Mbunge wa zamani wa Kilwa Kusini Seleman Bungara 'Bwege' ameandika kwenye mitandao ya kijamii na kueleza kuwa masikitiko yake ya kutomuona Zitto Kabwe, Kiongozi mstaafu wa Chama cha ACT-Wazalendo.
"Tunajua Tundu Lissu ni rafiki yako wa karibu sana alipopigwa risasi 16 ulisafiri kwenda Kenya...
Unakuwa na mtu kama Mbowe na Zitto alafu kwa akili zako timamu unasema ni wa wapinzani wanaotaka kuig'oa CCM.
Watu ambao wanafanya siasa za biashara.
Magufuli shujaa wa Africa alipinga siasa za biashara na kuwahadaa watanzania wanaolipa kodi.
Shujaa atakumbukwa sana?
Kipindi kile CHADEMA ilikuwa na nguvu kiasi cha kukaribia kuchukua dola. Dk Slaa alikubalika sana watu walitaka ukombozi.
Lakini Zitto Kabwe akatumiwa kuisaliti Cdm akawa anapewa pesa kwenye magunia ili awahonge wanachama makini wa CHADEMA Warudi CCM.
Hakustahili kabisa kupewa nafasi kuongea...
Wanabodi
Hii ni makala yangu kwenye Nipashe ya Jumapili ya leo
Naomba kuanza kwa declaration of interest,mimi za Zitto ni marafiki wa intake moja UDSM,namfahamu kwa karibu na huwa tunataniana,hivyo namfahamu ni mtu pragmatist anafuata siasa za pragmatism,Thread 'Face 2 Face with Zitto Kabwe...
Mahakama Kuu ya Tanzania imetupilia mbali kesi ya madai ya matusi iliyokuwa ikimkabili Kiongozi wa Chama Mstaafu wa ACT Wazalendo, Zitto Kabwe, iliyofunguliwa na Harbinder Singh Sethi wa kampuni ya Pan Africa Power Solutions Ltd (PAP).
Pia soma > Zitto Kabwe afunguliwa kesi na Harbinder Singh...
Yaani Comedian kama Baba Levo anaingia Bungeni kwenda kufanya maamuzi makubwa kwa ajili ya taifa letu!
Zitto Kabwe pamoja na kujifanya mnafiki mwenye udini na anayejali tumbo lake wamekataa kumpa hat ubunge wa mchongo!
This CCM hapana
Wananchama wa ACT Wazalendo jimbo la Kigoma Mjini wamefungua kesi kupinga matokeo yaliyompa ushindi Baba Levo, moja ya sababu ya kufungua shauri hilo ni ubabaishaji wa kutangaza matokeo mara mbili.
Awali Baba Levo alitangazwa kupata kura 35, 725 naZitto Kabwe kupata kura 16,619, baadaye baada...
Mbunge mteule wa Kigoma Mjini, Clayton Revocatus (Baba Levo), amesema kuwa alitumia kila aina ya mbinu ili kushinda uchaguzi kutokana na nguvu na uzoefu aliokuwa nao mpinzani wake Zitto Kabwe katika jimbo hilo.
Mbubge huyo Mteule ameyazungumza hayo jijini Dodoma, ambapo ameeleza kuwa ushindi...
Mgombea Ubunge wa Jimbo la Kigoma Mjini kwa tiketi ya Chama cha ACT Wazalendo, Zitto Kabwe, amesema moja ya ahadi zake ni kitetea Watu wa Kigoma ambao wamekuwa wakipata usumbufu katika suala la Uraia wao.
Zitto ambaye ni Kiongozi Mstaafu wa ACT Wazalendo amesema hayo Jumapili Oktoba 12, 2025...
Kiongozi Mstaafu wa ACT Wazalendo na Mgombea Ubunge wa Jimbo la Kigoma Mjini kwa tiketi ya Chama cha ACT Wazalendo, Zitto Kabwe, leo Jumapili Oktoba 12, 2025 anafanya Mkutano Mkubwa wa Kampeni katika Uwanja wa Community Center.
https://www.youtube.com/live/FfJn75bEH7Y?si=XT0o3ke-vz7q0bIs...
Mgombea Ubunge wa Jimbo la Kigoma Mjini kupitia Chama cha ACT Wazalendo, Zitto Kabwe, amekutana na vijana wa jimbo hilo na kujadili nao changamoto mbalimbali zinazowakabili.
Katika mkutano huo, vijana wengi waliotoka katika timu tofauti za mpira wa miguu wamesema kwa mara ya kwanza watashiriki...
Wakuu
Bungala anaendelea kupiga kwenye mshono, amemtaka Zitto ajisafishe la sivyo hatoaminika tena na ACT itapoteza mvuto wake. Bwege ameunga dots kwa yaliyotukia Kigoma hivi karibuni ambapo Baba Levo na Rais walikuwa wakimuongelea Zitto na kuoenekana kama kijana wa nyumbani (CCM).
Soma pia >...
Mwanachama wa ACT Selemani Bungala Maarufu kama Bwege anaeleza kuwa wakati mambo yanatokota kipindi cha Mbowe pale CHADEMA, Heche na wenzake walitaka kuhamia ACT Wazalendo lakini Zitto aliwakataa kwa sababu wangeendeleza siasa zao za maneno makali na hivyo kumuharibia kwa Rais ambaye alikuwa...
Mgombea Ubunge wa Jimbo la Kigoma Mjini kupitia Chama cha ACT- Wazalendo Zitto Zuberi Kabwe amewaambia wanakigoma wakimchagua kuwa Mbunge atashusha bei ya Simenti ambayo inazalishwa katika Mkoa huo kutokana na bidhaa hiyo kuuzwa bei sawa na Simenti inayotoka Dar es salaam.
Zitto Kabwe amesema...
Zitto hakutoka siku wenzie wanatoka kumkataa Magufuli. Why? Aliamini Magufuli ataendeleza kama alivyokuwa anafanya kikwete. Kumpatia fungu, pesa za kujikimu.
Magufuli alikuwa anajua Zitto anatumika na Kikwete akamlia bati na hakumtaka maana siku zote Magufuli alikuwa akimdharau sana Zitto. Hapo...
Ukweli mchungu. Hata Chipando mwenyewe anajua sasa, kuwa hali si shwari tena na sio mteremko baada ya kusikia kauli ya mgombea urais ccm. Kote kwingine alikuwa akisema anataka mafiga matatu ila alipofika Kigoma kauli yake ilibadilika. Kwamba wanakigoma wataamua. Huo ni ujumbe kwako Chipando kuwa...
Mgombea Ubunge jimbo la Kigoma mjini kupitia CCM, Baba Levo ametamba kuwa atashinda mapema sana saa tano asubuhi kwani mpinzani wake ni dhaifu kama biskuti
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.