zambia

Zambia (), officially the Republic of Zambia, is a landlocked country in Southern-Central Africa (although some sources consider it part of East Africa). Its neighbors are the Democratic Republic of the Congo to the north, Tanzania to the north-east, Malawi to the east, Mozambique to the southeast, Zimbabwe and Botswana to the south, Namibia to the southwest, and Angola to the west. The capital city is Lusaka, located in the south-central part of Zambia. The population is concentrated mainly around Lusaka in the south and the Copperbelt Province to the northwest, the core economic hubs of the country.
Originally inhabited by Khoisan peoples, the region was affected by the Bantu expansion of the thirteenth century. Following European explorers in the eighteenth century, the British colonised the region into the British protectorates of Barotziland-North-Western Rhodesia and North-Eastern Rhodesia towards the end of the nineteenth century. These were merged in 1911 to form Northern Rhodesia. For most of the colonial period, Zambia was governed by an administration appointed from London with the advice of the British South Africa Company.
On 24 October 1964, Zambia became independent of the United Kingdom and prime minister Kenneth Kaunda became the inaugural president. Kaunda's socialist United National Independence Party (UNIP) maintained power from 1964 until 1991. Kaunda played a key role in regional diplomacy, cooperating closely with the United States in search of solutions to conflicts in Rhodesia (Zimbabwe), Angola, and Namibia. From 1972 to 1991 Zambia was a one-party state with the UNIP as the sole legal political party under the motto "One Zambia, One Nation". Kaunda was succeeded by Frederick Chiluba of the social-democratic Movement for Multi-Party Democracy in 1991, beginning a period of social-economic growth and government decentralisation. Levy Mwanawasa, Chiluba's chosen successor, presided over Zambia from January 2002 until his death in August 2008, and is credited with campaigns to reduce corruption and increase the standard of living. After Mwanawasa's death, Rupiah Banda presided as Acting President before being elected President in 2008. Holding office for only three years, Banda stepped down after his defeat in the 2011 elections by Patriotic Front party leader Michael Sata. Sata died on 28 October 2014, making him the second Zambian president to die in office. Guy Scott served briefly as interim president until new elections were held on 20 January 2015, in which Edgar Lungu was elected as the sixth President.
In 2010, the World Bank named Zambia one of the world's fastest economically reformed countries. The Common Market for Eastern and Southern Africa (COMESA) is headquartered in Lusaka.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Zambia Election Victory Put Popular Nigerian Prophet Jeremiah Fufeyin in Spotlight as the Man of God Prophecy About Hichilema Winning Came To Pass

    Nigerian Prophet Jeremiah Omoto Fufeyin has once again attracted significant attention online after a prophecy attributed to him resurfaced following the re-election of Zambia’s President Hakainde Hichilema. According to the viral social media post, Prophet Fufeyin had earlier declared that...
  2. JamiiForums Tanzania SI KWELI Zambia ilisajili wapiga kura milioni 14 katika uchaguzi wa mwaka 2026

    Kumekuwepo Chapisho linalosambazwa kwenye mitandao ya kijamii, ikiwemo Facebook na Instagram, linadai kuwa Zambia ilisajili wapiga kura milioni 14 na kwamba katika uchaguzi huo zaidi ya watu milioni 14 walipiga kura.
  3. R

    JamiiForums Tanzania Hakainde Hichilema ashinda urais Zambia. Wapinzani wabambikiwa kesi za uhaini

    Anaandika Malisa GJ Tume ya Uchaguzi nchini Zambia (ECZ) imemtangaza Hakainde Hichilema wa chama cha UPND kuwa mshindi wa kiti cha Urais wa nchi hiyo kwa kura 2,965,326 sawa na 60.1%, akifuatiwa na Brian Mundubike wa NRPUP aliyepata kura 1,856,217 sawa na 38.6% ya kura zote zilizopigwa...
  4. K

    JamiiForums Tanzania Sauti ya Unabii na Kulinda Demokrasia: Wito wa Maaskofu wa Zambia Kabla na Baada ya Uchaguzi Mkuu wa 2026

    Muhtasari wa Kitendaji Makala hii inachambua wito wa kichungaji wa Baraza la Maaskofu Katoliki Zambia (ZCCB) katika Uchaguzi Mkuu wa tarehe 13 Agosti 2026, ikilinganishwa na misingi inayosimamiwa na Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC). Wakati mazingira ya kijamii ya Tanzania...
  5. JamiiForums Tanzania Maaskofu Wakatoliki Zambia: Hali iliyojitokeza baada ya uchaguzi imeweka mashaka kuhusu uadilifu wa mchakato huo

    Baraza la Maaskofu Katoliki Zambia (ZCCB) limeeleza wasiwasi mkubwa kuhusu mwenendo wa uchaguzi mkuu uliofanyika Agosti 13, 2026, likisema hali iliyojitokeza baada ya uchaguzi imeweka mashaka kuhusu uadilifu wa mchakato huo. Katika taarifa yao ya kichungaji yenye kichwa “Peace sown by...
  6. JamiiForums Tanzania Uchaguzi Zambia 2026: Hakainde Hichilema ashinda Urais kwa muhula wa pili

    Hakainde Hichilema ashinda Urais kwa muhula wa pili Rais wa Zambia, Hakainde Hichilema, ameshinda uchaguzi na kupata muhula wa pili wa miaka mitano, baada ya kupata asilimia 61.4 ya kura dhidi ya asilimia 38 alizopata mpinzani wake mkuu, Brian Mundubile. Tume ya Uchaguzi ya Zambia imemtangaza...
  7. H

    JamiiForums Tanzania Africa na chaguzi bandia. Nani anayetupangia Mamruki kuongoza nchi Zetu?.... Kama CCM wametumwa Zambia Brian Mandubile hawezi kutangazwa mshindi kamwe

    Waafrica hawaijui ccm aisee. Hii sio TANU iliyowasaidia kupigania uhuru. Hili ni dudu baya. Sasa tume itakuwa imeshikiliwa Mateka, Vikosi kazi vimeandaliwa tayari kuanzisha vurugu ili kuruhusu wizi wa kura, Askari watapewa posho ambayo hawajawahi kuipata kisha bunduki na Amri za kuua wananchi...
  8. JamiiForums Tanzania Tanzania Rejects Zambia Election Interference Claims

    The Government of Tanzania is concerned with the false allegations made by the NRPUP Presidential Candidate in Zambia, Mr. Brian Mundubile, claiming that Tanzania sent individuals to Zambia with the intention of interfering with and disrupting the country's general elections held on 13th August...
  9. JamiiForums Tanzania Msigwa: Tuhuma za Tanzania kuingilia Uchaguzi Mkuu wa Zambia sio za kweli ZIPUUZWE

    Serikali ya Tanzania imekanusha tuhuma za kutuma raia wake kwenda Zambia kuingilia au kuvuruga Uchaguzi Mkuu wa nchi hiyo uliofanyika Agosti 13, 2026. Serikali imesema madai hayo hayana ukweli na imeanza kuyafuatilia kupitia njia za kidiplomasia. Tuhuma hizo zilitolewa na mgombea urais wa chama...
  10. JamiiForums Tanzania Hakainde Hichilema atashinda uchaguzi mkuu wa Zambia na hapatakua na Re-Run elections.

    Ni wazi mpaka sasa, mh.Hakainde Hichilema, Rais wa Zambia anaongoza kwa kura za kutosha kutangazwa mshindi wa uchaguzi huo, dhidi ya wagombea urais wa miungano ya vyama na vyama ya siasa vingine nchini Zambia. Kwa muelekeo wa matokeo ulivyo mpaka sasa, Mh.Hakainde Hichilema atapata ushindi wa...
  11. JamiiForums Tanzania Askofu Mwamakula aitaka Serikali ya Tanzania itoe maelezo kuhusu tuhuma dhidi yake kupeleka watu kusaidia kupora Zambia!

    Ndugu Watanzania! Nchi yetu imeingia katika dimbwi la matope na kinyesi. Tanzania inatuhumiwa kupeleka watu kwenda kusaidia kupora Uchaguzi wa Zambia kumsadia Hakainde Hichilema anayesadikika kuwa ameshindwa Uchaguzi ili aapishwewa kuwa Rais wa Zambia kwa muhula mwingine. Mgombea wa upinzani...
  12. JamiiForums Tanzania Mgombea Urais wa Zambia, Brian Mundubile, ameibua madai mazito akisema: “Zambia siyo Tanzania

    Mgombea Urais wa Zambia, Brian Mundubile, ameibua madai mazito akisema: “Zambia siyo Tanzania” na kuonya dhidi ya kujaribiwa kuingizwa kwa mbinu alizozitaja kama “Tanzanian tactics” katika uchaguzi wa Zambia. Kauli hiyo inakuja wakati Tume ya Uchaguzi ya Zambia iliposimamisha kwa muda zoezi la...
  13. JamiiForums Tanzania FALSE UN observers confirmed opposition victory in Zambia

    Viral posts and images circulating on social media claim that the United Nations (UN), UN election observers and observers from the Southern African Development Community (SADC) have confirmed that an opposition presidential candidate won Zambia's general election held on 13 August 2026. The...
  14. R

    JamiiForums Tanzania Zambia vipi huko, any clue?

  15. JamiiForums Tanzania Ni wazi wananchi wa Zambia wameamua kuirejesha serikali yao madaraka kwa awamu ya pili, hakuna haja ya waliokataliwa kulaumu au kusingizia waTanzania.

    Kiongozi wa upinzani Zambia mh. Brian Muntayala Mundubile, ni vizuri akawa mtulivu na akaheshimu demokrasia na maamuzi huru ya wananchi wa jamuhuri ya Zambia kwa kumchagua tena Rais Hakainde Hichilema. Hakuna haja ya kusingizia waTanzania, wakati wananchi wa Zambia kwa uhuru, haki na utashi wao...
  16. JamiiForums Tanzania Kiongozi wa Zambia aliyeonesha dharau kwa Tanzania afuatiliwe anachafua nchi yetu anatumiwa na wasiopenda Amani ya nchi yetu.

    "UNPD hawawezi kushinda uchaguzi huu, hakuna muujiza. Sasa wameamua kutumia mbinu za Tanzania. Zambia si Tanzania na Tanzania si Zambia. Hii ni Zambia, hatuwezi kutumia mbinu za nchi zilizofeli katika demokrasia. Wale wanaofikiri wanaweza kutumia mbinu zilizotumiwa na Tanzania, hawawezi...
  17. JamiiForums Tanzania This is Zambia not Tanzania. Walotumwa kuharibu Uchaguzi Wafukuzwa

    Kiongozi huyo amesisitiza kuwa Zambia kama taifa huru lina misingi yake thabiti na haliko tayari kufuata wala kutumia mfumo au formula za kisiasa kutoka nchini Tanzania. Amewataka raia kutoka Tanzania waliopo nchini Zambia kuheshimu misingi, sheria na mila za nchi hiyo bila kujaribu kuingiza...
  18. 5

    JamiiForums Tanzania Tanzania yatolewa mfano mbaya Uchaguzi wa ZAMBIA

    Tanzania..Tanzania 🇹🇿 nchi yangu imekuwa ya kutolewa kwa mifano mibaya namna hii 😭😭 . Msikilize kiongozi wa Upinzani Nchini Zambia. "UNPD hawawezi kushinda uchaguzi huu, hakuna muujiza. Sasa wameamua kutumia “mbinu (formula) ya Tanzania.” Zambia si Tanzania, Zambia si Tanzania… Hii ni Zambia...
  19. JamiiForums Tanzania POTOSHI Video ya wakati wa kampeni imetumika kuonyesha matukio ya uchaguzi mkuu nchini Zambia

    Kumekuwa na video inayosambazwa kwenye mitandao ya kijamii, hususan Instagram, ikiambatanishwa na madai kwamba leo nchini Zambia, siku ya uchaguzi mkuu, polisi wametumia risasi za moto na mabomu ya machozi kuwatawanya wapiga kura katika vituo kadhaa vya kupigia kura kwa tuhuma za uvunjifu wa...
  20. R

    JamiiForums Tanzania Raia wa Kenya akamatwa Zambia akihusishwa na ujasusi kuvuruga Uchaguzi

    Mwanamume mwenye umri wa miaka 56 kutoka Kenya amekamatwa nchini Zambia baada ya mamlaka kumhusisha na operesheni inayodaiwa kuhusisha uhalifu wa mtandaoni dhidi ya mifumo ya Serikali kuelekea Uchaguzi Mkuu wa nchi hiyo. Wizara ya Mambo ya Ndani na Usalama wa Taifa ya Zambia ilitangaza Agosti...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…