zao

Jujube (), sometimes jujuba, known by the scientific name Ziziphus jujuba and also called red date, Chinese date, and Chinese jujube, is a species in the genus Ziziphus in the buckthorn family Rhamnaceae.

View More On Wikipedia.org
  1. R

    JamiiForums Tanzania KERO KERO ZA USAFIRI: Umekumbana na kero gani kwenye harakati za usafiri?

    Wakuu, Usafiri wa umma una vimbwanga yake, unaweza kukutana na jambo mpaka ukatamani ungekuwa na gari lako ili usikutane na masaibu hayo! Mabasi machafu, wazee wa kubadili ruti na kusema magari hayaendi hasa kukiwa na watu wengi kituoni ni baadhi ya kero nilizokutana nazo kwenye usafiri huu wa...
  2. JamiiForums Tanzania Kusema tabia za makabira ila kuskazini mwa tanzania ni kweli kuhusu tabia zao.

    Tumeona kwa mbowe na CHADEMA. Wengine tutaki kabisa mazoea na mikoa ya kaskazini swala la biashara na mali. Jambo lengine katika watu ambao wana kesi za kuua kwa ajili ya mali au kukumaliza silent ni watu wa visiwani znz. Hawa wa znz wana uwezo wa kukufanya chochote ndio maana hata raisi na...
  3. JamiiForums Tanzania Ni kweli wake za watu walioajirwa (corporate) wanaliwa sana na boss zao maofisini au ni hofu tu za vijana ?

    Wanaume hasa vijana wa wa Tanzania wenye hofu za wake zao kuliwa na maboss na wafanyakazi wenzao kwenye Ofisi walizoajiriwa ni hisia zao za unyonge tu (inferiority complex) na Masculine insecurity au kuna uhalisia ?
  4. JamiiForums Tanzania Wazazi/walezi wafundisheni watoto kuwa na kiasi kabla tamaa zao hazijawameza.

    Matukio ya kikatili na ya mauaji yanazidi kuongezeka. Visa ni vingi sana. Kuwa na mali na uwezo wa kiuchumi ni vizuri sana ila visigeuke kuwa tishio la uhai wako. Tamaa zinawamaliza wengi. Ndio mwanzo wa usaliti, dhuluma, kuminya haki ya mwingine n.k. Kwa bahati mbaya kuna baadhi ya wazazi...
  5. JamiiForums Tanzania Huenda viongozi wengi zaidi wa CHADEMA wa kanda, mikoa na wilaya mbalimbali nchini wakajuzulu kabla na mara tu baada ya hukumu ya Mwenyekiti wao Taifa

    My friends, ladies and gentleman, Kuna gharika ya viongozi wa chadema kuachia ngazi inaendelea... In fact, sote ni mashahidi wa wimbi hilo la viongozi wa chadema wa kanda mbalimbali, mikoa na wilaya mbalimbali nchini, wakistaafu siasa, kuomba kupumzika uongozi wa chadema na wengine wakijiuzulu...
  6. JamiiForums Tanzania Sio kwamba wapalestina kwenye nchi nyengine wanaogopa kuwa pokea,tatizo harakati zao watabadilisha mpaka nchi waliyopo.

    Kuwa tetea wapalestina ni ngumu sana. Nashangaa wale mnaona wa palestina wanaonewa ila waungwana wanasema ukitaka kujua tatizo likaribishe sio kulisikia. Mifano mikubwa ni: Jordan (1970–71): Mapigano ya Black September kati ya serikali ya Mfalme Hussein na Palestina yalisababisha Palestina...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Makabila wanawake husifiwa uvumilivu, wasiofuata mali, hujenga familia za kudumu hadi kifo na huchepuka kwa tahadhari bila kuvuruga ndoa zao

    1. Wabena 2. Wahehe 3. Wasukuma 4. Wakurya 5. Waha Kwa zama hizi, kutegemea kwamba mke hatachepuka hadi kifo ni ndoto za alinacha. Wanawake wengi wanaoelewa walishawahi kuwa na wapenzi; hata ukimuoa bikra, vishawishi ni vingi sana. Ongeza changamoto kwa wanaume kama kisukari, presha, tatizo la...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Sheria ya kuishi na ndugu niliyowahi kujifunza kwa uchungu, Usijihusishe na taabu zao ambazo hazikusumbui,

    Family Rule: dont bother the trouble if the trouble isnt bothering you Kuna kipindi niliwahi kuitwa kutoa ushauri wa tabia mbovu ya mtoto wa kaka ya kutofanya baadhi ya majukumu alipokuwa kwa bimkubwa Basi mimi nikajitia fronti nikaanza kumkanya huyo mtoto, nilimcharaza maneno kisawa sawa hadi...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Shuhuda wa kufundishwa kuchukia wakristo: "jirani mkristo ikifika Krismas alituletea chakula tulipokea kwa shukurani nyingi ila akiondoka tunamwaga"

    nimekuta post ya inayopinga chuki kwa wakristo, katika kupitia comment nimekutana na hii shuhuda Nakumbuka utotoni kule kijijini jirani yetu mkristo zikifika sikukuu zao wanatuletea wali na nyama saazingine kuku Tunaupokea kwa shukurani nyingi sana nyingi mnoo lakini wakitupa mgongo tu daah...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Zaidi ya asilimia 90 ya Wanandoa sio wenza wa ndoto zao.

    Nikiwa shule ya msingi, miaka 30 aliyopita.Nikiwa darasa la nne au la tano hivi, nilitokea kuvutiwa sana na Dada mmoja, namuita Dada kwa sababu alikuwa mkubwa kwangu, alikuwa darasa la sita au saba wakati huo sikumbuki vizuri.Alikuwa anaitwa Caroline. Alikuwa mweupe, nywele laini macho makubwa...
  11. JamiiForums Tanzania Hakuna sahihi ya GenZ yeyote kwenye mikataba mibaya inayolitafuna taifa, tujilaumu sisi mababa zao kwa mmomonyoko wa maadili

    Mimi siungi mkono tabia za hovyo za baadhi ya watoto wetu maarufu kwa jina la GenZ. Hiki ni kizazi cha vijana wadogo wenye amsha amsha sio kitoto. Ila wamekuwa wakilaumiwa kuwa na tabia mbaya kana kwamba tabia zao zimesababisha hali tuliyo nayo kwa sasa. Kimsingi vijana wa 2000 bado nawaona watu...
  12. JamiiForums Tanzania Hawa ndio vijana humu ambao comments zao mara zote ni fikra kuntu na zenye staha

    Marcostilone ERoni Grahams Dr am 4 real PhD mcTobby Hongereni sana vijana ingawa watasema hizi zote ni akaunti zangu😁
  13. JamiiForums Tanzania Unadhani ni kwanini Tanzania bado haijapata tena mpinzani mwenye nguvu ya kiuchumi na ushawishi wa kisiasa kama hayati Edward Ngowai Lowasa?

    Je, ni kwasababu wapinzani waliopo sasa wameshindwa kabisa kujikomboa wao wenyewe kiuchumi na hivyo automatically wamekosa ushawishi na kuaminika kisiasa kwa wananchi? Nini kifanyike walau wawepo wanasiasa wa upinzani Tanzania, ambao hata kama ni wanyonge kiuchumi, basi walau wawe na agenda au...
  14. JamiiForums Tanzania Rais wa Tanzania hataki kupoteza muda,kufikili dhidi ya teuzi zake yeye anaangalia walioshindwa ubunge, mtu aliisha kuwa mbunge leo anakuwa dc?

    Rais wetu ni mvivu wa kufikiria ndio maana hataki kupoteza muda na yeye anaangalia yake makali tu yaliyotengwa ccm anayapa ubunge so shame. Yaani teuzi zake ni mwenye nacho anaongezea. Mtu amekuwa mbunge alafu unamteua awe DC baada ya kushindwa ubunge ccm Nchi ni ya watanzania haiwezekani...
  15. JamiiForums Tanzania Kuna update yoyote kuhusu huu mgomo wa madereva maana abiria wajarudishiwa nauli zao na wamebakii kuchoma mahindi

    Kuna update yoyote kuhusu huu mgomo wa madereva maana abiria wajarudishiwa nauli zao na wamebakii kuchoma mahindi Karibuni
  16. JamiiForums Tanzania Wanaoamini hakuna Mungu wana hoja, wasikilizwe

    Hawa watu msiwatukane, wasikilizeni maana Wana maana Yao kusema hivyo, wengi wao wanaoamini hivyo wameamua kua hivyo kutokana na magumu na machungu waliyokutana nayo kwenye maisha na walipomuhitaji Mungu hakuwasaidia. Unakuta mtu ana jambo linalomnyima furaha kwenye maisha, ametafuta msaada kwa...
  17. K

    JamiiForums Tanzania Naomba Mnielekeze Ku-hide some Members Nisione POST na COMMENTS Zao.

    Wakuu Habari za Uzima, Binafsi Napenda Kusoma Threads Nyingiii humu JF Na Ku-Like, Kuna Watu wanavyo'Coment Huwa Nakaa Najifikiria weeh Like ni kama Mashetani., Mimi kama Binaadamu Ninayependa UTU Nisingependa Kuendelea Kuziona Posts Na Comments Zao, Hivyo Naomba Mnielekeze Ku-hide...
  18. JamiiForums Tanzania Bodaboda Mtwara wapewa Elimu ya e- Ardhi, Wahimizwa kurasimisha Ardhi zao Kisheria

    Mtwara- Maafisa usafirishaji maarufu kama bodaboda mkoani Mtwara wamepata elimu kuhusu matumizi ya mfumo wa e-Ardhi, unaowawezesha wananchi kusajili na kurasimisha viwanja vyao ili kupata umiliki unaotambulika kisheria. Elimu hiyo imetolewa na Kamishna Msaidizi wa Ardhi (Utawala wa Ardhi), Bi...
  19. JamiiForums Tanzania Polisi waliofariki Singida wameagwa, je, mahabusu waliofariki wataagwa wakimaliza kesi zao?

    Tangu ajali ya gari iliyotokea Singida na kuua mahabusu na askari wanaozungumziwa ni askari tu huku mahabusu hatujui kama wao bado wanaendelea na tuhuma dhidi yao,! Kumbe gari lilibeba watu na mahabusu.
  20. JamiiForums Tanzania Hata zamu zao tushazijua, mshamba akiwa kimya, tila×2 anakuwa active, alafu galobedi akiwa active, mshamba na tilax2 wanapotea kwa muda

    Alafu hao wote wakituliaga anaotokezeable yule Chance ana kuwa active mfululizo kama wiki moja. UCHAWA NI KAZI SANA AISEE
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…