zaidi duniani

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Hii ndio nchi inayochukulia poa raia wake zaidi duniani

    Utaijua tu Pombe kali za bei rahisi, kichupa kizima 2,200 nusu 1,100, zipo za 2,000 mpaka nusu 1,000 Bima raia wake wamekata bima za kupata tiba mahospitalini lakini ikitokea wamezidiwa na kwenda hospital husika wanaambiwa bima haifanyi kazi wanabidi walipie Cash ndio wapate huduma Police...
  2. JamiiForums Tanzania Vitu hatari zaidi Duniani mara nyingi havionekani kuwa hatari

    Hatari nyingi haziji zikiwa zimevaa sura ya hatari. Mara nyingi huja zikiwa zimefungwa kwenye kifurushi cha urahisi, maendeleo, starehe au teknolojia. Ndio maana tunapaswa kujifunza kuhoji kila kitu, badala ya kukikubali kwa sababu tu kimekuwa cha kawaida. Fikiria mifano hii: • Mbegu nyingi za...
  3. JamiiForums Tanzania Kifahamu kitabu cha ajabu zaidi Duniani "Voynich Manuscript" na maajabu yake

    Hiki kitabu nilianza kusikia habari zake kupitia kwa Babu yangu kipenzi Mzee Moustapha Ameer, alikuwa mwandishi pia aliniambia kuna vitabu vingine si vya kusoma kwasababu hata wao kamwe hawakuwahi kuvielewa ila alinielewesha kuhusu kitabu cha One Thousands and One Night (Alf Laylah-wa Laylah) Mi...
  4. JamiiForums Tanzania Mitihani Migumu Zaidi Duniani

    🌍 Mitihani Migumu Zaidi Duniani 1. Gaokao huko china 👉 Kwa nini ni mgumu sana Mamilioni ya wanafunzi hushiriki ili kujipatia nafasi ya kujiunga na vyuo bora Mtihani mmoja unaweza kuamua maisha yako yote Shinikizo kubwa kutoka kwa familia na jamii unaambiwa siku hio inakuwa ni kama siku...
  5. JamiiForums Tanzania Ukiangalia Bunge la Uingereza unaweza kuelewa ilikuaje waliweza kuitawala robo ya dunia wakati fulani na kuwa himaya kubwa zaidi duniani

    Hawa watu wana akili na wako serious sana, kwenye sakata la Epstein Waziri mkuu wao Keir Starmer amejibu maswali ya wabunge zaidi ya 30 ya hapo kwa hapo! Hapo bungeni kwao hakuna uchawa, hakuna mambo ya kuomba muongozo, hakuna comedy, hakuna kupoteza muda! Hili bunge lao ukilinganisha na hili...
  6. JamiiForums Tanzania Binadamu mweusi ndiye aliyebarikiwa zaidi duniani

    Watu weusi ndiyo binadamu waliobarikiwa zaidi duniani baada ya kuumbwa na kuwekwa kwenye bara bora zaidi na lenye kila kitu la Afrika. Mabara mengine ni hovyo sana, kuna majira ya hurricane, snow, joto kali sana la kuuwa watu na baridi kali sana kugandisha watu. Afrika ndiyo bara pekee...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Yupi ni ripota wako bora hapa kwetu unaemkubali katika vita zinazozungumziwa zaidi duniani?

  8. JamiiForums Tanzania Kwanini Tanzania ndiyo nchi rahisi zaidi duniani kwa mgeni kuishi kienyeji bila vibali na asichukuliwe hatua yoyote?

    Nimefuatilia sana mienendo ya nchi yetu na nikagundua jambo la kusikitisha: Tanzania imekuwa kama 'shamba la bibi'. Yaani ni nchi pekee ambayo mgeni anaweza kuingia kama mtalii, akapanga nyumba, akafungua kijibiashara au kuanza kazi za 'consultancy', na akaishi miaka mitano bila kuguswa na...
  9. B

    JamiiForums Tanzania 'El Mencho' auawa huko Mexico. Ni bosi wa cartel aliyekuwa kiongozi wa kundi la wahalifu maarufu

    22 February 2026 Jalisco, Mexico Baada ya kutumia miaka mingi kukwepa mamlaka duniani kote, kiongozi mwenye nguvu wa genge la wahalifu wa Mexico aliuawa wakati wa operesheni ya kijeshi, maafisa wa Mexico walitangaza Jumapili, Februari 22. 2026 https://m.youtube.com/watch?v=FBCVF2cG9c0 Nemesio...
  10. JamiiForums Tanzania Kwanini watu weusi ndio wanaoongoza kubaguliwa zaidi duniani?

    Kwa nini ukienda popote duniani penye ubaguzi wa rangi utakuta wanaoongoza kubaguliwa zaidi ni watu weusi? Iwe blacks huko America au Ulaya, Wahindi weusi India au Waarabu weusi uarabuni Hali ya ubaguzi bado ni hiyo hiyo tu. Yani hata hapa Africa baada ya kupata uhuru kuna namna Wazungu...
  11. JamiiForums Tanzania Halotel ndio unaweza ukawa mtandao mbovu zaidi duniani

    Kila siku halopesa inasumbua yani imeshakua kawaida, halafu nao wamekua na tabia kama ya mbogamboga ya kuwalipa machawa wawasifie kwenye comment! Naona leo mambo yamekua magumu machawa nao wamezidiwa nguvu wameona wafunge comment kabisa TCRA wanaruhusuje watu kama hawa kutoa huduma kwa...
  12. JamiiForums Tanzania El Mencho ndiye bosi wa dawa za kulevya anayeogopwa zaidi na mwenye ushawishi mkubwa zaidi duniani kwa sasa.

    Nemesio Oseguera Cervantes, anayejulikana zaidi kama El Mencho, alizaliwa Juni 17, 1967 katika kijiji kidogo cha Michoacán, Mexico. Alikulia katika familia maskini, akikabiliana na ukosefu wa fursa na mazingira magumu ya vurugu na umasikini, ambayo yaliunda msingi wa akili yake ya kibiashara na...
  13. JamiiForums Tanzania Je unajua ni sarafu/pesa ipi inathamani kubwa zaidi duniani? Njoo hapa nikujuze!

    Watu wengi hudhani Dollar ndio safaru yenye thamani zaidi duniani ila ukweli ni kwamba Dollar ipo nafasi ya kumi kwenye sarafu zenye thamani zaidi duniani huku nafasi za mwanzo zikishikwa na sarafu kutoka nchi za uarabuni kwa sababu ya biashara za mafuta. Na hii ndio list ya sarafu zenye...
  14. JamiiForums Tanzania UTAFITI: Madaktari waongoza kwa kuaminika zaidi duniani, Wanasiasa washika mkia

    Utafiti mpya wa kimataifa uliofanywa na Ipsos Global Trustworthiness Index 2024 unaonesha kuwa madaktari ndio taaluma inayoaminika zaidi na watu duniani kote. Zaidi ya asilimia 58 ya washiriki walisema wanawaamini Madaktari, ikifuatiwa na Wanasayansi (56%) na Walimu (54%). Utafiti huo...
  15. JamiiForums Tanzania Mauaji ya Kim Jong Nam 2017 kwa sumu hatari zaidi duniani Nerve agent vx

    Kifo cha Kim Jong-nam mwaka 2017 Kim Jong-nam, ambaye alikuwa kaka wa kambo (nusu kaka) mkubwa wa kiongozi wa Korea Kaskazini Kim Jong-un, aliuawa tarehe 13 Februari 2017 katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kuala Lumpur, Malaysia. Alikuwa akiishi uhamishoni tangu mwaka 2003 baada ya...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Nchi 10 zenye madeni makubwa zaidi duniani

    Madeni ya umma barani Afrika yanaendelea kuwa changamoto kubwa kwa nchi nyingi, huku viongozi wa bara wakitafuta suluhu endelevu ya mgogoro huu unaokua kwa kasi. Mwezi Mei 2024, Umoja wa Afrika uliandaa mkutano wake wa kwanza kuhusu madeni ya umma mjini Lomé, Togo, ambapo ilibainika kuwa zaidi...
  17. JamiiForums Tanzania Mji wa watu wanaokula zaidi duniani

    https://youtu.be/cgu-XOhE5k8
  18. JamiiForums Tanzania PostGE2025 List: Rais Samia ni namba 4 kwa watu wenye nguvu zaidi duniani

    Leo X nimekutana na hii list ya most powerful people on earth nimekuta Samia yupo nafasi ya nne. Mnaionaje hii list? Japo aliyepost kaweka na profile picture ya Samia, inaonekana ni mwanaCCM https://x.com/420Cousin/status/1997726092719693830?s=09
  19. X

    JamiiForums Tanzania BYD Yangwang U9 Extreme yaipiku Bugatti Ciron, kwa sasa ndio gari lenye kasi zaidi duniani "fastest car on the planet" 496km/hr!

    Hizi chuma za mwendo wa ngiri huwa zinafanyiwa majaribio katika viwanja maarufu viitwavyo Automative Papenburg (ATP) nchini Ujerumani. Hapo ndipo mjadala wa chuma ipi yenye kasi zaidi duniani humalizwa. Vyuma hupigishwa lap ya maana kupima km/hr au mph na acceleration ya engine in time. Katika...
  20. JamiiForums Tanzania WaNigeria elfu ishirini wakusanyika kushuhudia ubwabwa wa jollof kuwahi kupikwa katika sufuria kubwa zaidi duniani!

    Huko Nigeria mpishi mmoja aitwaye Hilda ameweza kuwakusanya raia 20,000 Waafrika wenzake wa nchi hiyo wakati katika tukio lake la kupika wali wa jollof katika sufuria kubwa zaid lillovunja rekodi ya ukubwa duniani.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…