Battor
JF-Expert Member
- Mar 21, 2019
- 2,212
- 3,989
Na hiyo pesa inaonekana imechoka sana aise. Ni ya mwaka gani?Aaantee mkuu, ila utata ni kwamba sina uhakika kama bado inatumika ama walishabadilisha
Kama sijakosea ni tangu 2009 nipo sec school, sasa niliitunza kwenye wallet fulan nikatupa kwenye sanduku leo katika harakati za kutafuta document fulan ndo nikakutana nayo hiyoNa hiyo pesa inaonekana imechoka sana aise. Ni ya mwaka gani?
Sawa,bwana battor.Asante kwa ushauri, nilipewa na sister wa kikatoriki
Kumbe hela ya Ghana inaitwa Cedis dah!!!, nilikuwa sijui.Habari wakuu nauliza hii pesa bado inatumika ghana au ni uchafu tu kama uchafu mwingine.
Nimeikuta kwenye kabrasha zangu pindi nafanya usafi.
Duh!!!!,Wametuzidi parefu balaaa.Ukiingia Google inakuletea ni sawa na 397,295.02 Tanzanian Shilling. Shida ipo kwenye kubadilisha hiyo pesa
..na kuipata iyo ina ugumuelfu ishirin yao