zaidi ya

Zaidiyyah, Zaidism, or Zaidi Shiasm (Arabic: الزيدية‎ az-zaydiyya, adjective form Zaidi or Zaydi (occasionally known as Fiver Shias) is one of the Shia sects closest in terms of theology to the Ibadi and Mutazila schools. Zaidiyyah emerged in the eighth century from Shi'a Islam. Zaidis are named after Zayd ibn ʻAlī, the grandson of Husayn ibn ʻAlī and the son of the fourth Imam Ali ibn 'Husain. Followers of the Zaydi Islamic jurisprudence are called Zaydi Shia and make up about 50% of Muslims in Yemen, with the greatest majority of Shia Muslims in that country being of the Zaydi school of thought.

View More On Wikipedia.org
  1. Kuondoa ukiritimba kama uliopo Chadema sheria ya vyama vya siasa ibadilishwe hakuna kiongozi wa chama kuongoza zaidi ya miaka kumi

    Natoa rai kwa serikali ilifanyie kazi hili suala, sheria ya vyama siasa ibadilishwe. Kila kiongozi wa ngazi ya unyekiti na ukatibu mkuu asiongoze zaidi ya miaka kumi. Hii ni kuondoa ukiritimba wa kufanya vyama ni mali binafsi ya watu. Pia kusiwe na dalili ya wanafamilia kurithishana madaraka...
  2. Wanawake na watoto wawekwa kizuizini zaidi ya masaa 9 kwa kukosa mchango wa Shule

    Wananchi wa kijiji cha luduga kilichopo wilaya ya wanging'ombe mkoani Njombe wamelalamikia kitendo cha viongozi wa kijiji hicho kuwakamata na kuwaweka ndani ya ofisi kina mama wakiwa na watoto wadogo kwa tuhuma za kutolipa mchango wa ujenzi wa shule ya sekondari. Wakizungumza na mwandishi wetu...
  3. Watu waliokuwa kwenye pikipiki waua watu zaidi ya 50 Nigeria

    Taarifa kutoka kaskazini magharibi mwa Nigeria zinasema kuwa majambazi waliokuwa wakiendesha pikipiki wamewauwa zaidi ya watu hamsini katika msururu wa uvamizi uliodumu kwa saa kadhaa katika vijiji vya mbali. Wakazi wa Magami waliiambia BBC kwamba watu wenye silaha kwanza walishambulia kijiji...
  4. Mbunge ameomba fedha kwajili ya ujenzi wa daraja katika kata ya Loya ambalo watu zaidi ya ishirini wanafariki kila mwaka

    Mbunge wa jimbo la Igalula, Venant Protas ameomba kutengwa fedha kaajili ya ujenzi wa daraja katika kata ya Loya ambalo watu zaidi ya ishirini wanapoteza maisha kwa kusombwa na maji hasa akinamama wajawazito wanaofuata huduma kata jirani na wanafunzi. Venant amesema Daraja hilo limekuwa...
  5. Hivi kuna foleni mbaya mida ya jioni zaidi ya hii ya Airport hapa duniani?

    Sikuwahi kudhani kama hapa duniani panaweza pakawa na sehemu yenye foleni ya kikatili namna hii, masaa mtu hujasogea??!!!!
  6. Ajira TAMISEMi: Kwanini umri zaidi ya miaka 35 hawaruhusiwi?

    Tamisemi kushirikiana na Shirika la Benjamin William Mkapa wametangaza ajira za mda:sifa za muombaji asizidi miaka 35 ,je hawa wenye miaka 36 nakuendelea kuna sheria ipi inayofanya muwe na kigezo cha umri? Miaka 5 na miez 4 Watu wako mitaani sasa mnapokuja na kigezo cha umri mnamanisha nini?
  7. S

    Serikali ilitoa ruzuku ya shilingi bil. 153.7 kwa ATCL na shirika limepata hasara ya bil. 153 huku zaidi ya tril .1 ikitumika kununulia ndege

    Taarifa hii ni kwa mujibu wa taarifa ya uchambuzi wa ACT Wazalendo wa taarifa ya CAG ya mwaka 2019/2020. Je, hili shirika halijageuka "mchwa" kwa watanzania? Hivi viongozi wa nchi hii wanaohusika na ufanyaji wa maamuzi wako mentalily fit na zaidi wako comfortable na hali hii? Halafu bado...
  8. Zitto: Umeme wa Gesi ungezalisha MW 3,500 zaidi ya wa Maji

    Uchambuzi wa ripoti ya CAG ulofanywa na chama cha ACT WAZALENDO inasema tulidharau na kuutupa mradi wa umeme wa gesi ambao tulishakopa fedha China wenye wenye uwezo wa kuzalisha MW 3500 tukakimbilia mradi mpya wa umeme wa Maji wenye kutoa MW 2110 kwa gharama ya Tillioni 6 matokeo yake tumekopa...
  9. Kipo tunachokihitaji sasa zaidi ya ripoti za Ukaguzi

    TUNAHITAJI NINI SASA KULINGANA NA RIPOTI YA MKAGUZI WA HESABU ZA SERIKALI. Ofisi ya Mkaguzi wa Hesabu za Serikali imekuwa ikijitahidi sana kufuatilia matumizi bora ya raslimali za Umma na kutoa taarifa zinazoonesha namna gani raslimali hizo hutumika kwa maslahi mapana ya Taifa hili. Takwimu...
  10. J

    CAG: DPP amekusanya zaidi ya Sh. Bilioni 60 na hazijatumika kwa sababu hakuna Sheria ya Matumizi yake

    CAG Kichere amesema Mkurugenzi wa Mashtaka nchini amekusanya zaidi ya sh bilioni 60 kutokana na kesi mbalimbali na fedha hizo hazijatumika kutokana na kukosekana kwa sheria na mwongozo wa namna ya kuzitumia. CAG amelishauri Bunge kutunga sheria ya matumizi ya fedha hizi. Ukinizingua Nitakuzingua!
  11. Lupita Nyong'o awajibu wakenya wanaomponda kwa kuipenda Tanzania zaidi ya Kenya

    Muigizaji wa filamu ya ’12 years a Slave’ na mshindi wa tuzo za Oscar Lupita Nyong’o, ameonekana kuwajibu waliomponda kwenye mitandao ya kijamii nchini Kenya kwa kuposti picha akiwa katika hifadhi ya taifa ya Serengeti Tanzania. Wengi walionekana kumkosoa kwa kulitangaza na kulisifia taifa...
  12. L

    Iramba yetu tumekuwa na Mbunge wa Kitaifa zaidi ya Kijimbo

    Iramba imebahatika sana baada ya Uchaguzi wa Mwaka jana 2020. Katika mkoa wa Singida kama sikosei ni Iramba pekee iliyotoa mawaziri. Tuna Waziri Dr. Mwigulu Nchemba, Prof. Kitila Mkumbo (ingawa wa Ubungo wana haki naye pia) na Dr. Dorothy Gwajima. Mwenyezi Mungu abarikiwe sana sana! Tuna...
  13. Kulikoni Mamalaka ya Huduma za Meli (TASAC) kujilipa posho kwenye vikao vya bodi zaidi ya Tsh milioni 600!

    Nawasalimu kwa jina la Muungano. Wakuu kama Rais wetu mpendwa alivyosema leo mamlaka hii imefanya vikao 27 vya bodi ya mamlaka hiyo kwa mwaka jana pekee na wametumia kiasi cha shilingi bilioni moja kama posho za vikao tu. Haya yote yamefanyika chini ya Rais wetu hayati John J P Magufuli...
  14. Kiko wapi "Yohana University" ambacho anasomea Mkurugenzi Mkuu mstaafu wa TPDC ndugu Thobias Mwesiga?

    Nimeona CV ya mkurugenzi mkuu mstaafu wa TPDC ndugu Thobias Mwesiga akieleza kuwa anasoma "Yohana University" masomo ya jioni. Nimejaribu kutafuta hicho chuo kinachojulikana kama "Yohana Iniversity" kama mwenzetu alivyoandika nimekikosa. Naomba msaada kwa anayejua Yohana university ilipo...
  15. Kuna tatizo zaidi ya bei za vufurushi: Tunaomba liangaliwe

    MABORESHO YA HUDUMA ZA MITANDAO YA SIMU YASIANGALIE VIFURUSHI TU. Wakati huu ambapo mamlaka ya Mawasiliano (TCRA) inajiandaa kuboresha sheria za matumizi ya vifurushi ili kuleta ufanisi mzuri kwa watumiaji ni vizuri na masuala yanayohusu kihamisha data -kasi( broad band), muunganisho kasi wa...
  16. Polisi Tanzania: Hatutegemei kuona sherehe za Pasaka wakati Nchi bado ipo kwenye maombolezo

    Jeshi la Polisi nchini limesema halitegemei kuona sherehe na shamrashamra za Pasaka kama za kipindi cha nyuma katika kipindi hiki ambacho nchi bado ipo kwenye maombolezo ya kuondokewa na Hayati Dkt. John Pombe Magufuli. ==== Ndugu wanahabari, kama mnavyojua bado taifa letu lipo katika siku 21...
  17. Simiyu: Akamatwa na Kobe zaidi ya 400 wakiwa kwenye mabegi 3

    Polisi mkoani Simiyu linamshikilia mtu mmoja kwa kosa la kupatikana na nyara za serikali. Kamanda Polisi mkoani Simiyu, ACP Richard Abwao, amesema mtuhumiwa amekutwa akiwa na mabegi matatu yakiwa na kobe 438 wenye thamani ya shilingi milioni 71.1, bila yakuwa na kibali.
  18. Aliyoyafanya Hayati Magufuli kwa miaka 6 ni makubwa zaidi ya yaliofanywa na serikali nyengine za Afrika kwa miaka 60

    Ndugu Wanajukwaa Kumpenda na kutokumpenda Hayati Magufuli ni chaguo binafsi la mtu. Pamoja na kwamba yeye alikuwa ni binadamu kwahivyo hakukosa kufanya makosa lakini ukweli ni bora usemwe tu. Mambo ya maendeleo aloyafanya ni makubwa sana. Ni kweli kwamba marehemu alikuwa na ujasiri mkubwa wa...
  19. Waziri Mkuu: Watu Bilioni 3.9 Duniani jana walifuatilia Shughuli za Kumuaga Hayati Magufuli

    Akiwa anatoa maelezo kabla ya kumkaribisha Rais wa Zanzibar, Waziri Mkuu amesema kwa taarifa walizonazo jana wakati wa shughuli za kumuaga Hayati JPM watu waliofuatilia tukio hilo duniani ni 3.9 bilioni kama siyo 4 bilioni. Na hivyo amevishushukuru sana vyombo vya habari kwa kurusha matangazo...
  20. Ni ushahidi tosha kuwa hamkuibiwa kura. Wananchi walimkubali zaidi ya ilivyodhaniwa

    Kwamba kura alizopata hayati JPM zilipatikana kwa mizengwe ya kuongeza moja au sufuri kama baadhi ya wapinzani na wapingaji wanavyodai, jibu tumelipata jana. Kwa hali na mazingira tuliona jana ni wazi kabisa alikuwa anakubalika kwa wananchi, hasa wa kawaida ambao ni wapiga kura. Kilichomfanya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…