zao

Jujube (), sometimes jujuba, known by the scientific name Ziziphus jujuba and also called red date, Chinese date, and Chinese jujube, is a species in the genus Ziziphus in the buckthorn family Rhamnaceae.

View More On Wikipedia.org
  1. H

    JamiiForums Tanzania Maandamano yajayo yawe ni ya viongozi wa kisiasa/uponzani na wanaharakati na familia zao

    Hakuna kiongozi wa serikali na kisiasa aliyepoteza ndugu wa familia au mtoto ktk vurugu zilizopita sasa iwe zamu yao kuandamana/kufanya vurugu wakati ujao. Za kuambiwa changanya na za kwako
  2. JamiiForums Tanzania Napendekeza Uundwe Mfuko Maalumu wa Kuchangia Fedha Familia zilizopoteza ndugu zao au Walijeruhiwa Kwenye Maandamano ya 29/10/2025

    Tarehe 29/10/2025 ni siku ambayo haitasahaulika Katika historia ya nchi yetu ni siku ambayo ulifanyika uchaguzi ( Uchfuuzi) sambamba na kuwepo kwa maandamano ambayo baadhi ya watu wamepoteza maisha na wengine kujeruhiwa. Maandamano haya, ingawa ilikuwa ni njia ya watu kutoa sauti zao kuhusu...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Je, ni kweli kuwa watu wanazuiwa kuchukua maiti ya ndugu zao waliouawa kipindi cha uchaguzi?

    Kuna tetesi kuwa watu wanazuiwa kuchukua miili ya ndugu zao ili kwenda kuizika. Na kuna uvumi kuwa waliouwawa wanazikwa usiku ili kuficha ushahidi. Kama hii ni kweli . Hili jambo sio jema
  4. JamiiForums Tanzania Kwanini hawataki kukubali kuwa upendeleo wa familia zao na ufisadi umesababisha vurugu?

    Kwamba familia za Kikwete, Mwinyi, Rais Samia na wengineo ndio wanafaidi keki ya taifa. Huku majority wanahangaika hata kupata ugali dagaa. Leo hii wanasema waandamanaji ni vibaka. Ufisadi, kujipendelea, wizi wa mali za umma, kudharau wananchi na kuwaona wajinga ni balaa kwa taifa
  5. JamiiForums Tanzania GE2025 Hivi Shishi Food na Nenga Tronix walikuwa na Bima kwenye Biashara zao au ndio tujiandae kuwachangia?

    Mgahawa wa Shishi Food unaomilikiwa na mwanadada mrembo Shilole na duka la electronic la Nenga Tronix linalomilikiwa na msanii machachali Billnass, vilishika moto kipindi mtandao umezimwa. Chanzo cha moto bado hakijajulikana, nadhani uchunguzi utafanyika. Sasa swali langu, hawa jamaa watakua...
  6. JamiiForums Tanzania GE2025 Serikali: Kuanzia kesho Novemba 4, 2025 Wananchi waendelee na shughuli zao za kawaida

    Serikali kupitia msemaji wake, Gerson Msigwa, imethibitisha kuwa kuanzia kesho Novemba 4, 2025, Watanzania wataendelea na shughuli zao kama kawaida.
  7. M

    JamiiForums Tanzania Kyela: Wananchi wavunja stoo ya TRA na kuchukua mali zao zilizokuwa zimechukuliwa

    Wananchi Kyela wamevunjaa stoo ya TRA na kuchukua mali zao kuna pikipiki zilikamatwa sasa wanatoa tu mali wanatembea nazo.
  8. JamiiForums Tanzania Wafuatao wasalimiwe haraka sana kupitia mali zao

    Wapinga Haki wote!
  9. JamiiForums Tanzania Kumbe wakurya ni wababe kwa wake zao pekee

    Where is the spirit abhamuraaa!!! 🚮🚮🚮
  10. R

    JamiiForums Tanzania GE2025 Jeshi la Polisi yakanusha video ya Wamasaai Kuandamana kudai haki zao Arusha

    TAARIFA KWA UMMA Jeshi la Polisi lingependa kutoa ufafanuzi juu ya picha mjongeo (video clip) inayosambazwa kwenye mitandao ya kijamii ikisema "Wamasai waanza maandamano kudai haki zao Arusha". Ukweli ni kwamba picha hiyo mjongeo ilikuwa ni wakati wa sherehe za jando/tohara mwezi Juni 2025...
  11. JamiiForums Tanzania Watu wa system wanachannel zao hadi jeshini kulingana na voice ya Mafwele na Muliro iliovuja hivi karibuni

    Ukisikiliza mazungumzo yao inaonekana hawa watu ni wauaji wazoefu kanisa, issue ya tesha iweje wajue kuwa tesha hayupo nchi na amekimbilia nchi za nje?? Hii inaleta taswira ya kwamba hadi jeshini kuna watu wao huko . Kwamba captain Tesha sio lofoten kwao asleep Maandamana ni haki yetu ya...
  12. B

    JamiiForums Tanzania Jaji Warioba: Wasilaumiwe watakaoingia barabarani kudai haki zao walizonyinyimwa!

    Kauli thabiti: “Tulipita nchi nzima kukusanya maoni ya wananchi kwenye rasimu niliyoiongoza mimi mwenyewe rasimu ya Warioba, wananchi wakatoa maoni yao ila serikali ikawapuuza, wananchi walilalamikia sana Tume ya uchaguzi kwamba haitendi haki wakatoa mapendekezo yao mkawaona wajinga, mkiwaona...
  13. JamiiForums Tanzania Hawa Flashscore kudadeki zao, kama wameshindwa kufanya kazi zao waache.

    Angalia hawa nyumbu Flashscore, eti wanaonesha Simba amefungwa wakati gemu bado ni zero-zero. Moderators wao sijui amekunywa chang'aa, au anavamiwa nyuma kwa pupa.
  14. JamiiForums Tanzania Magaidi wa Hama lazima wasalimishe silaha zao ama sivyo tutawalazimisha-Donald Trump

    Baada ya magaidi wa Hamas kushindwa vita huko Gaza na kuwaachia mateka wote walio hai kinachofuatia sasa ni kusalimisha silaha zao kwa Amani wakikataa tutawapokonya kwa nguvu-Donald Trump "Mytake" Huo ndiyo mwisho wa Hamas!!! Wanajuta kwa nini Oct 07,203 walivamia Israel!!
  15. JamiiForums Tanzania Makundi yanayo hatarisha sehemu zao Siri kuchakaa

    Wasalaam waungwana wachapakazi na Wazalendo wa Nchi hasa Tanganyika.. Yafuatayo ni makundi yanayo hatarisha sehemu zao za Siri kishughulikiwa na kuchakaa kabisa 1. Wanawake wenye tamaa ya pesa nyingi bila kushughulika. 2. Wanaume wanaopenda kula vizuri kuvaa vizuri bila kutafuta pesa kwa...
  16. JamiiForums Tanzania GE2025 Viongozi Serikalini Wanataka Wananchi Mkinukishe Kwanza ili Wawaunge Mkono

    Ukifanya upembuzi yakinifu utagundua viongozi wengi serikalini sio kwamba hawaoni yanayotendeka. Shida inakuja ni kuwa wenye uwezo wa kusema hapana ni wananchi wenyewe. Hivyo viongozi wengi wanasubiri kuona nguvu ya umma ikifanya maamuzi. Fuatilia kwa umakini tu huko maofisini utagundua...
  17. JamiiForums Tanzania Ni kichaa tu atatunza amani ili Wanasiasa, Viongozi na familia zao waishi maisha ya ukwasi kwa Ufisadi wa pesa za Umma

    Kuelekea tarehe 29 Oktoba 2025 napenda kuwaambia hawa wanasiasa mafisadi wanaotulisha propaganda za amani ili waendelee kuishi vizuri kwa ufisadi wanaofanya kwenye kodi zetu na mali zetu wanachi. Safari hii Wananchi tumekataa kuitunza amani ili wao waishi maisha ya ukwasi kwa kodi zetu huku...
  18. JamiiForums Tanzania DC Magoti unataka kuwafanya wenzako viwete kwa kutetea haki zao. Wewe aliyekufanya kiwete ulikuwa unatetea jambo gani muhimu?

    DC MAGOTI UNATAKA KUWAFANYA WENZAKO VIWETE KWA KUTETEA HAKI ZAO. WEWE ALIYEKUFANYA KIWETE ULIKUWA UNATETEA JAMBO GANI MUHIMU? Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. 1. Magoti kiukweli umenifurahisha sana uliposema utawageuza watu wawe viwete. Naamini upo proud kuwa hivyo ulivyo. 2. Sijui historia...
  19. JamiiForums Tanzania JWTZ ilipelekwa Congo, Comoro kudhibiti Utekaji na Mauaji dhidi ya Wakongo, Leo WATANZANIA Wanaotekwa, Wanauawa, Rasimali zao zinaibwa, JWTZ kimya?

    Aisee Tunaamdamana Oktoba 29 , kama mtaungana na na Watesi wetu basi, Capt Tesha na wenzake watatusaidia. Haingiii Akilini, Wanajeshi wa JWTZ wamefia huko Kongo, Comoro, Sudan Kwa sababu ya kuwalinda WANANCHI wa Nchi hizo. Leo hii Tanzania nzima Kuna opereshen ya kuwateka,.kuwaficha na kuwaua...
  20. JamiiForums Tanzania Yani nchi ilikuwa hata wanaCCM wenyewe wakitekwa ndugu au rafiki zao wanaogopa kukemea na watu waalikuwa wanaona sawa tu??

    Hili nililiona kwa yule Chonchori nikashangazwa zaidi mpaka wenyewe wanaogopa hili genge alafu wanataka kutuaminisha hiyo ni amani mko sawa nyie??? Mzee haki yako pia itapiganiwa na sisi raia, kitu ambacho haikutegemea ila ndiyo maisha yalivyo hao uliohisi ni ndugu na watasimama na wewe kila...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…