Unajua Lissu anajitia hajui kuwa hali iko hivi, Rais Samia 2025 hataki kabisa upinzani mkali, sasa Lissu yeye anakomaa. Mambo tayari yako mezani pale Mbeya, wataka jimbo Sugu apate na Tulia apate.
Ukija Arusha wataka jimbo pia Lema apate alipe madeni yake na Gambo apate. Kule iringa Msigwa nae...