Iron Lady
JF-Expert Member
- Mar 4, 2008
- 4,071
- 1,363
Is dreaming a reflection of what you have been thinking or seeing all along the day? or upcoming things? magical situations? can someone help on this?
from psychology point of view, yote uliyoyasema yako sahii
some scholas say ndoto ni reflection of what you have been seen and thinking as well, tulalapo ile subconscious mind ndio inaanza kuzitoa zile issues zote. ukiwa macho conscious mind ndio ipo katika control.
lakini wengine wanaongeza kuwa ndoto ni zaidi ya reflection of what people do, see and think when they are conscious. ndoto zaweza kuwa ni connection of physical world and spirit, ndio hapa wengine wanaota mambo yajayo, wanaota siri za ukweli kuhusu jambo fulani au mambo ya kweli kabisa yanayowahusu wao au watu wao wa karibu. na ndio hapa inapohitajika busara kutafsiri na kupata maana husika, wengine huuota mambo yajayo kama yatakavyokuja wengine huota mabo yajayo katika mafumbo ya aina fulani hadi waanze kuyadadavua moja baada ya jingine wataweza kupata maana iliyokusudiwa.
dreams are mysterious as death and life itself.