zao

Jujube (), sometimes jujuba, known by the scientific name Ziziphus jujuba and also called red date, Chinese date, and Chinese jujube, is a species in the genus Ziziphus in the buckthorn family Rhamnaceae.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Ziara ya Trump yatia fora kwa mabinti wa kiarabu kuchezesha nywele zao kwa kutingisha shingo

    Juzi Saudi Arabia makomandoo waliovalia kanzu nyeupe na mikanda mieusi huku bastola zikining'inia kiunoni waliwashangaza walimwengu Kwa kuwaandalia kahawa Trump. Jana Qatar ulimwengu pia ulistaajabu mapokezi ya kipekee Kwa msururu WA magari ya Tesla cyber truck mekundu. Lakini ya Leo ndo...
  2. JamiiForums Tanzania Kipi hupelekea wanawake kuwanyima unyumba waume zao?

    Hili sasa limekuwa ni tishio. Nahisi ni moja kati ya sababu inayowapelekea vijana wengi kuishi maisha yao wao kama wao. Unyumba Unyumba Unyumba Najiuliza, sijui wanapitia machungu makali sana pale Abdallah anapozama chumvini🤔 Sijui ni uvivu tu🤔 Sijui ndo upendo umekwisha, I mean bila upendo...
  3. K

    JamiiForums Tanzania No travel list kwa viongozi wa usalama, polisi wakuu wa mikoa na familia zao inaandaliwa na EU & USA

    Tetesi: No travel list kwa viongozi wa usalama, polisi wakuu wa mikoa na familia zao inaandaliwa na EU & USA Hii ni kama ile ya Makonda
  4. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Wasiojulikana wavamia Ofisi za CHADEMA Kanda ya Nyasa na kumwaga sumu eneo lote kwa lengo la kuwaua Viongozi na Wanachama

    Wakuu! Sumu hiyo inaripotiwa kusababisha maumivu ya pua, kichwa, macho na koo. OCD wa Mbeya na timu yake walifika mapema kuchukua sampuli. Wapo wanaodai huu ni mkakati wa kisiasa kutumia kemikali hatari.
  5. JamiiForums Tanzania Houthi wachekelea ndege zao kulipuliwa na Israel yasema Ndege zao zote zina Bima kubwa

    “Yemenia”: Our Aircraft are Insured Against War Globally Except for Yemen’s Airports Due to “International Classification” Yemen Airways imepinga kwa nguvu taarifa "zisizo kweli na zisizo sahihi" zilizosambazwa na baadhi ya mashirika ya habari ya kimataifa, ambayo yalidai kwamba ndege za...
  6. JamiiForums Tanzania Polisi Tanzania wabadili gia angani. Sasa wanaficha sura zao ili Wasitambulike

    Baada ya Polisi kukaliwa kooni kuhusu Vitendo vyao viovu vya kuvunja watu miguu na kuwqpiga maringu ya Uti wa Mgongo, Sasa wamebadili Mbinu. Hii ni baada ya John Mnyika kuonesha Videos kutoka CCTV CCTV kamera zikionesha Sura za Polisi wakielekeza Mbwa kung'ata waduasi wa CHADEMA. Mbali na...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Wanaohama na kujivua uanachama mbonna hawarejeshi kadi zao.

    Ni jambo jema sana kujivua uanachama wa chama fulani kwa sababu zozote zile. Nadhani katiba ya vyao inaruhusu ila kitu kimoja tu wafanye warudishe na kadi, bendera na vitemdea kazi kwa ofisi zinazohusika kwenye matawi yao tujue wameachana na chadema.
  8. JamiiForums Tanzania Rekodi ya kuhama chama ya Lowassa haitakaa ikaribiwe, alisepa na kijiji, hawa G55 wanaigiza sana, hata familia zao haziwafuati huko

    Lowasa wakati anatoka CCM alisepa yeye na kijiji plus familia yake yote plus ndugu na jamaa na marafiki zake karibia wote. Sasa hawa G55 sijuia kama wanajishutukia kwamba wanaondoka wenyewe hata familia zao haziwafuati huko, hakuna anaye waunga mkono huko, hakuna anaye wasapoti. Hata Dr Slaa...
  9. JamiiForums Tanzania Mbeya ni sehemu yenye watu strong sana , kimtazamo, kimaamuzi na katika kujua haki zao Study case kwa Mdude!

    Issue ya kutekwa kwa Mdude , Inaacha Alama katika vichwa vya watu wenye maono . Ni kuwa Mbeya ni sehemu ya watu wenye uwezo mzuri wa kupigania haki. Mpango mkakati wa mabadiliko. unabidi kulenga na kuwekeza sehemu zenye watu wanaojielewa na kujua nini wanataka Issue ya Mdude haitopita hivi hivi.
  10. M

    JamiiForums Tanzania Wakulima Maswa watakiwa kulima zao la alizeti kwa ubora

    WAKULIMA wa zao la alizeti wametakiwa kuzingatia viwango vya ubora wa uzalishaji ili kuongeza thamani ya mazao yao na kuvutia masoko ya ndani na nje ya nchi. Afisa kilimo wa wilaya ya Maswa,Masalu Lusana amesema hayo Mei 7,2025 wakati wa mafunzo ya kilimo bora kwa wakulima wa alizeti...
  11. JamiiForums Tanzania Hoja za bunge la Ulaya ni za msingi sana kwasababu bunge lake lina akili kubwa sana, kuna kila sababu ya kusikiliza hoja zao na kupokea mapendekezo

    Hoja za bunge la Ulaya ni za msingi sana kwasababu bunge lake lina akili kubwa, kuna kila sababu ya kusikiliza hoja zao na kupokea mapendekezo Siku zote katika maisha tunapokuwa wadogo tukubali kuwa tumezidiwa, ni jambo la kushangaza tunapoona mabishano kati ya Wanasiasa wa Afrika na Ulaya...
  12. JamiiForums Tanzania Pointers kwa wote wanaohofia usalama wa maisha yao kwa sababu ya harakati zao

    Matukio ya watu kuvamiwa majumbani mwao na watu wanaodaiwa kuwa ni polisi yamezidi sasa. Cha kushangaza, polisi nao huja kukanusha kuwa haikuwa wao. Mfano, uvamizi kwenye nyumba ya mwanachama wa CHADEMA, Mdude Nyagali hapo jana. Watu hao wakiwa wanavamia, hujitambulisha kama polisi...
  13. JamiiForums Tanzania Je kuna haja ya kuwaomba Msaada Marekani na Uingereza kuja kutulinda Raia wa Tanzania tunaodai haki zetu?

    Mwaka 1964 wakati wa maasi ya Jeshi la Tanzania ( King's Ruffles Army) aliyekuwa Rais wa Tanzania aliomba msaada kwa Jeshi la Uingereza kuja kumuokoa ambapo Jeshi la Uingereza lilituma vikosi vyake vikaingia Dar es Salaam na kumlinda Nyerere na Wananchi. Miaka zaidi ya 60 tangu kutokea kwa...
  14. JamiiForums Tanzania Je, kwa kilichotokea Jana pale Durban hasa kwa Stellenbosch FC kukosa Haki zao katika Matukio Mawili ya VAR tunaamini kuwa BAHATI ipo Maishani?

    Mimi ni Simba SC damu damu ila labda tu uwe ni Mpumbavu, Mshamba na huujui Mpira na wala hujaucheza pia ndiyo yo utaweza Kukataa kuwa yale Matukio yote Makubwa mawili yaliyopelekea Mwamuzi kutumia VAR kuyaamua yalikuwa ni sahihi ila ni BAHATI tu na NYOTA ya Siku ndiyo viliibeba Simba SC yetu...
  15. R

    JamiiForums Tanzania Huawei waliishia wapi na ndoto zao za kutawala soko la simu duniani, Huawei bila Playstore ni kama chapati bila mafuta,

    Trump aliwapiga nyundo Huawei mwaka 2019, Hii ilipelekea makampuni kama google kuikataza Huawei kutumia huduma zao kama Playstore. Huawei wakaachana na android wakaamua kutumia System yao inaitwa Harmony OS wakiapa kupindua meza na kutawala soko la simu duniani. Hali imekuwa tofauti sana...
  16. JamiiForums Tanzania Ushauri: kama mawakili wa Lissu wakiendelea na usumbufu, mahakama itoe uamuzi wa hoj zao, DPP apeleke notice of appeal mahakama kuu kesi isimame

    Mahakama itoe uamuzi wa hoja za mawakili wa Lissu, halacu DPP akate rufaa kama ilivyokuwa kwenye kesi ya Dk. Slaa. Huku uhaini unasubiri upelelezi, huku t unasubiri rufaa
  17. JamiiForums Tanzania Ukitaka kujua wengi wao wa hawa wenzetu boda boda hawako stable katika fikra zao tazama hii video aliopost Samatime

  18. JamiiForums Tanzania Hawa watu wabadilishane wake zao

    Bila salama wakuu, Nimeona hizi post mbili zimeongozana kwenye screen nikashtuka na nikaona isiwe shida hawa ndugu wabadilishane wapenzi. Na wengine wenye kesi kama hii mnaweza kuexchange tu sio kosa kisheria mkutane hapa kuyajenga Nusratt holoholo
  19. JamiiForums Tanzania Asilimia Kubwa ya Wanawake Wanaosema Wanateseka Kwenye Mahusiano au Ndoa Zao, Mazingira Hayo Wameyajenga Wenyewe

    I – Inshu (Hoja Kuu) Katika jamii ya sasa inayozidi kukumbatia usawa wa kijinsia, sauti za wanawake wanaolalamika juu ya mateso ya kimahusiano na ndoa zimekuwa za kawaida. Mitandao ya kijamii, majukwaa ya wanawake, na hata mijadala ya hadharani imejaa simulizi za huzuni kuhusu wanawake...
  20. S

    JamiiForums Tanzania Kweli kanisa Katoliki wanapenda kiki:Eti wadau waliokamatwa waachwe bila masharti, hawa hawajui zama zao zimeshaisha

    We rais wa TEC ni nani kuiamrisha serikali iachie watuhumiwa wa uhaini tena unapanga bila masharti, who are you? Hawa maaskofu wanajitambua kweli? Wanafikiri hii ni Roma Empire? Wanapenda kiki za kijinga waonekane wana nguvu flani nyuma ya pazia waache upuuzi wao zile zama za kijinga za papa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…