zanzibar

  1. JamiiForums Tanzania Ukomo wa Rais wa Tanzania na Zanzibar ulipangwa au nasibu?

    Katika mazingira na suala muhimu ambalo linaisaidia sana CCM kuendelea kuwa madarakani ni ukomo wa Rais wa Tanzania na Rais wa Zanzibar kutokuisha mwaka mmoja/wakati mmoja kwa pamoja. Ni ukweli kuwa ni vigumu sana katika chaguzi zetu za nchi za Afrika kuweza kumuondoa madarakani Rais anayetetea...
  2. J

    JamiiForums Tanzania Miaka 10 ya Dr Shein madarakani Zanzibar pamekuwa mahali penye amani

    Kiukweli Rais wa Zanzibar Dr Shein ameifanya Zanzibar pawe mahali pa amani na salama kuishi. Zanzibar ya Dr Shein utegemezi wa bajeti ya serikali kwa wahisani umepungua. Miundo mbinu imeimarishwa ukiwemo ununuzi wa meli mpya ya mafuta Wazee wote wanalipwa posho ya kila mwezi ili kujikimu...
  3. JamiiForums Tanzania Kwa nini ikitokea visa vya mauaji Zanzibar wahusika ni watanganyika?

    KIJANA mmoja alietambulikana kwa jina la Noel Jengeni Mlilo mwenye umri 27, mkazi wa shehia ya Wawi wilaya ya Chakechake, na mwenyeji wa Mkoa wa Songwe Tanzania bara, amekutikana kichakani akiwa amefariki, shehia ya Mtuhaliwa wilaya ya Mkoani Pemba. Akizungumza na mwandishi wa habari hizi kaka...
  4. JamiiForums Tanzania Jinsi tunavyoishi wakristo hapa Zanzibar kipindi hiki cha mfungo

    Mazingira ya maisha hapa Zanzibar kipindi hiki cha mfungo wa Ramadan kwa Wakristo ni magumu sana hasa kuhusu suala la chakula,kwa sisi ambao tuko kikazi huku na familia zetu ziko bara ni shida. Mfano kupata chakula inabidi uende kwenye lile kanisa ambapo zamani kulikua na soko la watumwa...
  5. JamiiForums Tanzania Soma Jarida la The Darproperty bure, fuata link hii http://www.darproperty.co.tz/monthlyIssue/viewLatestMagazine

    Jipatie taarifa na maarifa mbalimbali kuhusu sekta ya miliki kuu kupita jarida hili. Soma Jarida la The Darproperty bure, fuata link hii The Magazine(March 2019)
  6. JamiiForums Tanzania Polisi Zanzibar walichora Mchoro wa wasiojulikana wakakamatwa, bara tunashindwa nini kwa Lissu?

    Heshima kwenu wakuu, Kigugumizi cha nini baba? Padri wa Kanisa Katoliki, Evaristus Mushi aliyefariki dunia baada ya kupigwa risasi na watu wasiojulikana wakati akiegesha gari kando na Kanisa la Mtoni mwaka 2013, rais Jakaya Kikwete katika salamu zake za rambirambi baada ya mauaji ya Padri...
  7. B

    JamiiForums Tanzania Mkwara wa Rais Magufuli, Maalim Seif anyimwa posho ya matibabu!

    Kwa mujibu wa RAIA TANZANIA, Maalim Seif Augwaya Mkwara wa Magufuli..Aenda Kwenye matibabu bila posho , Maombi yake yadunda ofisini kwa Dr Shein
  8. JamiiForums Tanzania Zanzibar: Rais Magufuli amshangaa Dk. Shein kusaini makaratasi ya mtu aliyekataa mkono wake

    Nimesikiliza hotuba ya Rais ya JPM akimshangaa Rais wa Zanzibar kuwa anasaini makaratasi ya mtu aliyekataa kumpa mkono siku ya mazishi ya Jumbe, na kusema kwake isingekuwa rahisi hivyo. Nimejiuliza maswali mengi sana lakini mojawapo likawa ni Je stahiki za Maalim Seif ni za hisani ya rais...
  9. JamiiForums Tanzania Zanzibar: Yaliyojiri kwenye ziara ya Rais Magufuli kisiwani Pemba - Sept 2016: Ampongeza Jecha kusimamia uchaguzi vizuri

    Anaeongea kwa sasa ni Rais John Magufuli baada ya kukaribishwa na Rais wa Zanzibar, Dk. Shein na anazungumzia amani. Anasema mtu hawezi kuja kuwekeza Pemba wakati watu hawasalimiani, anasema mume na mke wakiwa hawaelewani kwa sababu ya vyama vya siasa hajui usiku wanalalaje. Amesema anajua...
  10. U

    JamiiForums Tanzania Zanzibar ndani ya Tanganyika ilianzia huku

    Nianze kwa kunukuu tangazo nililokuta Bagamoyo, nilipokwenda katika shughuli zangu za kutoa ushauri kuhusu maendelezo bora ya ardhi eneo la makurunge ili kunogesha mjadala katika makala yangu leo ubaoni. Tangazo liliandikwa hivi: TAHADHARI! USIKUBALI KUNUNUA ARDHI/SHAMBA KATIKA ENEO LILILOKUWA...
  11. JamiiForums Tanzania Zanzibar Kujiunga na Dubai (U.A.E)

    Zanzibar wakijiunga na U.A.E bara tutafaidika sana, uwekezaji mkubwa utakaofanywa zenji utatunufaisha bara hasa kibiashara kutokana na close proximity. Kigamboni nayo itadevelop rapidly! =============== Update: 25/08/2021 kampuni ya xCassia toka Dubai inatarajia kuanza ujenzi wa jengo refu...
  12. JamiiForums Tanzania Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar: Kumbe Waarabu Hawakufukuzwa! Walikimbia Wenyewe - Mzee Sukari

    Wanabodi, Nafuatia makala maalum kuhusu Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar ya Januari 1964, zinazorushwa mfululizo na Idhaa ya KIswahili ya BBC kila siku kuanzia 1:00-1:30. Katika kipindi cha leo, Mmoja wa askari aliyekuwa zamu ikulu ya Sultani, kwa jina maarufu la Mzee Sukari, anasimulia first...
  13. JamiiForums Tanzania Mapinduzi ya Zanzibar - Januari 12, 1964

    Wana JF. Usiku wa tarehe 12 Januari 1964 kundi la watu 300 walikitwaa kisiwa cha Unguja wakiongozwa na mtu asiyekuwa maarufu kipindi hicho, aliyekuwa akiitwa John Okello, John Okello alikuwa akiishi Pemba ambako alitokea Uganda miaka michache tu. Ndani ya Zanzibar Okello alipata umaarufu kwa...
  14. JamiiForums Tanzania Muungano wa nini?

    Wakuu, Kwa ujumla mimi napenda umoja upendo na mshikamano lakini kwa hawa ndugu zetu wa Zanzibar tunawalazimisha kuungana na sisi bara kwa sababu ya visa hivi vya mauaji na kujeruhi watu kwa sababu zisizo na msingi. Sikilizeni hawa wazanzibari ni kama vile mwanamke akitaka kuachika na huyo...
  15. E

    JamiiForums Tanzania Tanganyika and Zanzibar: Articles of Union and implementing legislation, with other evidences

    Ndugu, wana Jamii forums, Mjadala kuhusu Muungano wa Tanganyika na Zanzibar Umekuwa mzito sana, lakini ninadhani cha mhimu ni kuuweka ukweli hapa Jamii forums, yaani nyaraka halisi za Muungano huo pamoja na habari zingine za kijasusi. Naomba baada ya kusoma Nyakara zote, then tuendelee na...
  16. JamiiForums Tanzania The Article of Union between the Republic of Tanganyika and the Peoples Republic of Zanzibar

    The Article of Union between the Republic of Tanganyika and the Peoples Republic of Zanzibar WHEREAS the Governments of the Republic of Tanganyika and of the Peoples Republic of Zanzibar, being mindful of the long association of the peoples of these lands and of their ties of kinship and...
  17. JamiiForums Tanzania Zanzibar kujiunga OIC kivyake vyake

    Zanzibar kujiunga na OIC kivyake 2009-01-27 10:14:33 Na Mwinyi Sadallah, Zanzibar Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar (SMZ) imetangaza kwamba itaiomba Serikali ya Muungano kuiruhusu Zanzibar kujiunga na Umoja wa Nchi za Kiisalm(OIC) endapo mpango huo utashindwa kufikiwa na Serikali ya Muungano...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…