Mzee Mwanakijiji
Platinum Member
- Mar 10, 2006
- 34,266
- 44,690
Kuna wakati wa kulalamika na kunung'unika na kuna wakati wa kuamua kufanya kitu. Wapo ambao wameamua na wanaamua kufanya kitu.. Wakati wa kufanya kitu wakati mwingine inategemea sana muda na muda ukifika inabidi ufanye hicho kitu.. so ndani ya masaa 24 tunaanza kuhesabu tic tac tic tac
Vipi tena CCJ imefufuka nakumbuka wakati unaitangaza ulianza hivihivi kwa kututisha..na katiba yake.Kuna wakati wa kulalamika na kunung'unika na kuna wakati wa kuamua kufanya kitu. Wapo ambao wameamua na wanaamua kufanya kitu.. Wakati wa kufanya kitu wakati mwingine inategemea sana muda na muda ukifika inabidi ufanye hicho kitu.. so ndani ya masaa 24 tunaanza kuhesabu tic tac tic tac
Hata mwaka bado abadilishe baraza hawaamini?Jamaa anatuacha hewani, cjui anamaanisha timbwili timbwili la Igunga, au ndo hivyo kama tulivyoahidiwa kuwa baada ya bunge Kiwete atavunja baraza la mawezi. Mmmh, mii sijui bwana nasubiri wadau mtoe majibu
Kuna wakati wa kulalamika na kunung'unika na kuna wakati wa kuamua kufanya kitu. Wapo ambao wameamua na wanaamua kufanya kitu.. Wakati wa kufanya kitu wakati mwingine inategemea sana muda na muda ukifika inabidi ufanye hicho kitu.. so ndani ya masaa 24 tunaanza kuhesabu tic tac tic tac
ahadi ya PINDA vs umeme?Kuna wakati wa kulalamika na kunung'unika na kuna wakati wa kuamua kufanya kitu. Wapo ambao wameamua na wanaamua kufanya kitu.. Wakati wa kufanya kitu wakati mwingine inategemea sana muda na muda ukifika inabidi ufanye hicho kitu.. so ndani ya masaa 24 tunaanza kuhesabu tic tac tic tac
Ushapata kibaraza na godoro?....Maana inaonyesha unataka kufanya mambo ya Anna Hazzare!!kama kuna watu wamechaguliwa kufanya kazi na hawafanyi wakati mwingine inabidi wasukumwe kidogo... I mean tutaendelea kuwaomba mpaka lini?
Mkuu huwa unanikumbushianga sana GT,huyu jamaa mna similarities nyingi sana.Hii ni safi sana kwa JF.
kama kuna watu wamechaguliwa kufanya kazi na hawafanyi wakati mwingine inabidi wasukumwe kidogo... I mean tutaendelea kuwaomba mpaka lini?