12 Ways To Ruin Sex

Sababu we suppose that kuna watu wanaruhusa ya kusoma hivi vitu na kuvitumia (lovers in general). Ila kama watatumia vibaya sasa hapo sisi hatumo...

mmmmmhhhh RussianRoulette leo ume side na mimi kwa mara ya kwanza? Ngoja nipate usingizi mnono,siamini!
 
Sababu we suppose that kuna watu wanaruhusa ya kusoma hivi vitu na kuvitumia (lovers in general). Ila kama watatumia vibaya sasa hapo sisi hatumo...

hii kwa aliye ktka ndoa anaruhusiwa kusoma ili umwongezee tips za kuboresha unyumba,but not all content of the thread,kwa asiye ktk mahusiano haimuhusu!
 
again,sawa mama.

we bishanga bashaija,the banana man mi sio mama ni kaka mkuu,vp tena? Kwaniavator yangu inaonyesha mi ni mama? Hunioni hapo kati na nilivyo handsome? Au umepata rubusi muda huu
 
Nakumbuka mshua alikuwa anapenda kula lunch home sasa nikajiuliza why was he driving all the way from the office mchana kuja hadi nyumbani kula lunch kwanini asile huko huko kazini.....lol!!!
Hahaha! Kijana umekuwa sasa eeh? Unataka laana ya mshua au?
 
kweli sijalala,nipe Bebii niongee naye.

unataka uongee na mke wa mtu usikuu wa kazi gani wewe? na yuko katika kazi ya kuimplement hiki kilicholetwa hapa? Kama umechoka si bora ukakojoe ukalale mkuu?
 
we bishanga bashaija,the banana man mi sio mama ni kaka mkuu,vp tena? Kwaniavator yangu inaonyesha mi ni mama? Hunioni hapo kati na nilivyo handsome? Au umepata rubusi muda huu
Nduu,la gender wala lisikusumbue,ni kitu kidogo tu,man,woman wote ni waja wa Subhana wataal,la msingi jf ni tuwe na fair play.
 
Back
Top Bottom