Awamu hii nimejiona ufinyu wa akili za baadhi ya viongozi wa dini ya kiislamu, ufahamu na uelewa wao ni tatizo kubwa kwa watu ambao wanawaongoza; kwamba RAISI akiwa Muislamu, akifanya makosa asielezwe kwa kigezo cha dini?
WAKRISTO hawajaanza kukosoa leo, TUNDU LISU alipigwa risasi kwenye...