Hahahahahah haya bana,mie si mpenzi wa mtandao thats y ihate when men keep staring at my back,3sm nt intrested mie nakunwa na 1 to 1 match lol
Unaguna nini?? Ina maana umesahau au?? Lol
unajua naweza kukupa namba kwenye hii timu wewe!
Weka dau mezani uone ka lara 1 atachomoa,tatizo we misimamo yako inakuponza!
weka dau mezani uone ka lara 1 atachomoa,tatizo we misimamo yako inakuponza!
Nakukumbusha tena mie nakunywa ka Wine kanaitwa Mon amie..! Andika mahali usije ukasahau..Lol
samahani!!!! Namba unayopiga mwenye simu tumemuibia mda si mrefu, tafadali usimpigie tena kwa namba hiii sabuabu hatuirudishi hata dau liwe bei gani!!!! Jaribu na mada ingine baadae!
Uko poa mamito mic u,mie dompo inatosha kunistua nikeshe vizuri,tatizo anajidai ze komunisti ila kula anataka...