Mkuu umenikumbusha mwalimu wangu wa literature o level, kwny kitabu cha the river btn, alisema no beautiful women in KenyaWapi Angola, Wapi Rwanda, Wapi Cape Verde, Wapi Mauritius....And how could Kenya of all African countries fit into top ten? This list is garbage
Sio uzuri tu... kwa mujibu wa utafiti uliofanyika mwaka 2013 Rwanda ndio inashika nafasi ya 2 kwa MAHABA duniani ya kwanza ikiwa UFILIPINO
Wakorea nao wapo vizuri.
Alieandika hiyo atakuwa MKENYA
Nimepuuza hii list nilipoona Kenya!
Huu NI Uongo! Nimezaliwa, kukulia na kusoma hapa hapa TanZania mwanamke kama huyu kwenye picha hapo chini sijawahi kumuona, hii picha wameitowa wapi? Huyu Hawezi kuwakilisha Wanawake wa Watz kwa maana hawako hivyo na wala hawana huo muonekano!