Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira), Mhandisi Hamad Yussuf Masauni (kulia), akipokea Uenyekiti wa Baraza la Mawaziri la Mamlaka ya Ziwa Tanganyika (LTA) kutoka kwa Waziri wa Uchumi wa Kijani na Mazingira nchini Zambia, Gilbert Siame aliyewakilishwa na Katibu Mkuu wa...