zanzibar

  1. O

    JamiiForums Tanzania Endapo Muungano utavunjika, mali za Wazanzibar wanazomiliki Tanganyika zitataifishwa au zitaendelea kuwa mali halali za nchi nyingine iitwayo Zanzibar

    Uhai wa Muungano wa Tanganyika na Zanzibar unakaribia kufika ukingoni. Kuna manung’uniko makubwa sasa kutoka pande zote mbili za Muungano; mwanzoni yalikuwa zaidi upande wa Zanzibar, lakini hivi karibuni Watanganyika wameanza kuona hasara za Muungano huu. Waliotufikisha katika hali hii si...
  2. JamiiForums Tanzania Kuhusu kufutwa kwa usajiri wa Meli ya Zanzibar ilyokamatwa na ngada huko

    Hivi wakuu kwanini Meli ya Zanzibar iliyokamatwa 19 juzijuzi na cocaine wamesema ilifutiwa usajiri 18/02 hili jambo lina ukweli gani?
  3. JamiiForums Tanzania Zanzibar yafuta usajili wa Meli ya EAGLE baada ya kukamatwa El Salvador kwa tuhuma za Dawa za Kulevya

    Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar (SMZ) imetangaza kuifuta usajili wake mara moja meli ya EAGLE (IMO No. 8203074) kufuatia taarifa za kukamatwa kwa chombo hicho nchini El Salvador kwa tuhuma za kusafirisha dawa za kulevya. Kulingana na taarifa iliyotolewa Februari 27, 2026 na Mamlaka ya...
  4. JamiiForums Tanzania Khanga kubwa kutoka Zanzibar zinapatikana

    Khanga kubwa nzito kutoka Zanzibar zinapatikana. Zimebaki pc 9. Bei ya Khanga: sh 20,000/= Bei ya Jumla: Ukichukua kuanzia 3 kila moja utapata kwa sh 18,000/=. Tunapatikana tabata kinyerezi/Msasani (Biashara ni ya Mtandaoni), tunafanya delivery. Mkoani tunatuma kwa gharama za mteja. Delivery...
  5. N

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Rais kuwa mgeni rasmi kwenye mechi ya Yanga na Simba huko Zanzibar

    Raisi wa Tangabar anatarajiwa kuwa mgeni rasmi kwenye dabi ya kariakoo itakayopigwa tarehe 01/03/2026 katika uwanja wa Amaan huko Zanzibar.
  6. JamiiForums Tanzania Zanzibar: Dhahabu Halisi ya Utalii Tanzania

    Kila mwaka, Tanzania inajitangaza kama moja ya vivutio vikubwa vya utalii barani Afrika. Watu wengi wanakimbilia Serengeti, Ngorongoro, au kupanda Kilimanjaro. Lakini ukweli ambao takwimu zinaonyesha wazi ni huu: Zanzibar ndiyo dhahabu halisi, na bado haijatumika kikamilifu. Nenda Serengeti...
  7. JamiiForums Tanzania Wakuu vigae vya kuezekea Zanzibar ni nafuu? Huku bara bei kali sana 40,000?!

    Yaani kigae kimoja 40,000? Kwamba nikihitaji vigae 2,000 nalipa almost 80,000,000?! Nilitaka nimshauri huyu jamaa aagize China ila nikaona kwanini aende mbali. Mwenye kufahamu Zanzibar bei ya kigae cha bati sand coated bei gani.
  8. JamiiForums Tanzania Khanga kubwa kutoka Zanzibar zinapatikana

    Khanga kubwa nzito kutoka Zanzibar zinapatikana. Zimebaki pc 9. Bei ya Khanga: sh 20,000/= Bei ya Jumla: Ukichukua kuanzia 3 kila moja utapata kwa sh 18,000/=. Tunapatikana tabata kinyerezi/Msasani (Biashara ni ya Mtandaoni), tunafanya delivery. Mkoani tunatuma kwa gharama za mteja. Delivery...
  9. JamiiForums Tanzania Nataka kununua kiwanja Zanzibar

    Hatua gani nifuate nimiliki hata 20 kwa 20 hapo zenji, mimi ni mtu wa kupenda sana maeneo, mashamba, vitu kama hivyo yani. Kwa ukubwa wa 20 kwa 20 meter, zanzibar nnje ya mji inaweza kua shngapi?
  10. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Vurugu za 29.10.2025, hakuna Msiba ulisafirishwa kwenda Zanzibar

    Hakuna Nyumba ya Mzanzibari iliyoomboleza. Hakuna Msiba ulisafirishwa kwenda Zanzibar. Je, nini kilisababisha Wazanzibari waliojaa Dar es Salaam asijeruhiwe hata mmoja? Nawaza sana.
  11. JamiiForums Tanzania DOKEZO Mfuko wa hifadhi ya jamii Zanzibar (ZSSF) hauwalipi watu watokao Tanzania Bara katika mafao yao pindi wamalizapo mikataba au wanapopoteza kazi

    Huu ni baahi ya ushahidi wa malalamiko ya watu kutoka katika page ya ZSSF zanzibar. Watu watokao Bara tunafanyiwa ubabaishaji sana kwenye mfuko huu, raia wa kigeni wakitaka mafao yao wanayapata yote. Kwanini mtu atokae Tanganyika asipewe?? Mtu atoke mbeya, Mwanza, Mara afuate mafao Zanzibar...
  12. JamiiForums Tanzania Mbunge, Zanzibar: Msituletee samaki kutoka bara, sie hatuli

    Nimekutana na hii video on social media hadi nimeshangaa Kwani samaki wetu wana shida gani 😳
  13. JamiiForums Tanzania Historia adhimu ya baba wa Taifa la Zanzibar, Mwanzilishi wa Taifa huru Field Marshall John Okello. Akumbukwe

    MWANAMAPINDUZI JOHN OKELLO John Okello ambaye aliongoza Mapinduzi ya Zanzibar alizaliwa mwaka 1937 huko Uganda katika kabila la Lang'o ambalo pia ni la Rais wa Zamani wa Uganda Milton Obotte. Alizaliwa akiitwa John Gideon Etuku. Wazazi wake walifariki Akiwa bado mdogo na kulazimika kwenda...
  14. K

    JamiiForums Tanzania Wapinzania wa kweli wameanza kwenye Chadema ACT wazalendo kitabaki Zanzibar tu!

    Wapinzania wa kweli wameanza kwenye Chadema ACT wazalendo kitabaki Zanzibar tu! Uchungu wa madaraka ya haraka badala ya kupigania mifumo unaweza kudhani inasaidia chama kumbe ni bora uagalie mbali na kupigania mifumo kwanza. Hili ndiyo sababu ya kifo kijacho cha ACT wazalendo. Upinzania wa...
  15. JamiiForums Tanzania Muafaka unaokuja Zanzibar ni mwendelezo wa ulaghai

    Upo msemo wa Kiingereza ambao tafsiri yake inasema; “kurudia kufanya jambo lile lile, kwa namna ile ile, huku ukitarajia matokeo tofauti, ni uendawazimu.” Sitaki kusema kuwa Zanzibar imefikia hatua hiyo linapokuja suala la muafaka. Lakini imefika wakati sasa tujiulize hii miafaka (sijui kama...
  16. JamiiForums Tanzania Khanga kubwa kutoka Zanzibar zinapatikana

    Khanga kubwa nzito kutoka Zanzibar zinapatikana. Zimebaki pc 9. Bei ya Khanga: sh 20,000/= Bei ya Jumla: Ukichukua kuanzia 3 kila moja utapata kwa sh 18,000/=. Tunapatikana tabata kinyerezi/Msasani (Biashara ni ya Mtandaoni), tunafanya delivery. Mkoani tunatuma kwa gharama za mteja. Delivery...
  17. A

    JamiiForums Tanzania KERO Wizara ya Afya Zanzibar haijatulipa Wanafunzi wa 'Postgraduate', mwaka wa mwisho, posho za kujikimu na za utafiti

    Nina kero kuhusu Wizara ya Afya Zanzibar: -Haijawapa wanafunzi wa Postgraduate posho za kujikimu na za Research kwa wale Wanafunzi wa Mwaka wa mwisho kwa mpaka muda huu. -Licha ya semester kuwa inaenda kumalizika wengine hata hiyo tuition fee pia bado haijalipwa. -Majibu ya Wizara pesa...
  18. JamiiForums Tanzania Khanga kubwa kutoka Zanzibar zinapatikana

    Khanga kubwa nzito kutoka Zanzibar zinapatikana. Zimebaki pc 9. Bei ya Khanga: sh 20,000/= Bei ya Jumla: Ukichukua kuanzia 3 kila moja utapata kwa sh 18,000/=. Tunapatikana tabata kinyerezi/Msasani (Biashara ni ya Mtandaoni), tunafanya delivery. Mkoani tunatuma kwa gharama za mteja. Delivery...
  19. JamiiForums Tanzania Zanzibar, sisi Yanga tunajaribu kuwaheshimisha nyie mnaeta dharau kwetu? Mlichofanya si Uzalendo

    Mpo radhi muweke matches za huko Uk kwenye TV zenu kuliko ya ndugu zenu hapa hapa nchini? Sehemu nyingi za Public tumeona mkiwa mnaweka ligi ya Uingereza kuliko match yetu tunayochezs tena kwenu? Yanga tunajaribu kuiheshimisha Zanzibar ila yenyewe naona kama inakaza fuvu kubazi kabisa
  20. L

    JamiiForums Tanzania PICHA: Hivi ndivyo Rais Samia alivyotua na uso wa tabasamu Zanzibar akitokea Addis Ababa Ethiopia. Ni kama shujaa aliyetoka vitani na ushindi mkononi

    Ndugu zangu Watanzania, Rais wetu Mpendwa amerejea kishujaa ,amerejea na ushindi wa kidiplomasia mkononi ,amerejea akiwa ameacha historia huko Addis Ababa Ethiopia,amerejea akiwa na nguvu ,ari na morali ya kuwatumikia watanzania,amerejea akiwa na kiu ya kulipeleka mbele Taifa letu na kuinua...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…