zanzibar

  1. M

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Wazanzibari akiwemo Fatma Karume wapo kimya kwa yaliyotukuta, Je hiki ni kisasi cha mauaji ya ndugu zao ?

    Mwaka 2001 wazazibari wengi walipoteza maisha kwa kufyatuliwa risasi na hata kuwatia vilema kufuatia maandamano ya amani yaliyogeuzwa uwanja wa machinjio. Kosa lao kubwa lilikuwa kuandamana kupinga matokea ya uchaguzi wa mwaka 2000, kudai katiba mpya na tume huru ya uchaguzi mazombi Kadhalika...
  2. JamiiForums Tanzania Kutoka Kwa Maria : Wale Masheikh wa Zanzibar waliokuwa na kesi ya Ugaidi wakaachiwa na Samia, Mmoja wao ni huyu wa katikati akiua Watanganyika

    Mnakumbuka Kuna Masheikh wa kizanzibar walikua wakiongoza Kundi la Kigaidi na kupata Ufadhili kutoka Nchi za Waarabu hususani Oman , MAGUFULI AKAWAFUMULIA MTANDAO WAO WOTE. Sasa hivi Karibuni Samia aliwaachia, Kumbe waliachiwa Kwa kazi maalumu ya UCHAGUZI MKUU. Hawa hapa Masheikh wa Zanzibar...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Waliokuwa wanaua watu mtaani ni Wanajeshi wa Uganda au Janjaweed wa Zanzibar ?

    Miaka ya nyuma kwenye Uchaguzi kule Zanzibar kulikuwa na kikundi kinaitwa Janjaweed ambacho kilikuwa kinafanya haya haya yaliyofanyika Dar kwenye maandamano. Nafikiri waliamua kutumia style za Zanzibar kushughulika na waandamanaji. Walichosahau ni kuwa population ya Zanzibar ni ndogo kuliko...
  4. JamiiForums Tanzania Je, Kinachoendelea kitazidisha chuki kati ya Tanganyika na Zanzibar?

    Watu wameshaanza kuingiwa na Wasiwasi. Wanahofia haya maandamano yanaweza kuathiri Muungano wa Tanzania. Watanganyika wanaona kama matatizo haya yanayoendelea, ni kwasababu Waanza ndo wameshika Nchi. Je, Watanganyika wanawachukuliaje Wazanzibari? Haya maandamano yatazidisha umoja kweli...
  5. JamiiForums Tanzania Hata kama watazima maandamano, je Samuya bado atakuwa na udhu wa kuongoza nchi yetu au aende kwao Zanzibar na kutuachia nchi yetu?

    Kuna haja ya watanzania hasa watanganyika kuanza kutafakari juu ya mstakabali wa taifa letu. Je, tutafanya uzembe tuliache kwenye makucha machafu ya machawa na ida amin mama ili tuumizwe na kuibiwa zaidi? Je, tutafanya nini? Nadhani huu ndiyo wakati muafaka wa kujikomboa na kulikomboa taifa letu...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Zanzibar: Hussein Mwinyi wins reelection with 74.8 pct vote

    October 30, 2025 Tanzania's Zanzibar President Hussein Ali Mwinyi has won a second term in office, the Zanzibar Electoral Commission (ZEC) announced on Thursday night. ZEC Chairperson George Joseph Kazi said Mwinyi, the candidate of the ruling Chama Cha Mapinduzi party, won 74.8 percent of the...
  7. B

    JamiiForums Tanzania GE2025 ZEC yamtangaza Dk Hussein Mwinyi kuwa Rais wa Zanzaibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi ya Zanzibar

    30 October 2025 | Unguja, Zanzibar Dr. Hussein Ali Mwinyi azoa kura 448,892 uchaguzi wa 2025 Huku mpinzani wake mkuu Othman Masoud Othman almaarufu OMO wa ACT Wazalendo akipata kura 139,399 ZEC imemtangaza Dk Hussein Mwinyi kuwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Braza la Mapinduzi ya...
  8. JamiiForums Tanzania GE2025 Mgombea Urais wa Zanzibar, Dkt. Hussein Mwinyi (CCM) apiga kura. Asema hakuna viashiria vya uvunjifu wa amani

    Mgombea urais wa Zanzibar kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), Dk Hussein Mwinyi tayari amepiga kura katika kituo cha kupigia kura Kariakoo viwanja vya michezo ya watoto Jimbo la Kwahani. Dk Mwinyi amefika katika kituo hicho saa 2:10 asubuhi ya leo Jumatano, Oktoba 29, 2025 akiwa ameongozana na...
  9. JamiiForums Tanzania GE2025 Wapiga kura Zanzibar kushiriki kura ya mapema leo Jumanne

    Wapiga kura visiwani Zanzibar leo Oktoba 28, 2025 wanaanza zoezi la kupiga kura katika kile kinachofahamika kuwa ni "kura ya mapema" ya uchaguzi mkuu wa Tanzania. Vituo vya kupigia kura vimefunguliwa kuanzia saa moja asubuhi na kufungwa saa 10 jioni na matokeo ya urais yatatangazwa ndani ya saa...
  10. B

    JamiiForums Tanzania Benki ya CRDB, BPIFrance waipa Serikali ya Zanzibar shilingi bilioni 115 uanzishwaji wa mfumo wa kidijitali kusimamia ardhi

    Zanzibar. Tarehe 27 Oktoba 2025: Katika kuunga mkono juhudi za kuwaletea maendeleo wananchi, Benki ya CRDB kwa kushirikiana na Taasisi ya Fedha ya Ufaransa ya BPIFrance imesaini mkataba wa kuikopesha Serikali ya Mapinduzi Zanzibar (SMZ) kiasi cha Euro milioni 37.5 sawa na shilingi bilioni 115...
  11. Z

    JamiiForums Tanzania Maandamano yanatisha! Pamoja na wauaji wa wananchi, Rais atajificha Zanzibar siku ya uchaguzi

    Imepangwa kwa makusudi kwamba siku ya uichaguzi rais atakuwa Zanzibar. Kama ni kweli ni kuogopa usalama wa Bara, hili nalo ni jambo la ajabu kwa sababu majeshi yanayolinda nchi, bara na visiwani yako chini ya mkuu mmoja. Yawezekana ni kuogopa maandamo, lakini ni hakika kwamba visiwani wao...
  12. JamiiForums Tanzania Tarehe 29, Amri zitatolewa akiwa ikulu ipi? Dodoma? Dar? Zanzibar? Au nyumbani?

    Ki msingi naona Kuna a well calculated plan. Huwenda siku hiyo asiwepo kabisa hapa TANGANYIKA na kuwaacha watanganyika waone lipi Bora la kufanya huku akimwaga amri kutokea nchi nyingine. Nauliza tu. Atakuwa chimbo lipi?
  13. L

    JamiiForums Tanzania GE2025 Dkt Kikwete ahitimisha na kufunga Kampeni za Wanu Hafidhi Kwa Kishindo kikuu Makunduchi Zanzibar

    Ndugu zangu Watanzania, Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete Amehitimisha na Kufunga Kampeni za Mheshimiwa Wanu Hafidhi kwa kishindo kikuu kilichoitetemesha Zanzibar nzima. Ambapo Mgombea huyo wa nafasi ya Ubunge katika Jimbo la Makunduchi amepata Heshima ya kipekee...
  14. JamiiForums Tanzania Tume ya Utangazaji Zanzibar yazipa onyo kali Online TV zinazofanya kazi bila leseni

    Tume ya Utangazaji Zanzibar, katika utekelezaji wa kazi zake imebaini kuna vituo vya Utangazaji vya Maudhui ya Mtandaoni vinavyofanya kazi ya Utangazaji bila ya kuwa na leseni. Kwa Mujibu wa kifungu cha 11 cha Sheria ya Tume ya Utangazaji Zanzibar, Sheria namba 7 ya mwaka 1997 "ni marufuku kwa...
  15. JamiiForums Tanzania Ni aibu mtanganyika kumshabikia SSH aongezwe miaka ya urais, Zanzibar inaneemeka, Tanganyika hoi

    Tanganyika imefifia na itazidi kufifia. Ndani ya miaka hii minne ,Zanzibar imepiga hatua zaidi kwa mgongo wa Tanganyika Maisha ya watanganyika yamejaa hofu, ajira hewa, hospitali gharama zipo juu ukihojo hoji sana unapotezwa hadharani. Jitafakari wewe mtanganyika unayemshabikia mzanzibari...
  16. JamiiForums Tanzania Zanzibar wamebadirisha mfumo wa usajili wa magari kutoka Z123AB kwenda Z123ABC!

    Nadhani baada ya kuona namba zinakimbia (zimeshafika PG hivi) ZRA wameona isiwe shida. Tufanye kama wenzetu bara kwa kutumia herufi tatu kwenye usajili wa magari badala ya mbili. Zoezi ilo limeanza rasmi mwezi huu wa October na litakua endelevu kwa muda utakaotangazwa. Kwahiyo huko unaweza...
  17. JamiiForums Tanzania Turekebishe muungano wa Tanganyika na Zanzibar uwe kama wa Denmark na Greenland

    Muungano uliotengeneza nchi ya Tanzania ni muungano unaochanganya sana, hauleweki na pia wenye changamoto nyingi sana kwa pande zote mbili. Muungano wetu unaweza kurekebishwa kwa kuiga mfumo wa muungano uliopo kati ya Denmark and Greenland, ambapo Greenland ni sehemu ya nchi ya Denmark ikiwa na...
  18. JamiiForums Tanzania GE2025 Mwanamke wa kwanza kuwania Urais Zanzibar ni katika Uchaguzi wa 2025

    Laila Rajab Khamis Katika historia ndefu ya siasa za Zanzibar, jina la Laila Rajab Khamis sasa limeandikwa kwa herufi kubwa si kwa sababu ya nafasi aliyopewa, bali kwa nafasi aliyoamua kuichukua mwenyewe. Mwaka 2025, Laila amekuwa mgombea pekee wa urais mwanamke visiwani Zanzibar, na wa kwanza...
  19. JamiiForums Tanzania Maafisa na Askari wa Polisi Zanzibar washirikiana na Vyombo vya Usalama katika matembezi ya ukakamavu

    Leo, tarehe 10 Oktoba 2025, maafisa, wakaguzi na askari wa vyeo mbalimbali kutoka Makao Makuu ya Polisi Zanzibar na Mkoa wa Mjini Nagharibi Unguja wameungana na vyombo vingine vya ulinzi na usalama pamoja na Idara Maalum ya Vikosi vya Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar katika matembezi ya pamoja...
  20. JamiiForums Tanzania GE2025 Ismail Jussa alalamikia utozaji Kodi wenye kuumiza Wananchi Zanzibar

    Makamu Mwenyekiti wa Chama hicho ambaye pia ni Meneja wa Kampeni wa Mgombea huyo Ismail Jussa Ladhu, amesema shida kubwa sana ya wananchi kukamuliwa katika kodi mbali mbali hapa Zanzibar ambapo amesema wenye vyombo vya moto wametakiwa wakasajili vyombo vyao na kuendelea kukamuliwa wakati watu ni...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…