zanzibar

  1. JamiiForums Tanzania Zanzibar ni nchi ndogo yenye "akili" kubwa

    Namba hazidanganyi! Kwa mujibu wa takwimu za mwaka 2022, Zanzibar ina ukubwa wa kilomita za mraba 2,460 na watu 1,889,773. Imeuzidi mkoa mmoja tu wa Tanganyika, Dar Es Salaam! Dar Es Salaam ina ukubwa wa kilomita za mraba 1,393. Hata hivyo, inaizidi Zanzibar kwa idadi ya watu. Kwa mwaka 2022...
  2. JamiiForums Tanzania "Wamatumbi" walikosea kuwaondoa Waarabu kwenye usukani wa Zanzibar?

    Kwa muktadha wa huu uzi, Wamatumbi ni watu wenye asili ya bara la Afrika. Wamatumbi wanakiita kile kilichotokea 1963 Zanzibar kuwa ni Mapinduzi tukufu. Sina uhakika kama kweli ni tukufu au ni lugha za kisiasa tu! Kiuhalisia, hayo Mapinduzi yamekuwa na msaada kwa Wazanzibar? Zaidi ya Waafrika...
  3. JamiiForums Tanzania Orodha ya mikopo iliyokopwa awamu ya sita tangu Rais Samia Suluhu aingie madarakani March 19, 2021

    Serikali ya Tanzania imekuwa ikichukua mikopo tangu enzi katika kutimiza majukumu yake ya kimaendeleo na kila siku. Deni la Taifa limekuwa likikua huku Serikali ya awamu ya sita ikilifikisha trilioni 91 kwa miaka 3 iliyokuwa madarakani kutoka trilioni 60 iliyoachwa na Serikali ya awamu ya tano...
  4. JamiiForums Tanzania Shara Amran Khamis achukua fomu kuwania nafasi ya Makamo Mwenyekiti Zanzibar ndani ya Chama cha ADC

    Aliyekuwa mgombea Ubunge kupitia Chama cha Alliance for Democratic Change (ADC) na kushika nafasi ya pili nyuma ya Mgombea wa CCM katika uchaguzi wa Jimbo la Kwahani Unguja (Zanzibar), Shara Amran Khamis, amechukua fomu ya kugombea nafasi ya Makamo Mwenyekiti Zanzibar kupitia Chama cha ADC...
  5. JamiiForums Tanzania Mfanyabiashara alizwa na matapeli wa mtandaoni Zanzibar

    https://youtu.be/lzqi1c0ZS1M?si=FK6R2UCMqI0h-oSz Mfanya biashara maarufu nchini amelilia waziri Mwinyi kushughulika na genge la matapeli wa mtandaoni wanao tapeli watanzania wa bara na visiwani ambapo hivi karibu aliagiza baiskeli ya mtoto kwa kutoa shilingi laki nne na tisini lakini hajapata...
  6. JamiiForums Tanzania Tunawajibika kuijenga Zanzibar

    (MDAU MMOJA KAANDIKA TWITTER, WE NEED TO KNOW WHETHER ITS TRUE OR FALSE. LISEMWALO LIPO. 1. Wazanzibar kwenye masuala ya elimu, kule kwao wana fungu la Elimu ya Juu Kwa watu wa Zanzibar na sio mkopo , Lakini Hii mikopo yetu huku HESLB kuna kifungu tena cha Wazanzibar, yaani hiyo fedha ni kwa...
  7. JamiiForums Tanzania Fungu la elimu ya Juu Zanzibar

    MDAU MMOJA KAANDIKA TWITTER, WE NEED TO KNOW WHETHER ITS TRUE OR FALSE. LISEMWALO LIPO. 1. Wazanzibar kwenye masuala ya elimu, kule kwao wana fungu la Elimu ya Juu Kwa watu wa Zanzibar na sio mkopo , Lakini Hii mikopo yetu huku HESLB kuna kifungu tena cha Wazanzibar, yaani hiyo fedha ni kwa...
  8. JamiiForums Tanzania House4Sale Nyumba inauzwa, ipo Michamvi, Zanzibar

    Location: Michamvi, Unguja, Zanzibar karibu na Karafuu Hotel Price: 33,000,000/= Tshs Contact: +255742004658 (WhatsApp only) •Ina vyumba viwili na vyote ni self-contained •Sebule •Dining room •Jiko •Kifusi ndani kishajazwa •Shimo la choo tayari limechimbwa
  9. JamiiForums Tanzania Naangalia tuzo za Ligi Zanzibar (FARAFA) wameweka taarabu

    Ndugu zetu wazenji bhana 😄😄😄 Taarabu mpaka kwenye mpira wa miguu!. Anyway tuzo zinanikumbusha mahafali yangu ya standard seven.Hongereni
  10. JamiiForums Tanzania Tanganyika ni lazima iendelee kuungana na Zanzibar?

    Mimi naishi Zanzibar sasa ni mwaka wa 12, nimekuja huku nikiwa mdogo sana 2012 nikiwa na miaka 19, mpaka sasa naanza kuwa mtu mzima kuna mambo nayaona huku ambayo mtanganyika ukija huku ukakaa siku mbili/tatu huwezi kuyaelewa. Adui wakubwa wa Wazanzibar ni: 1. CCM Huku watu wote hawaitaki...
  11. JamiiForums Tanzania Korea yaikopesha Tanzania Shilingi Bilioni 400 za kujenga Hospitali ya Rufaa Zanzibar

    Exim Bank ya Korea imeikopesha Serikali ya Tanzania zaidi ya Bilioni 400 Kwa Ajili ya ujenzi wa Hospitali ya Rufaa ya Kisasa na Chuo Cha Mafunzo(Mfano wa Muhimbili-Mlonganzila) Zanzibar. --- Serikali ya Tanzania imepokea mkopo wa Dola za Marekani 163.6 milioni (Sh427.8 bilioni) kutoka Benki ya...
  12. S

    JamiiForums Tanzania Watanganyika tuilinde nafasi ya Urais kwa wivu mkubwa ili kuokoa rasilimali zetu

    Wazanzibari walipoweka sharti la "Mzanzibari mkazi" kwa kila anayetaka kuwania nafasi yoyote nchini kwao hawakuwa wajinga. Walifanya hivyo ili kulinda maslahi ya nchi yao, wakiamini kwamba wakiongozwa na "wa kuja" wanaweza kuuzwa ama kuingizwa mjini. Kuna kila sababu na huku Tanzania bara...
  13. N

    JamiiForums Tanzania Zanzibar: Uwekezaji kwenye ardhi wageuka mwimba mchungu kwa Wakazi, watumika kupora ardhi

    Kwa miaka kadhaa sasa Uwekezaji umekuwa ukitumika kama njia ya uporaji ardhi kwa Wakazi wa Zanzibar, na hili linathibitika katika Kijiji cha Michamvi – Kae, Wilaya ya Kusini, Mkoa wa Kusini Unguja kilichopo umbali wa Kilomita 41 kutoka Mjini, Unguja. Kwa miaka 13 sasa katika Kijiji hiki ambacho...
  14. JamiiForums Tanzania Mafuta Ya Zanzibar Yalichimbwa Lini

    Miaka ya nyuma kidogo uliibuka mvutano baada ya kuusemekewa kuwa ukanda wa bahari unaoizunguka Zanziba una mafuta. Kuna sauti za nguvu sana zilizosikika kutoka Zanzinbar zikidai kuwa hata kama mafuta hayo ni kinibu tu, ni mali ya Zanziba nma walamyasiguswe na serikali ya Dodoma. Ni miaka imepita...
  15. K

    JamiiForums Tanzania Kwanini wa Oman wapewe Airport ya KIA na sio Zanzibar?!!

    Tukiacha uchawa tujiulize tusiwe tunashabikia vitu tu kama misukule? Airport zote za KIA na Zanzibar zinategemea watalii. Sasa ni kwanini kama kuna sababu tuambiwe tunasikia airport ya KIA wanataka kupewa wa Oman kwanini wasipewe na airport ya Zanzibar kama kweli ni kwa manufaa ya taifa...
  16. A

    JamiiForums Tanzania KERO Malalamiko kwa shirika la umeme Zanzibar (ZECO)

    Salaam, Kuna kero kubwa sana kwa shirika la umeme Zanzibar (Zeco) maeneo ya shamba hasa Nungwi, Paje, Jambiani, Kendwa nk umeme ni mdogo sana baadhi ya maeneo kiasi kwamba ni kama tunaishi zama za kale, umeme mdogo mpaka unazima kuna wakati mnaweza mkalala usiku mzima hakuna umeme sio kwamba...
  17. JamiiForums Tanzania Gamond "Young Africans na Azam FC wamekuwa na michezo bora msimu huu"

    Young Africans na Azam FC wamekuwa na michezo bora msimu huu, najua kesho kutakuwa na upinzani mkubwa na sisi tumejiandaa na hilo Mchezo huo wa Fainali utapigwa katika uwanjwa wa New Amaan Complex Zanzibar saa mbili na dakika 15 usiku Nani kusepa na kombe hilo?
  18. D

    JamiiForums Tanzania Kombe Muungano 2024/25 liwe kama MTN 8. Yaani team 8 za zanzibar na team 8 za bara

    Ni simple advice, Hii nimeiyona South africa. phone company imeweka hela kila msimu kuna MTN 8. Team 8 za juu zina compete for MTN Championship na jezi sponsors kabisa Note: Tigo, Vodacom, Airtel wanaweza chukua tigo 8, voda8, Airtel 8. wapige kampeni na jezi zao kabisa. Good day Thank you.
  19. JamiiForums Tanzania Mkutano wa majadiliano ya fursa za uwekezaji kati ya Ufaransa na Zanzibar

    Balozi wa Tanzania nchini Ufaransa Mhe. Ali Jabir Mwadini akizungumza katika Mkutano wa majadiliano ya fursa za uwekezaji kati ya Ufaransa na Zanzibar, ambapo Mgeni rasmi ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Hussein Ali Mwinyi, kwenye Ukumbi wa Hoteli ya Park Hyatty...
  20. JamiiForums Tanzania MSAADA: Naomba kujua kuhusu shule ya Turkish Maarif School Of Zanzibar

    Habari wanaJamiiForums! Naomba nisiandike mengi, naomba kupata taarifa kuhusu shule Turkish School of Zanzibar. Natamani kujua mazingira ya shule, ada na mengine mengi
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…