10th Freemassons Conference - Whitesands

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
50,956
22,148
Wapendwa habarini za uko
nilipata email ya mwaliko kutoka kwa bwana mmoja muhindi ikinitaarifu tar 23-26 september kutakuwa na 10th freemasson conferenc whtitesands na kwa wale wasio massons pia wanaakaribishwa na kutakuwa na mchango wa kuchangia kunduchi health centre kuwasaidia watu wa tegeta na karibu yake jamani waliohudhuria embu tuabalishen nini cha maana kwa hawa mabwana sasa kuwa wazi hivi

mungu atuepushie mbali
 
SHEIKHYAHYA.jpg

Nahuyu atakuwepo??
 
mi nawashauri wana jf pls dont be a member of such a thing,god forbid
 
jamani kuna mtu mwenye fact za ubaya wa HIi kitu freemasons?
 
The only reason lies kwa wale wanaoamini kuna Mungu mmoja,Mungu atuepushe na haya mambo.
 
Jjamani nimeonyeshwa pale quality plaza njia yakuingia precissionair offices kulia na kushoto kuna michoro ya ajabu ajabu mi nkajua mapambo nimetabanaishwa ni moja ya freemassons samples..mmmhh naambiwa ipo mpka kwenye dolla za marekan jaman ninavyozipenda si ndio wataturudisha umasikini ...anyway
 
Kituko.,..facts zake ni kwenye imani,kuabudu Shetani ni ushirikina uliokubuhu......Mungu hapendi kufananishwa na k2 chochote.kwenye maandiko takatifu,be Quran or BiBLE
 
SHEIKHYAHYA.jpg

Nahuyu atakuwepo??

huyu si freemassons pekee anahifadhi misukule zaidi ya 100
kuna katoto kamoja kaliongea live hadharani kalichukuliwa na sheikh yayhya na akapelekewa dvd akatae ama aende kulishtaki hilo kanisa mpaka leo..akataja na mpaka sababu loh dunia
 
Toa sababu

mfyukuzi kw upande wangu nachukulia kama ni kuabudu dini za kishetani,while tanzania mimi natambua imani kubwa za dini ni uislamu na ukristo sasa hizo zinazojitokeza kwa kweli nawasiwasi nazo
 
hivi inawezekana tunatibiwa na hospital za FREEMASSONS nyingi bila kujijua...nimejiuliza hii ni moja ya waliotaja live yawezekana hata muhimbili na kweingineko tunapelekewa pesa zao za mashetani loh
nchi yangu umsikini wako kila mtu anakutumia
 
rafiki,freemansons siyo dini na wala si iman,ni club/society kama ilivyo lions etc. Tafuta kwenye encyclopedia uone ni nini,ucsiogope kivuli chako mwenyewe.
 
rafiki,freemansons siyo dini na wala si iman,ni club/society kama ilivyo lions etc. Tafuta kwenye encyclopedia uone ni nini,ucsiogope kivuli chako mwenyewe.

loh!!!!tunapoelekea shetani ataitwa MUNGU
 
Wapendwa habarini za uko
nilipata email ya mwaliko kutoka kwa bwana mmoja muhindi ikinitaarifu tar 23-26 september kutakuwa na 10th freemasson conferenc whtitesands na kwa wale wasio massons pia wanaakaribishwa na kutakuwa na mchango wa kuchangia kunduchi health centre kuwasaidia watu wa tegeta na karibu yake jamani waliohudhuria embu tuabalishen nini cha maana kwa hawa mabwana sasa kuwa wazi hivi

mungu atuepushie mbali

Tarehe hizo zimeshapita sio??
 
Huwa najiuliza sana hivi picha ya NYOKA hospital huwa ina kazi gani?Hata nyoka kwenye shilingi mia tano inanipa mashaka sana na naona hawa jamaa ndio wenye hizo hela na tunawaabudu bila kujua kwa kutumia vitu vyenye nembo zao.
Habari ya kuchangia shughuli za kijamii si baya ila hatujui katika michango hiyo ni maisha ya watu wangapi yanapotea kutokana na hawa watu maana haijulikani wanapata wapi pesa,pia haijulikani kikundi chao kina mlengo gani.Kuna wakati nilikuwa napita pale nyuma ya Kempisky na kuliona jengo lao lakini hakuna hata siku moja niliyoweza kuona kuna mtu au lipo wazi,na hata nilipojaribu kuuliza walinzi wa maeneo yale nao hawakuwa na jibu kwa maana hawajawahi kuona mtu.
Jmani ogopeni hawa watu maana mwisho wake hakuna anayejua.
 
1.hapa duniani kuna migawanyiko miwili ya kiimani, wanaoamini mungu na wale wamwaminio shetani,
2.upande wa mungu kuna jumuia na makanisa mengi......hao wote humtambua mungu.
3.upande wa shetani pia kuna jumuia na hata kanisa la shetani..satanic church lipo....wao humtambua shetani
ni hiari yako ewe binadamu kuchagua uende upande upi.....nakushauri uende upande wa mungu...hutajuta.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom