zanzibar

  1. T

    Watoto wa kike wapewe uhuru wa kushiriki michezo yote Zanzibar

    Naibu Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Mhe Anna Atanas Paul ameitaka jamii kuelewa kuwa mtoto wa kike ana haki za kushiriki michezo yote bila ya kudhalilishwa. Ameyama hayo katika kilele cha maadhimisho ya siku ya kimataifa ya mtoto wa kike duniani, yalifanywa na wadau wa...
  2. Zanzibar wins prestigious world travel award as africa's leading festival and event destination 2024

    ZANZIBAR WINS PRESTIGIOUS WORLD TRAVEL AWARD AS AFRICA'S LEADING FESTIVAL AND EVENT DESTINATION 2024 Zanzibar has once again solidified its position as a leading global destination by winning a prestigious award at the World Travel Awards. This year, Zanzibar has been recognized as Africa's...
  3. Singida Blacks Stars yahamishia Zanzibar mechi yake dhidi ya Yanga

    Katika hali ya kushangaza, Singida Blackstars wamehamishia mechi yao dhidi ya Yanga kutoka dimba lao la nyumbani la CCM Liti na sasa mchezo huo utapigwa New Amaan Complex Zanzibar Oktoba 30 mwaka huu. Singida Black Stars wametoa sababu kuwa uwanja wao unaweza kufungiwa kutokana na sehemu ya...
  4. R

    Nasubiri kuiona siku Rais Samia akipigiwa mizinga Zanzibar kama ilivyo huku bara

    Salaam, Shalom!! Sisi wengine shule zetu ndogo, unakaa unajiuliza ikiwa tuna Nchi Moja Tanzania, na Rais Samia ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, iweje akiwa Zanzibar Hana mamlaka kama huku bara? Sasa huu Muungano mbona utata mtupu? Kwanini hawezi kugusa hata kisiwa kimoja kule...
  5. S

    Mzee Warioba akieleza jinsi Zanzibar walivyopora mamlaka ya raisi wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania na kujitoa kwenye muungano kinyemela!

    Ona pia Inahitaji akili kubwa kiasi gani kuelewa kwamba kwa kuwa Zanzibar wana serikali na Rais wao, Rais wa Tanzania, kimsingi, ni Rais wa bara? Si kosa CHADEMA kuingia katika uchaguzi mkuu 2025 na sera kwamba wakishinda uchaguzi watahakikisha Tanganyika wanapata serikali yao ndani ya muungano...
  6. Mhandisi Zena Said afungua Kigoda cha Wasichana Zanzibar

    Katibu Mkuu Kiongozi wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar Mhandisi Zena Ahmed Said amefungua Kigoda cha Wasichana katika Ukumbi wa Dimani Zanzibar tarehe 11 Oktoba, 2024. Jukwaa hili la Wasichana lilizungumzia changamoto mbalimbali zinazowakabili na jinsi ya kuzitatua ili kuweza kutumia fursa...
  7. J

    Zanzibar: Mdau aiomba Serikali na Rais Mwinyi kupiga marufuku Bongo Fleva ambazo hazina maadili kuchezwa Zanzibar

    Wanadai Bongo fleva inapeleka mambo machafu Zanzibar. Moja ya wageni walioudhuria Jukwaa la 13 la Biashara Zanzibar ameshauri Serikali ya Zanzibar kuzuia kupigwa kwa baadhi ya Nyimbo za bongo fleva zinazovunja maadaili ya Watu wa Zanzibar. Soma Pia: Fahamu A-Z kuhusu Muungano wa Tanganyika...
  8. Kima punju; mnyama apatikanaye vijijini Zanzibar pekee duniani

    Na THABIT MADAI, ZANZIBAR BAADHI ya watu wengi hawafahamu vivutio vilivyopo visiwa vya Zanzibar, ambapo huwa wanafikiria kuwa ina uzuri wa fukwe za bahari tu, La hasha, si fukwe tu bali kuna vivutio vingi vya asili ambavyo hupatikana ndani yake nakuifanya kuwa maarufu zaidi Duniani. Vivutio...
  9. VESPA Zanzibar Tourism Festival

    Assalam Aleikum, Zanzibar tunaandaa tamasha kubwa la VESPA duniani. Tarehe 15 April 2025. Karibuni sana
  10. C

    Wafahamu Marais Wastaafu wa Zanzibar (walio hai)

    1. Amani Abeid Karume (Kiongozi wa Waangalizi wa SADC katika Uchaguzi Mkuu wa Msumbiji 2024), 2. Salmin Amour 'Komandoo' 3. Dr. Mohamed Shein.
  11. D

    Huyu ndiye Sultan wa Mwisho wa Zanzibar

    Huyu ndo jamshid bin Abdullah the last Zanzibar sultan na mke wake. Sula tu unajua huyu damu yetu kabisa 😂. Mke wake ndo kabisa . Mtoto wa tanga huyu. Any way he is a citizen of United Kingdom and currently retired in oman since 2020.
  12. Vita kati ya Uingereza na Zanzibar ya Sultan mwaka 1896 ndio vita fupi zaidi katika historia ya dunia

    Vita kati ya Uingereza na Zanzibar ya Sultan mwaka 1896 ndio vita fupi zaidi katika historia ya dunia, vilidumu kwa dakika 38 tu. Vita yenyewe ilipiganwa tarehe 27 August kuanzia saa tatu na dakika mbili mpaka saa tatu na dakika arobaini ikawa imeisha.
  13. Muungano wa Tanganyika na Zanzibar (Tanzania): Je, tumefika wakati wa kuwaza serikali moja?

    Muungano wa Tanganyika na Zanzibar ni msingi wa umoja wetu, lakini nyuma ya pazia hili, kuna historia iliyofichwa na hisia ambazo mara nyingi hazizungumzwi. Migogoro ya Muungano huu imekuwa ikijitokeza mara kwa mara, na wengi hujiuliza, je, kweli tunaelewa mizizi ya matatizo haya? Nikiwa...
  14. Je, Rais wa Tanzania anaweza kutumbua watendaji upande wa Zanzibar?

    Habari wadau. Naomba kujua power ya Rais wa Jamhuri ya Muungano Tanzania katika kuwateua ama kuwawajibisha viongozi waliopo Zanzibar
  15. PreGE2025 LGE2024 Mbunge Tauhida Gallos Akabidhi Vifaa vya Ujenzi Ofisi za CCM Jimbo la Dimani, Magharibi - Zanzibar

    Mbunge wa Viti Maalum (CCM) Mkoa wa Magharibi (Zanzibar), Mhe. Tauhida Gallos Nyimbo katika ziara aliyofanya tarehe 09 Oktoba, 2024 Jimbo la Dimani ameahidi kushirikiana na Viongozi wengine katika kutatua matatizo mbalimbali ya Wananchi. Akikabidhi Mchanga na Mifuko ya Saruji kwa Viongozi wa...
  16. Mapenzi ya jinsia moja kwa watoto wa kike Zanzibar yashika kasi! Wanaharakati, Wanasiasa, Jamii na Serikali wanena

    Na THABIT MADAI, ZANZIBAR. ‘ZANZIBAR ni njema atakaye na aje’, Msemo huu ni maarufu sana visiwani haapa, na kwamba umetokana na ukarimu wa watu wake tangu asili na asili. Bila ya shaka hakuna asiejua kuwa watu wa Zanzibar walikuwa wakiishi kwa msingi ya kiimani inayopelekea kuishi kwa...
  17. Dkt. Mzuri (TAMWA – Zanzibar): Wanahabari kuweni wajasiri na wabunifu katika kuibua Wanawake kushika nafasi ya Uongozi

    Mkurugenzi Mtendaji wa Chama cha Waandishi wa Habari Wanawake (TAMWA) - Zanzibar, Dkt. Mzuri Issa amewataka Waandishi wa Habari nchini kuwa Mabalozi kwa kuandika habari zinazohusu masuala ya Wanawake na uongozi. Wito huo ameutoa leo Oktoba 8, 2024 wakati akifungua warsha ya siku ya mbili ya...
  18. D

    Tume ya Utumishi Zanzibar inaajiri wasio na sifa

    Hata uwe na vigezo kiasi gani, kama huna connection Zanzibar hutoboi. Mfano mdogo ni ajira za hivi karibuni kuna jamaa alikuwa na G.P.A zaidi ya 3.8, vyeti vya ziada ikiwemo computer na interview zote mbili kafanya vizuri ila katemwa.
  19. Mchakato wa kuandikisha wananchi kwenye daftari la wapiga kura Zanzibar Umepoa mno. Kwanini influencers hawatumiki kama kwenye Kizimkazi Festival?

    Wakuu, Nimekuwa nikianzisha nyuzi humu kuhusu mchakato wa kuandikisha wananchi kwenye daftari la kudumu la wapiga kura unavyoendelea kule Zanzibar. Kusema na ukweli tu, mchakato umepoa sana. Hakuna shamrashamra na hamasa kivile kwa wananchi. Hamna social media campaigns, matangazo ya...
  20. Zanzibar Kama Dubai, Hazina Sovereignty, - No Capacity to International Treaty, Kama Tumeingia Mkataba na Dubai, Kwanini Zanzibar Izuiwe Kujinga OIC?!

    Wanabodi, Japo fani ya sheria ni fani moja simple sana, ndani ya sheria kuna sheria fulani fulani ni ngumu sana kwa mawakili. Miongoni mwa sheria ngumu ni Criminal Law, Land Law, Law of evidence, Constitutional law na Public International Law. Kwa upande wa sheria ya katiba, constitutional...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…