MY STORY: Nilisema nitamchukua Bada ya miaka 7 nimeenda nimekutana na Makaburi mawili!
Nakumbuka meseji yangu ya mwisho niliyomtumia ilikuwa ni kumwambia, "Wewe lea mtoto, akiwa mkubwa atakuja kunitafuta," na kwa taarifa yako, akifikisha miaka 7 nitakuja kumchukua. Hakunijibu hiyo meseji na...