zao

Jujube (), sometimes jujuba, known by the scientific name Ziziphus jujuba and also called red date, Chinese date, and Chinese jujube, is a species in the genus Ziziphus in the buckthorn family Rhamnaceae.

View More On Wikipedia.org
  1. P

    JamiiForums Tanzania Rais Samia piga kazi usihangaike na siasa zao chafu zenye nia mbaya

    Karibu kila Rais kuanzia Mzee Mwinyi aliljikuta akilazimika kuzoea kufanya kazi huku akiisikia sauti ya mtangulizi wake ikiongelea namna anavyoendesha nchi. Huu umekuwa ni mtihani mzito wa kuirithi ofisi nzito ya urais. Mzee Mwinyi anaikumbuka hotuba ya Mwalimu Nyerere mwezi March 1995 pale...
  2. JamiiForums Tanzania Harmonize atakiwa kuwalipa Tsh. Milioni 20 Killy na Cheed kwa kuvunja mkataba nao

    Oktoba 10, 2022, kupitia kurasa rasmi za mitandao ya kijamii za Konde Music Worldwide, Harmonize alitangaza kusitisha mikataba na waimbaji Killy (Ally Omar) na Cheed (Rashid Mganga). Harmonize hakutoa maelezo yoyote ya kusitishwa kwake ikiwa ni miaka miwili aimepitia tangu Harmonize atuhumiwa...
  3. JamiiForums Tanzania Stella Fiyao: Sheria ya Ulinzi wa Data Binafsi ni muarobaini wa wananchi kuingiliwa akaunti zao

    Mbunge CHADEMA Songwe Viti Maalum, Stella Fiyao akichangia hoja yake katika mjadala wa Muswada wa ulinzi wa taarifa binafsi anabainisha kuwa mswaada huu ni muhimu na utakwenda kutatua changamoto ya mamlaka kuingilia kwenye akaunti za watu mbalimbali. Akifafanua hoja yake anasema kuwa Muswada...
  4. JamiiForums Tanzania Hawa wanatakiwa kuachia nafasi zao kwa tatizo la Maji

    Tatizo la maji sasa ni mtambuka tutarajie magonjwa mengi kama kipindupindu, UTI, kuharisha nk.. Kabla hatujaenda kwenye solution. Hawa wafuatao waondoke kwenye nafasi zao 1. Mzee wetu Mwamunyange (mwenyekiti wa bodi DAWASA). 2. Luhemeja (mkurugenzi DAWASA). 3. Aweso (waziri wa maji)...
  5. JamiiForums Tanzania Aina za wanawake na tabia zao

    1. Mommy Types Ni aina ya wasichana au wanawake ambao huonyesha tabia ya umama. Hupenda kujali kupita kiasi. Mfano katika mahusiano usipomtumia ujumbe wa kufika sehemu uliyomwambia unaenda tarajia kupokea simu zisizopungua 10. 2. The Listener Ni aina ya wasichana au wanawake inayopendwa na...
  6. JamiiForums Tanzania Mamlaka, Jengeni maeneo ya watu kupumzika na kuhuisha akili zao

    Wakuu, Ni ajabu sana kuona miji midogo ndani ya majiji haina sehemu zenye utulivu kwa ajili ya watu kupumzika na kutembea, huku wakicheza na watoto wao, wakinywa soft drinks na bites, wakipiga picha na kupumzisha mafuvu yao. Mji mdogo kama Mbezi-Kimara, kutwa ni shughuli za kiuchumi...
  7. JamiiForums Tanzania Kwanini Mungu na Shetani wasimalize tofauti zao?

    Hili suala tulijadili kwa Logic! Iwapo tunaambiwa kusamehe mara sabini mara saba, inakuwaje hawa wasimalize tofauti zao sababu naona hivi vita vyao sisi nyasi tunaumia. Okay unaweza kusema kwamba Shetani hajarepent (kuomba msamaha) ndio maana hajapewa msamaha, lakini je inamaanisha Mungu...
  8. JamiiForums Tanzania Waukraine watakiwa wachaji simu zao mapema wakati Berluscon amlaumu Zelensky

    Shirika la umeme la Ukraine ,Ukrenergo limewataka wateja wake wawe wakichaji simu zao mapema na tochi kwani hali ya upatikanaji wa umeme imezidi kuwa mbaya huku hofu ya kushambuliwa zaidi kwa vinu vya umeme kutoka majeshi ya Urusi ikiongezeka. Katika nasaha zake katika kipindi hiki cha baridi...
  9. JamiiForums Tanzania Watumishi KCMC wahojiwa na Polisi kwa kudai Posho zao mtandaoni

    Jeshi la Polisi mkoa wa Kilimanjaro, kitengo cha makosa ya kimtandao, linawahoji wafanyakazi kadhaa wa Hospitali ya Rufaa ya Kanda ya Kaskazini ya KCMC ya mjini Moshi kwa tuhuma za makosa mbalimbali ya kimtandao. Kamanda wa Polisi mkoani hapa, Simon Maigwa ambaye yuko safarini kikazi nje ya...
  10. JamiiForums Tanzania Natafuta Mtaalam wa zao la Kokoa ( Kakao) mkoa wa Morogoro au Tanga

    Kama kichwa cha habari kinavyosomeka hapo juu. Naomba mzoefu wa kilimo cha Kakao kwa mkoa wa Tanga au Morogoro ani pm tuwasiliane. Nahitaji kupata uzoefu na kujifunza zaidi kwa MTU anayefanya aina hii ya kilimo kabla ya kuingia kwenye ukulima wa hili zao. Najua Kyela ni wazoefu zaidi lakini...
  11. JamiiForums Tanzania Diddy na weusi wengine wanakosea sana kwenye harakati zao kuhusu watu weusi. Kanye West yuko sahihi

    Hivi karibuni kuna tukio limetokea huko Marekani ambalo kwa upande wangu limenifanya nifikiri tofauti kabisa. Msanii Kanye West alishambuliwa sana kwa maneno toka kwa Black Americans kisa kikiwa yeye kusema WHITE LIVES MATTER. Ikumbukwe weusi wengi wana harakati zao za BLACK LIVES MATTER...
  12. JamiiForums Tanzania Duka la "Plea Bargain" lafungwa, Waliochukuliwa fedha zao waitwa kuhojiwa, uchunguzi waanza

    Serikali imeanza uchunguzi wa ukwapuaji wa mabilioni ya shilingi uliofanywa na Serikali ya Rais John Magufuli, kupitia alichoita, “Sheria ya Plea Bargain," Raia Mwema imeelezwa. Taarifa kutoka serikalini na baadhi ya watu walioswekwa magerezani na kutolewa kwa utaratibu huo, zinaeleza kuwa...
  13. JamiiForums Tanzania Pole Mzee Kikwete, hii dharau wanayo hata black Americans kwa waafrika ndugu zao. Hawaangalii hata wa kuwafanyia Uhuni

    Kikwete aliongea akisikitika sana mpaka leo kutopewa picha ambayo alipiga na Rihanna. Miaka mingi baada ya tukio ameamua kutoa yake ya moyoni. Kiukweli kikwete alijitahidi sana. Alipiga picha na wasanii wengi wakiwemo boys 2 men. Kuna ambao aliweza pata picha zao akaja akapost na kuweka...
  14. JamiiForums Tanzania Huwa inataka moyo sana kusikiliza maneno na hotuba za hawa watu

    Mmojawapo ni Kikwete, huyu ndugu niliwahi msikiliza mara moja alipochaguliwa kuwa Rais nikaona daah, ndiyo basi tena. Nilikuwa sahihi. Toka siku hiyo sikuwahi pata nafasi ya kumsikiliza kabisa. Huwa sioni kama yupo "serious". Nlikuwa na msikiliza Nyerere, Mkapa na Mwinyi. Bora ni Nyerere...
  15. JamiiForums Tanzania Elton John, Prince Harry waishtaki Daily Mail kwa kukingilia faragha zao

    Wawili hao ni miongoni mwa watu maarufu waliochukua hatua za kisheria dhidi ya Kampuni ya Daily Mail ya Uingereza wakidai kuna ukiukaji mkubwa wa faragha. Wanadai Dail Mail wametumia vifaa kusikiliza mazungumzo yao binafsi kwenye gari na nyumbani, pia wamewalipa watu wanaowafuatilia maisha yao...
  16. A

    JamiiForums Tanzania Hivi wanawake wa hivi wamekosaga nini kwenye ndoa zao?

    Nauliza hivi wanawake wa hivi wamekosaga nini kwenye ndoa zao? Kakuaacha na nyumba watoto wawili kaenda kutafuta, hufanyi kazi zaidi ya kulea watoto pesa anatuma ila unawapa utamu wapita njia. Update
  17. J

    JamiiForums Tanzania CCM na NCCR ndio Katiba zao zimeweka ukomo wa miaka 10 Mwenyekiti wa taifa kukaa madarakani. Vingine Mwenyekiti ni wa Maisha!

    Nccr Mageuzi wamependezwa na ubora wa Katiba ya CCM kuhusu ukomo wa muda wa Mwenyekiti wa taifa kukaa madarakani wa miaka 10 Hivyo mkutano mkuu wa Nccr nao umefanya mabadiliko ya Katiba yake na kuweka ukomo wa Mwenyekiti kukaa madarakani Source: Selasini
  18. JamiiForums Tanzania Polisi: Walioibiwa mali zao Dar wajitokeze vituoni kuzitambua

    Jeshi la Polisi limewataka wananchi walioibiwa mali zao kujitokeza katika vituo vya polisi ili kuzitambua. Wito huo imetolewa ikiwa ni siku chache tangu kuibuka kwa matukio ya uvamizi wa kutumia silaha za jadi, kisha kujeruhi na kupora vitu mbalimbali nyakati za usiku yanayokwenda sambamba na...
  19. JamiiForums Tanzania Ndoa za kikristo ni kituko, wakristo wengi wanakimbilia sheria za mahakamani ndoa zinaposumbua hawataki kufuata sheria zao za kikristo

    Ndoa ndoana, waweza kudhani umepata kwa kumchunguza mda mrefu kumbe ni mtego tu wa kukushawishi muingie kwenye ndoa, weeeehh!!! ingia sasa kwenye hio ndoa akiyacomoa makucha aliyoficha utaomba poo Sheria za wakristo ni kwamba hakuna ndoa kuvunjika na hakuna kuoa tena, kiuhalisia hili ni jambo...
  20. JamiiForums Tanzania Saba wauawa katika shambulizi la Ukraine, Urusi yaondoa nyambizi zake

    Kwa ambavyo Ukraine wanatembeza kichapo, sasa hivi chochote cha Mrusi inabidi kufichwa mbali, wametorosha nyambizi zilizokua black sea. ============= A Ukrainian strike on a village in the Luhansk region of eastern Ukraine killed seven people on Tuesday, the TASS news agency reported, citing...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…