zawadi

  1. JamiiForums Tanzania Huyu mkuu wa mkoa wa Ruvuma alipandishwa cheo kwa kufuata seniority au ni zawadi ili aendelee kulinda maslahi ya boss wake kwenye makaa ya mawe?

    Siku chache baada ya Rais Samia kufanya ziara mkoani Ruvuma ikiwemo kuzindua miradi mbalimbali ya maendeleo na kutembelea migodi ya makaa ya mawe ambayo kwa sasa inasemekana na yeye ni mmbia ,Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma alipandishwa cheo ghafla kutoka kuwa kanali mpaka kuwa Brigedia General. Swali...
  2. JamiiForums Tanzania Fursa Kubwa kwetu Watanzania: Kampuni ya Apple Watatupa Zawadi ya Bilioni 2.5 Tsh kwa kama tukiweza Kudukua seva mpya za Apple (PCC)

    Fursa Kubwa kwetu Watanzania: Kampuni ya Apple Watatupa Zawadi ya Bilioni 2.5 Tsh kwa kama tukiweza Kudukua seva mpya za Apple (PCC) Habari zenu wanajamii forum, Kampuni ya Apple wametangaza rasmi kupitia Apple Security Bounty Program kwamba watatoa hadi $1,000,000 (takribani Bilioni 2.5 Tsh)...
  3. JamiiForums Tanzania Watoto wazuri na zawadi ya iPhone

    Kuna wadada wamejaaliwa utamu na kipaji cha mahaba kitandani. Cha msingi usimtongoze kizembe, wewe ni mwanaume, mtafutaji, mnunulie iPhone 16 pro max na saa yata ya laki 5 tu, utanishukuru. Yani unapewa kwa moyo wote na hapo ndio utaona utam wa mwanamke. October tunatiki kumuunga mkono mama...
  4. S

    JamiiForums Tanzania Mzozo Mkali unaoendelea kati ya Marekani na Venezuela

    Mnamo Agosti 2025 Serikali ya Marekani ilitangaza ongezeko la zawadi hadi dola milioni 50 kwa yeyote atakayetoa taarifa zitakazosaidia kukamatwa kwa Rais wa Venezuela Hatua hiyo ilichukuliwa kutokana na tuhuma kwamba Maduro anaongoza mtandao mkubwa wa usafirishaji wa dawa za kulevya...
  5. JamiiForums Tanzania Zawadi nzuri kwa demu wako ni Simu nzuri, Saa nzuri au Fedha sio nguo za ndani.

    Sasa wewe endelea kumnunulia nguo za ndani, atazivua mbele yetu na kututunuku bila shida yoyote ile.
  6. M

    JamiiForums Tanzania jerry spare parts and services yaja na zawadi ya ukaguzi wa gari bila malipo kwa wateja waliowahi kupata huduma kwetu!

    Kwa wateja wetu wote waliotufikia kwa huduma ya spare parts, matengenezo au ushauri wa kitaalamu – huu ni wakati wako wa kunufaika tena bila gharama yoyote! Tunatoa ukaguzi wa gari bure kama njia ya kuthamini uaminifu wako. Ni zawadi kutoka kwetu kwenda kwako, kuhakikisha gari lako linaendelea...
  7. JamiiForums Tanzania Ukitaka kuamka kiroho pokea zawadi ya Kitabu hiki upate mwanga wa maisha

    KUAMKA KIROHO NI mchakato wa kuamka kutoka kwenye giza ( ujinga) na kutembea kwenye mwanga baada ya kufunguliwa kwa lock zilizoshikilia akili yako ili utembee kwenye Nuru. Kwenye Giza la kiroho kuna umasikini, matatizo, magonjwa, nadharia za kuogopa wachawi majini mapepo mizimu nk hivi ni...
  8. JamiiForums Tanzania Rais kutoa zawadi hadharani (Bahasha) ni dalili za rushwa

    wakuu === Rais Samia akitoa zawadi kwa watumbuizaji siku ya leo, alipotembelea kituo cha utamaduni na makumbukusho ya wasukuma Bujora,Kisesa mkoani Mwanza. MAONI YANGU Hiki kitendo nakifananisha na rushwa kuelekea uchaguzi mkuu kwa sababu hakuna ulazima wakutoa zile zawadi hadharani angeweza...
  9. JamiiForums Tanzania Yanga wanajua zawadi ya mshindi wa CRDB Cup ilikuwa inaenda kuongezeka msimu huu

    Unajua Yanga au kama ninavyopenda kuwaita Deportivo de Utopolo ni wapuuzi sana. Baada ya kuona Simba inafanya vizuri kimataifa, kwenye ranking, uzinduzi na ushiriki wa AFL, fainali ya CAFCC, tuzo ya mashabiki bora na kuchangia pakubwa katika kuipandisha ligi ya Tanzania, wao wanaona kama...
  10. JamiiForums Tanzania CEO wa Yanga, Andre Mtine: Tunataka Pesa yetu ya Ubingwa ndio kitu tumewaambia TFF

    CEO wa Yanga na mtaalam wa masuala ya fedha wamehudhuria TFF kuhudhuria wito, Andre Mtine ameshangaa kuona TFF wanadai pesa ya ubingwa ilikatwa juu Kwa juu kufidia madeni ya vibali vya wachezaji Yaani Leo Madrid anyimwe pesa za ubingwa wake kisa anadaiwa TFF walipaswa kuwapa Yanga pesa Yao ya...
  11. JamiiForums Tanzania Heshima na zawadi ya kipekee kwako mtu wa aina yako hapa Jamii forum.

    Mwishoni nimekutag, hii ni kuonyesha kuwa nimetambua mchango wako kwangu hapa Jamii forum. Sina mengi ya kuelezea lakini naamini kuwa hii ni zawadi na pia ni kama kumbukizi kwako. Fanton Mahal Ahsante.
  12. JamiiForums Tanzania Ni nani aliyetafuna fedha za zawadi ya Kombe la CRDB?

    Kiukweli hizi timu zinapitia magumu sana kutokana na uroho wa wachache. Wachezaji wanateseka dakika 90 + halafu zawadi ya fedha haiwafikii
  13. JamiiForums Tanzania Tabia za baadhi ya wanawake kutaka wapewe pesa na zawadi zinawafanya wanaume weengi kuamini kuwa tendo la ndoa halina umuhimu kwa mwanamke

    Inaweza ikakushangaza lakini huu ndio ukweli wenyewe. Katika jamii zetu za kiafrika wanawake walio wengi wanakuwa hawapo tayari kushiriki tendo pasipo ahadi ya kupewa pesa au zawadi fulani. Yaani ili mwanamke akupe tendo basi ni lazma utoe kitu flani. Hali hii inafanya wanaume wengi kuamini...
  14. JamiiForums Tanzania MNEC Joseph Peneza aozesha binti yake, ampa zawadi ya nyumba ya ghorofa, shamba na milioni 70

    Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa kutoka Mkoa wa Mtwara, Komredi Joseph Mkuyu Peneza, ameandika historia kwa kufanikisha harusi ya binti yake, iliyofanyika jijini Dar es Salaam. Katika tukio hilo lililohudhuriwa na viongozi mbalimbali wa serikali, chama, ndugu, jamaa...
  15. JamiiForums Tanzania Zawadi Yangu Kwenu: Kitabu Original Sin: President Biden's Decline, Its Cover-Up, and His Disastrous Choice to Run Again

    Kama Li Nchi lenye nguvu kubwa kichumi, kijeshi, kiintelijensia, kijeshi, kidemokrasia nk., "Wahuni" waliweza kumpachika madarakani Rais wa kuiongoza nchi huku wakijua kuwa AFYA yake kiakili na kimwili ni dhoofu, ila kwa maslahi yao wakampitisha. Je Hali hii haiwezi kutoka huku kwetu? Weekend...
  16. JamiiForums Tanzania Mkuu wa Majeshi ya Pakistani tokea alipoenda kujificha kwenye handaki bila simu hadi leo hajulikani alipo.. Zawadi Nono atakayetoa taarifa.

    Katika usiku wa Mei 9 na 10, kwa kulipiza kisasi dhidi ya mvua ya drones na makombora ya Pakistan yaliyoelekezwa India, New Delhi ilizindua mashambulizi ya kulipiza kisasi, ikilenga mifumo kadhaa ya anga nchini Pakistan, ikiwa ni pamoja na msingi maarufu wa ndege wa Nur Ali Khan, ulioko karibu...
  17. U

    JamiiForums Tanzania Serikali ya Qatar kumzawadia Rais Trump ndege ya kifahari boeng 747- 8 jumbo jet, yeye adai itatumika kama air force one

    Wadau hamjamboni nyote? Rais wa Marekani Donald Trump yuko tayari kupokea ndege ya kifahari aina ya Boeing 747-8 kama zawadi kutoka kwa familia tawala ya Qatar wakati wa safari yake ya Mashariki ya Kati wiki hii ijayo, na maafisa wa Marekani wanasema inaweza kubadilishwa na kuwa ndege inayoweza...
  18. M

    JamiiForums Tanzania KMC kusema wanacheze Dar ili kuwasaidia Simba ni sawa na kutoa penzi kwa Simba kama Zawadi ya kuingia fainali

    Kiongozi mkubwa wa KMC amedai kuwa wameamua kucheza mechi yao na simba Dar es salaaam katika uwanja wa KMC tofauti na walivyopanga awali kucheza mechi hiyo tabora kwakuwa simba wameingia fainali na wanataka wasiwachoshe simba ili wapate muda mzuri wa Kujiandaa na mechi ya Fainali. Kitendo hicho...
  19. JamiiForums Tanzania Vyombo vya usalama vichunguze nia iliyojificha ya msanii Said Said aliyetaka kumpa zawadi Rais, isiishie hivyo tu

    Nashauri vyombo vya dola vifanye homework kwa kumchimba huyu kijana na hata kumuhoji. Jambo alilotaka kufanya linataka wenye akili ya ziada wamchimbue sana na taarifa rasmi ikajadiliwe gizani. Pia, next time, isiwe ruhusa kumkaribia kiongozi kabla ya kupata clearance.....
  20. JamiiForums Tanzania Sintofahamu ya utoaji zawadi mtumishi bora ikileta picha ya ubaguzi

    Hii haijakaa sawa watumishi walioajiriwa taasisi/idara mbalimbali mwingine kupewa zawadi kubwa sana tofauti na mwenzake ilihali wote watanzania na pia wanahudumia Taifa. Na mzizi wa haya yote ni utofauti wa mishahara. Anayefanya kazi halmashauri au mikoani kulipwa kidogo tofauti na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…