10th Freemassons Conference - Whitesands

Freemasons, a group of powerful believers of satan!!! This is dangerous, and it has attracted a number of influential beings all over the World!! Likewise, in Tanzania, some big shots, rich/well off people, business tycoons, etc worship this Devil. There are shocking sacrifices and ceremonies for the DEVIL. Ohhhhh my God!!!
 
nikiwa hapo Dar es salaam niliwahi kuona Jengo moja pale jirani na BOT, Nyuma ya Kilimanjaro Hotel limeandikwa Freemasons, jengo moja la kale, bado sina hakika kama bado lile Jengo lipo, nikashangaa kuona kuwa wale jamaa wanafanya shughuli zao hadharani, sasa nikajiuliza shetani gani anafanya mambo kwenye mazingira hayo. mie sielewi. lakini pale si ndio makao makuu yao Hapa Tz.
 
Huwa najiuliza sana hivi picha ya NYOKA hospital huwa ina kazi gani?Hata nyoka kwenye shilingi mia tano inanipa mashaka sana na naona hawa jamaa ndio wenye hizo hela na tunawaabudu bila kujua kwa kutumia vitu vyenye nembo zao.
Habari ya kuchangia shughuli za kijamii si baya ila hatujui katika michango hiyo ni maisha ya watu wangapi yanapotea kutokana na hawa watu maana haijulikani wanapata wapi pesa,pia haijulikani kikundi chao kina mlengo gani.Kuna wakati nilikuwa napita pale nyuma ya Kempisky na kuliona jengo lao lakini hakuna hata siku moja niliyoweza kuona kuna mtu au lipo wazi,na hata nilipojaribu kuuliza walinzi wa maeneo yale nao hawakuwa na jibu kwa maana hawajawahi kuona mtu.
Jmani ogopeni hawa watu maana mwisho wake hakuna anayejua.

acha uongo,mlinzi analinda nani/nini?. Huoni mtu anauza soda pale mlangoni?. Jf inahazina ya info lakini hamtaki kuitumia. Tafadhari someni taarifa za hawa watu, tuache mijadara ya kutishana.
 
If i may ask, is freemasonry a brotherhood or a religion? Mbona atheists ambao hawaamini uwepo wa Mungu hawaruhusiwi kujiunga na wale wanaoamini wanaruhusiwa?! Je freemasonry imeanza baada ya dini zetu au ilikuwepo hata kabla ya dini zetu? Tafadhali, naomba mnielimishe.
 
Pdidy, nadhani unapenda kusoma vitabu pia au sio....sasa kuna novel imeandikwa na Dan Brown inaitwa The Lost Symbol.Ukipata nafasi ukasoma hiyo novel utaelewa sana kuhusu Freemason and beleifs zake. Atleast utapata a little bit of an insight kuhusu Freemason. Uko hapo!! Ila novel hii ofcourse inaongelea Freemason wa USA lakini i beleive ni same everywhere.
 
... mpendwa mwana jf soma amri kumi za hao jamaa ni hatari. usipende hata kuwafuatilia mambo yao. ni hatari zaidi.
 
If i may ask, is freemasonry a brotherhood or a religion? Mbona atheists ambao hawaamini uwepo wa Mungu hawaruhusiwi kujiunga na wale wanaoamini wanaruhusiwa?! Je freemasonry imeanza baada ya dini zetu au ilikuwepo hata kabla ya dini zetu? Tafadhali, naomba mnielimishe.
ilianza baada ya dini, ilianza wakati wa roman empire.
 
nikiwa hapo Dar es salaam niliwahi kuona Jengo moja pale jirani na BOT, Nyuma ya Kilimanjaro Hotel limeandikwa Freemasons, jengo moja la kale, bado sina hakika kama bado lile Jengo lipo, nikashangaa kuona kuwa wale jamaa wanafanya shughuli zao hadharani, sasa nikajiuliza shetani gani anafanya mambo kwenye mazingira hayo. mie sielewi. lakini pale si ndio makao makuu yao Hapa Tz.
Ile nyumba ipo na mchana geti lipo wazi kama kawa.
Angalizo
Shetani hafanyi mambo kwa kujificha, angalia hao madem wanaotembea robotatu uchi je wanatembea kwa kujificha?
 
hivi inawezekana tunatibiwa na hospital za FREEMASSONS nyingi bila kujijua...nimejiuliza hii ni moja ya waliotaja live yawezekana hata muhimbili na kweingineko tunapelekewa pesa zao za mashetani loh
nchi yangu umsikini wako kila mtu anakutumia

Jamani dawa si dawa tu - ilimradi upone.
 
Tatizo ni kwamba freemasons wapo ki-conspiracy zaidi kwahiyo hata kujua undani wao ni tabu sana. Information nyingi kuhusu freemasons ni za kusadikika. Pia inahusishwa na li-institution lingine linaitwa iluminati! Mbaya zaidi inasemekana control of the whole world iko chini yao. Vilevile ukiwa member unalishwa viapo vingi sana ili usithubutu kuvunja miiko yao. Member wengi wa hii kitu ndio ma-forbes wa dunia
 
Gama
By dini nilikuwa namaanisha the largely known ones, christianity and islam, sorry i wasn't clear.
Anyways haipo clear when exactly freemasonry ilianza. Baadhi ya wanahistoria wanasema ni baada ya kuanzinshwa kwa Grand Lodge of England (ambapo ndio jibu lako linakuwa sawa) na pia kuna wengine wanaosema hawa jamaa walikuwepo way back lakini as a secret society communicating in symbols and codes.
Na kwa nini watu wanasema hawa ni "dini" ya mashetani? What evidence do people have?! Rituals? We all have different rituals. Kuna ambao wanaabudu sanamu, ng'ombe lakini hao wanaonekana si mashetani. Kwa nini hawa? Hapo hapo ukiangalia list ya top philanthropists utakuta atheists/agnostics/deists na masons, lakini bado hawa wanaonekana mashetani.
 
Shetani sasa anafanya kazi waziwazi kabisa!
 
Ile nyumba ipo na mchana geti lipo wazi kama kawa.
Angalizo
Shetani hafanyi mambo kwa kujificha, angalia hao madem wanaotembea robotatu uchi je wanatembea kwa kujificha?

yap, hilo nalo neno¤. Madem wanaotembea 3/4 uchi ni masheti ndo maana hawajifichi. Wanaume wanao watongoza na kuwa-reward everthing from sweet2bitter2death ni wacha mungu ndo maana wanafanya uharamia huu kwa kujificha.
 
Gama
By dini nilikuwa namaanisha the largely known ones, christianity and islam, sorry i wasn't clear.
Anyways haipo clear when exactly freemasonry ilianza. Baadhi ya wanahistoria wanasema ni baada ya kuanzinshwa kwa Grand Lodge of England (ambapo ndio jibu lako linakuwa sawa) na pia kuna wengine wanaosema hawa jamaa walikuwepo way back lakini as a secret society communicating in symbols and codes.
Na kwa nini watu wanasema hawa ni "dini" ya mashetani? What evidence do people have?! Rituals? We all have different rituals. Kuna ambao wanaabudu sanamu, ng'ombe lakini hao wanaonekana si mashetani. Kwa nini hawa? Hapo hapo ukiangalia list ya top philanthropists utakuta atheists/agnostics/deists na masons, lakini bado hawa wanaonekana mashetani.

nilipata kusoma katika makara moja kuwa jumuiya hii ilipanuka na kukomaa wakati rumi ilivyokuwa ikipanuka:reason-wengi wao walikuwa wakata mawe.kumbuka kuwa enzi hizo mahekaru mengi yalijengwa na kunakshiwa kwa mawe,so walipata fedha nyingi mpaka wakawa na influence katika jamii.
 
mi nawashauri wana jf pls dont be a member of such a thing,god forbid

Uhuru wa kuabudu ni binafsi, nikiabudu mnyama kama baadhi ya wahindi sawa, nikiabudu mti sawa, nikiabudu msalaba sawa, nikiabudu mwezi sawa. Duniani asilimia kubwa ya watu wengi(viongozi, wafanyabiashara) ni wafuasi wa Freemassons, Haikuhusu wewe. Unless uwe na sababu za ku-convince na siyo eti dini ya mashetani,wewe ulienda ukawaona????
 
Tatizo ni kwamba freemasons wapo ki-conspiracy zaidi kwahiyo hata kujua undani wao ni tabu sana. Information nyingi kuhusu freemasons ni za kusadikika. Pia inahusishwa na li-institution lingine linaitwa iluminati! Mbaya zaidi inasemekana control of the whole world iko chini yao. Vilevile ukiwa member unalishwa viapo vingi sana ili usithubutu kuvunja miiko yao. Member wengi wa hii kitu ndio ma-forbes wa dunia

ulongo. Info kuhusu freemanson ziko wazi, ukisoma vitabu hata ukikutana nae njiani utamjua na hata cheo chake. Tazama pete zenye alama kama eagle, scorpio etc. Tazama handshake na posture ya presenter b4 the audience etc. Kitu ambacho cjackia kwa hawa watu ni blood sacrifice,mwenye info atujuze. Ni vema tutenganishe kundi hili na makundi mengine. Gt9t
 
Uhuru wa kuabudu ni binafsi, nikiabudu mnyama kama baadhi ya wahindi sawa, nikiabudu mti sawa, nikiabudu msalaba sawa, nikiabudu mwezi sawa. Duniani asilimia kubwa ya watu wengi(viongozi, wafanyabiashara) ni wafuasi wa Freemassons, Haikuhusu wewe. Unless uwe na sababu za ku-convince na siyo eti dini ya mashetani,wewe ulienda ukawaona????

good PT
 
tupe ushahidi kuwa ni dini(mimi nakataa kuwa c dini) tupe ushahidi wa uhusiano wao na shetani.
 
Gama
yap, inasemekana hiyo ni kweli na ushahidi tosha ni symbols walizoacha huko walikojenga.
Reason ya kupata hela na kuwa influential pia inaeza kuwa kweli (meaning walifanya kazi na kulipwa, sio shetani aliyewashushia hela) Vilevile labda some of the top roman rulers were masons, kwa sababu huwezi kuruhusu mji wako uwe branded na symbols usizozielewa na kufimbia macho tu, au udhanie ni mapambo.
All in all, i still fail to connect this guys na mashetani. What do u think?
 
Shekh yahaya jehanam inakusubili uwezi kufanya kazi sawa na mungu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom