendo wa juu tuu.
mkuu kwa kupandia ndo issue!wenzetu si unaona wanaanzia juu ya paa la nyumba ndo wanaingia kwenye paa la treni!!
 
Train anayoleta Mwakyembe sijui itakamilika mwaka gani.
 
Back
Top Bottom