FaizaFoxy
Platinum Member
- Apr 13, 2011
- 100,506
- 123,821
Hapana bi mkubwa kila kitu kwako ni siasa na dini mda mwingine tuache tupumue aisee
Usinisome.
Hapana bi mkubwa kila kitu kwako ni siasa na dini mda mwingine tuache tupumue aisee
Usinisome.
Nyerere aliiuwa train yetu, nakumbuka miaka ya 60s niliipanda train yetu nikiwa na wazazi wangu kuelekea Kigoma, Ilkuwa kama train zozote za kimataifa za wakati huo.
Vyumba vizuri, buffet nzuri, usafi, wahudumu wanaojali, time ya kula kengele, time ya kulala mablangeti, mashuka safi meupe. Aaaah.
Baada ya kuichukuwa sisi! duh, mende mpaka makalioni.
Mkuu Bulldog Billed as "the most luxurious train in the world," The Pride of Africa costs between $5,000-$10,000 per person. It travels from Cape Town, South Africa to Dar Es Salaam, Tanzania. Here, it makes a stop at Victoria Fall. Naomba kuuliza kwahiyo reli yetu ya TAZARA yenyewe ipo kwenye standard gauge tayari?
Kuna suala ambalo watanzania hatujalipangilia vizuri kwenye sekta ya usafirishaji, hususani wa abiria. Mimi uwa nasikitika sana pale abiria (wakiwemo watanzania na wageni) kusafiri kwa basi ama treni na kupita kwenye hifadhi za viumbepori mbalimbali huku wakilipa nauli za kiwango cha chini sana. Mfano, abiria wa kutoka Dar hadi Mbeya, huyu katika safari yake anaona wanyamapori katika Hifadhi za Mikumi na Udzungwa, karibu bure kabisa. Yaani abiria anatoa pesa isiyozidi TZS 100,000 na anapita katika mandhari hayo yote bila kulipia gharama za kuona mandhari hayo!! Vivyo hivyo kwa abiria wa kutoka Arusha kwenda Mugumu, Serengeti, huyu anapita katika Hifadhi za Loliondo, Ngorongoro na Serengeti na kujionea wanyamapori kwa bure kabisa!!
Hapo dawa ni kuingiza gharama za kuona maliasili hizo katika nauli za usafiri, hususani wa mabasi na treni. Ndiyo maana katika nchi za wenzetu (walioendelea), usafiri wa basi na treni uwa ni ghali kuliko wa ndege ukizungumzia kwa uwiano wa umbali.
Au unaonaje chifu?
Tatizo uko kila mahali ka unga wa ngano ok ntajaribu kufanya hivyo nikishindwa nakuambia ukweli bi mkubwa kiroho safii
Soma vizuri namna ya mutumia JF kuna kifungo cha ignore. Jifundishe kukitumia.
Halafu mmoja wao hapo akifanikiwa kuchoropoka na kuja Tanzania atatunyanyasaje mitaaani....Tatizo idadi ya watu wa india ni shida, kijiji kimoja india huku kwetu ni wilaya.
Hao wanaenda kijijini kwao
Ukimkosa huyo muulize yule aliyekwenda kumuokoa kijana wake aliyekamatwa na sembe China....Ngoja nimuulize kinana kama ana partnership na wachina
Hahahahaaaaaa.....lazima chombo kitakuwa kimesimama. Sasa kikiwa kwenye kasi ikatokea kimepita kwenye sehemu yenye matawi mengi ya miti yaliyoinamia relini sipati picha hiyo "hamsa wa ishirini" itakayotembezwa huko juu....na jamaa hawana wasiwasi kabisa!!kuna wengine wanapiga msosi sijui chombo kimesimama!!
mkuu nadhani njia itakuwa imeondolewa miti yote inayoweza kutembeza hizo hamsa wa ishirini!Hahahahaaaaaa.....lazima chombo kitakuwa kimesimama. Sasa kikiwa kwenye kasi ikatokea kimepita kwenye sehemu yenye matawi mengi ya miti yaliyoinamia relini sipati picha hiyo "hamsa wa ishirini" itakayotembezwa huko juu....
Halafu mmoja wao hapo akifanikiwa kuchoropoka na kuja Tanzania atatunyanyasaje mitaaani....
Wewe nawe..! Kila kitu Nyerere Nyerere! Utadhani alikuahidi kukuoa akakusaliti bhana..aahg. hadi inakera.
Soma vizuri namna ya mutumia JF kuna kifungo cha ignore. Jifundishe kukitumia.