zege

Chipsi mayai (Swahili for "chips and eggs"), also known as zege, is the most popular street food found all over Tanzania. The dish was invented in the streets of Dar es Salaam. In its most basic form, chipsi mayai is a simple potato-egg omelette. It is available in all regions of Tanzania, from the most remote villages to large towns. Food stands both indoors and on streets make them to order. It is the unofficial national dish of the country.
It is generally prepared with chips (French fries), oil and beaten eggs fried together in a pan. It is often served with kachumbari.

View More On Wikipedia.org
  1. Lycaon pictus

    Serikali inaweza kutengeneza ajira nyingi kwa kujenga barabara za mawe na zege kwenye mitaa ya miji na majiji

    Moja ya sekta kubwa inayochangia GDP na kutoa ajira nyingi ni ujenzi. Nchi yetu, miji na majiji mengi yana barabara mbaya za mitaa. Tunaweza kuboresha barabara hizo kwa kutumia mafundi wa ndani, materials zote za ndani, bila kugusa forex yetu kwa kulipa wakandarasi wa nje na kununua vitu kama...
  2. JamiiCheck

    SI KWELI Video hii ikimuonesha mwanamke akiendesha pikipiki kwenye barabara ya zege isiyokauka ni halisi

    Mdau shiriki kuthibitisha Video inayomuonesha mwanamke anayeendesha pikipiki katika barabara inayoendelea kujengwa kwa zege kama ni halisi au imetengenezwa.
  3. kavulata

    Serikali piga marufuku kujengea makaburi kwa zege za marumaru.

    Mipango yako lazima iwaone vitukuu vyako na vitukuu vyao pia. Watu wanaongezeka na ardhi inabaki ileile ambayo inazidi kupunguzwa kwa kumegwa na bahari inayozidi kuongeza kina chake kutokana mabadiliko ya hali ya hewa. Kama makaburi ya zege na marumaru yasiooza yakiongezeka wale wengine wakifa...
  4. stabilityman

    Hizi hapa Sifa za zege zuri kwa kujengea na Eng James

    Sifa za zege zuri kwa kujengea ni pamoja na: 1. Uimara: Zege linapaswa kuwa na nguvu ya kutosha kubeba uzito wa majengo na kuhimili mzigo wa muda mrefu. 2. Upinzani wa Maji: Zege bora huwa na uwezo wa kuzuia maji kuingia, hivyo kupunguza hatari ya kuoza au kuharibika kwa majengo. 3. Uwezo wa...
  5. Nipe Maji

    PreGE2025 Wananchi wa Mtaa wa Mji Mpya, Saranga jijini Dar es Salaam wachangishana pesa na kujenga kipande cha barabara kwa kiwango cha zege

    Wananchi wa Mtaa wa Mji Mpya eneo la kwa Mzungu kata ya Saranga jijini Dar es Salaam wameonesha kwa vitendo umoja wao kwa kuchangishana pesa na kujenga kipande cha barabara kwa kiwango cha zege ili kupunguza adha waliyokua wakiipata kutokana na ubovu wa njia hiyo hasa kipindi cha mvua. Barabara...
  6. Scared

    Na usomi wangu huu nibebe zege kweli? Hapana, nashusha brand

    Mimi siwezi kufanya kazi ya kubeba zege mpaka naingia kaburini na usomi wangu huu eti nianze kupandisha ngazi na ndoo lenye ujazo wa kokoto simenti na mchanga juu gorofani bora nilale geto tu aisee kuliko kushusha brand mademu kibao mtaani nishachapa wanione nahangaika na zege kulitoa chini...
  7. Robert Heriel Mtibeli

    Siku ya Kwanza kwenda kubeba Zege hostel za Magufuli. Moto Uliwaka

    SIKU YA KWANZA KWENDA KUBEBA ZEGE HOSTEL ZA MAGUFULI. MOTO ULIWAKA. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Nipo zangu likizo wakati nasoma, basi Taikon nikaenda Tandale kwa Mshikaji wangu, Classmate. Ilikuwa jumapili hivi, mfukoni Niko na pesa za Serikali, Bumu zinanisumbua. Baada ya kuonana naye...
  8. B

    Nina udomo zege pro max, nahitaji ushauri

    Habari Wana JF hope mko poa. Hakuna kitu kinaumiza hapa duniani Kama unampenda mwanamke na yeye anaonesha kabisa kukuelewa lakini unashindwa kumwambia. Ni mwaka wa tatu toka ni fall in love kwa huyu mtoto ebanaee. Huwezi amini in all that year nimeshindwa kumwambia kwamba nampenda japo najua...
  9. Nanamucho

    Nyie Kuna wazee wanaswaga,Vijana mkasome

    Nikiwa town kwenye mishe zangu,Kuna mahali mchana huwa napenda kwenda kula,wakati natoka Kuna mahali nilipita kwenda kuchukua mkoba wangu Eeeeh sinikasikia naitwa,kugeuka namuona mbaba mtu mzima ila vaa yake kama wale dereva tours,nyieeeee 😹 Kuna watu wanajua kutongoza,yaani nimejiuliza...
  10. Zee la madawa

    Nasumbuliwa na udomo zege sijui kutongoza kabisa aisee

    Sijui hii hali itakoma lini inanitia hasira sana sijui kitu gani kinanifanya kuwa hivi aisee sasa sijui kwanini naogopa ogopa huu si ni ujinga? Wakuu naombeni msaada jinsi ya kutongoza aisee nakerekwa na kuchukia aiseee Unakuta kuna demu unamuelewa ila unashindwa kumface kwa sababu ya uoga na...
  11. stan john

    Mimi ni Domo zege natafuta mchumba wa kike

    Habari Wana jamii forum, Mimi ni kijana na mfanyabiashara ,na ni Domo zege naomba mnipe mbinu ili niweze kutongoza mwanamke ,nipate mpenzi Kuwa Domo zege kunanisumbua Sana sijui kutongoza nasindwa kupata hata mchumba
  12. Roving Journalist

    Tume ya Madini yawashauri wachimbaji wadogo kutumia zege kwenye kingo za miamba badala ya magogo

    Serikali kupitia Wizara ya Madini, Tume ya Madini imepata mwarobaini wa kupunguza majanga kwenye migodi kwa kuwaelimisha wachimbaji wadogo kutumia zege kwenye kingo za miamba badala ya magogo. Akizungumza leo Julai 26, 2024 katika mafunzo ya kuwajengea uwezo watumishi wa Tume ya Madini kutoka...
  13. Kichwa kikubw

    Akina domo zege

    Dah masuala ya udomo zege bwana hatari yaani mpaka nimeamua kupitia wanawake madanga au bei poa. Kwa kweli hata sina muda wa kubembeleza wanawake wanaoringa wao waringe tu ila sina time na wao kabsa now naenjoy tu.
  14. Kaka yake shetani

    Jamani nilichokikuta kwa mfanyakazi wangu kupika chipsi zege na samaki

  15. S

    Makaburi ya Viongozi: Jeneza hugusana na udongo au ndani huwa kunakuwa na uwazi uliofunikwa na zege kwa juu?

    Mwenye kujua atujuze kwani nafahamu ipo miili ambayo hukaushwa na kubaki kama ilivyo na mingine sujui huwekewa vioo watu watazame, n.k. Kwa Tanzania yetu hii, viongozi majeneza yao hushindiliwa na udongo kama ya watu wa kawaida au wao huzikwa kwa namna tofauti majeneza yao hayakutani na udongo...
  16. Stephano Mgendanyi

    Serikali Kujenga Barabara na Daraja la Zege Ruvuma Kuunganisha Tanzania na Msumbiji

    SERIKALI KUJENGA BARABARA NA DARAJA LA ZEGE - RUVUMA, KUUNGANISHA TANZANIA NA MSUMBIJI. Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa amesema Serikali ipo katika hatua za mwisho ya kusiani mkataba na kumtangaza Mkandarasi atayejenga barabara ya Likuyufusi - Mkenda (km 122) sehemu ya kwanza Likuyufusi -...
  17. Roving Journalist

    Tsh. Bilioni 113 kujenga KM 50 Barabara ya zege kuelekea Liganga na Mchuchuma

    Serikali imeanza kutekeleza ujenzi wa barabara ya Itoni-Lusitu (km 50) kwa kiwango cha zege, ambayo itagharimu kiasi cha shilingi Bilioni 113 ili kurahisisha usafirishaji wa makaa ya mawe ya Mchuchuma na madini ya Chuma cha Liganga. Hayo yamesemwa na Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa...
  18. Lycaon pictus

    Kwanini tusiwe tunajenga barabara za zege tu badala ya za lami?

    Inadaiwa kuwa barabara za zege ni imara na zinadumu kwa muda mrefu kuliko za lami. Japo wanasema ni gharama kujenga lakini nchi kama yetu inaweza kuzijenga kwa kutumia malighafi zote kutoka ndani ukilinganisha na zile za lami. Kwa hiyo inawezekana kwetu zikawa na bei rahisi kuliko za lami...
  19. Mjanja M1

    Hao ni madomo zege

    Kuna Mdada nimeona mtandaoni anasema "wanaume siku hizi hawatongozi, wanatafuta shida yako ni nini, anakaa, anakukula, anasepa". Ningependa kumwambia kuwa hao wanaume ni Madomo Zege na midomo yao ni mizito kutongoza ndio maana wanatumia mbinu za namna hiyo. Wanaume tunaojielewa huwa hatupotezi...
  20. Pascal Ndege

    Tanesco Haina Hela: Kama call center ya Tanesco ya million 30 iligharimu Tanesco billion 6.1,trillion 2 kwenye miundombinu guzo za zege.

    Kuna Mikataba mingi ambayo Tanesco imeingia toka alipo teuliwa Maharage Chande haikulenga kabisa uzalishaji wa umeme. Ililenga matumizi na matanuzi na miundombinu. Kwahiyo kutuaminisha kuwa mabwawa hayana maji kwa Mvua hizi hakuna mtu atawaamini. Mimi kwa miaka mitatu nimemfuatilia sana vyombo...
Back
Top Bottom