yahoo
JF-Expert Member
- Sep 9, 2011
- 3,526
- 1,410
Sudan Wengi Wao Ni Wanubi Weusi Kama Mkaa.Na Wako Katika Ukanda Wa Jangwa La Sahara.Jua Kali Linawapausha.
Swaziland Population Yao Ndogo Sana Haizidi Mil.5 Kwahiyo Huwezi Kuwapambanisha Na Kenya Wenye Populationa Ya Zaid Ya Mil.30.Istoshe Wapo Wakenya Wengi Ambao Ni Mixed Somalia
Mali Na Senegal Hakuna Wanawake Wazuri.Wengi Wao Ni Weusi Na Midomo Mikubwa Iliyokauka.Na Walikua Chini Ya Mkoloni Mfaransa.Huwezi Kuwafananisha Na Wacameroon Ambao Ni Mixed Ubelgiji(Belgium).
Hoja yako kwamba wasudani ni weusi kama mkaa na wanapigwa na jua haina mashiko coz hapa tunazungumzia urembo ndani ya rangi ya asili ,body + sura na sio uzuri wa dukani kama wa hao waliopo kwenye hayo mapichA ....hebu fatilia vzuri ione mrembo wa kisudani anaekula vizuri na asiepigwa na jua jinsi anavokuwa utakubali ....kuhusu warembo wa rwanda hilo kabila walikimbia vita zamani huko kutoka ethiopia ndo wakaja kuzaliana rwanda..asante kwa kushiriki